Haki ya Mungu yaani nimekosa LA kisema.....Nimewashukuru sana kwa kuimba vizuri mnooo.. Na pia mmetulia kwa hisia nzuri sana ...Mungu awabarikini sana kwa kweli
Thanks so much Mt Anthoni choir. May the good lord shower you with abundant blessings as you are evangelizing his word through singing.Am much glad to see the English translation as well. At least I am understanding the words of the song
Hello members of St Antonini Choir , we are very grateful to you for giving us this marvellous singing and song. We love the VERY BEAUTIFUL and NUTRITIVE spiritual message the song passes into us. Please continue to inspire us as you have done in this video. May OUR LORD bless you always.
Karibuni kwa tafakari tuwapo katika mwezi huu wa Bikira Maria!!....
Asntn mama mwombez wetu atuombee aman dunian mama WA yesu Kris to
Hongera mmeimba kwa utulivu
I love this song very much. Marvellous and wonderful ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. So touching 💙 😢 💜 ❤️ ♥️ 😍 😊😊😊
BIKIRA MARIA MPALIZWA MBINGUNI.... Tuombee kwa mwanao ili nasi siku moja tufike mbinguni 🙏😊
Hongereni kwa wimbo mzuri.
Mama Maria tuombee msamaha kwa Bwana Yesu Mwokozi wetu. Hongereni sana wapendwa katika Kristo.
Genes hongera kazi nzuri, wimbo umenikumbusha zamani sana mwanzoni mwa miaka 1990
Amen 🙏
Mama wa huruma utuombee Daima❤❤❤
Haki ya Mungu yaani nimekosa LA kisema.....Nimewashukuru sana kwa kuimba vizuri mnooo.. Na pia mmetulia kwa hisia nzuri sana ...Mungu awabarikini sana kwa kweli
Amina 🙏
Nina mwezi nasikiliza huu wimbo audio nimeupenda sanaaaa,,leo nikatafuta video kumbe from Moshi,hongereni sana wimbo umetulia#mama Maria utuombee🙏
Nzuri mnoooo
Hongereni sana kwa uimbaji huu mzuri sana
Hongereni mmeimba vizuri
Wimbo wa Mama mzuri kwa mwaka huu🤩🤩
Hongereni mnooo
Asante sana
Hongeren sana,Wimbo una ujumbe mzuri sana.
Asanteni kwa tafakari nzuri, hakika mama Maria atuombee.
Hongereni Sana ...hakika ujumbe TUMEPATA
Tumwombe mama yetu mwenye huruma,hatatupungukia kitu.
Hii nimeitafta sana
Hongera❤
Que maravilla cancion es! Moja ya wimbo mzuri sana.
Wimbo mzuri sana Mama huruma mwombezi wetu hongera sana Wana Molla...
Asante sana
one of the best of Mama Maria songs in recent times
Asantee wimbo mzur sana
Ee yetu Mama mwenye nguvu, upendo, huruma tunaomba utuombeee eee Mama 🤲🤲🤲🤲🧎🧎🧎🧎🧎
Hongereni sana kazi ni nzuri sana
Tumshukuru Mungu
Thanks for good song, just love it
Hongereni sana wanachoir wapenzi🎉
Thanks so much Mt Anthoni choir. May the good lord shower you with abundant blessings as you are evangelizing his word through singing.Am much glad to see the English translation as well. At least I am understanding the words of the song
Mama wa huruma utuombee nice song
A vey Nice piece.. Nice work to the choir and the composer Syote.. May God rest his soul in peace.
Mama yetu heshima kwake ni mwingi wa rehema
Maria Mama wa wote... Utuombee,🙏🙏🙏
Hongereni sana Wana Molla
Asante sana
Ahsanteni sana kwa wimbo na picha tamu. ❤
Mary mother of Jesus Christ pray for me and my family
Gudiee job
Nice Song, Mama Maria msaada wetu utuombeee.
Amina
Amina ..🙏🙏
This song has been very useful
What a glorious song!!!
Good job!
Hili balaaaa❤
Bravooooo
Amiiina
Hongereni sana
❤❤❤❤❤
Saaaafiiuuuu
Haleluyaaa
Kazi.nzuri.mbarikiwe.na.Bwana.yesu.haleluya
Hello members of St Antonini Choir , we are very grateful to you for giving us this marvellous singing and song.
We love the VERY BEAUTIFUL and NUTRITIVE spiritual message the song passes into us.
Please continue to inspire us as you have done in this video.
May OUR LORD bless you always.
Glory be to God
Nice song.
Nice job 👍
Kazi nzuri😘😘
Tumshukuru Mungu
Let us pray rosary 🙏
Nice song
Kazi nzuri 🙏🙏🙏
Tumshukuru Mungu
Asanteni kila mmoja kwa support yenu. Kuna mambo yako jikoni ni 🔥🔥🔥Kaeni mkao wa kula!
Hongereni sana
Bado hazijaiva tuu??
Namskia bwana kameja ila simuoni mambo gani haya
Congratulations ,this is pure Catholic melody ,I have listen to the song more than 10x .
Wimbo wa kujinyenyekeza mbele za Mama yetu ili atuombee kwa Mwanao Yesu Kristu.. Hongera wana kwaya mwenxangu 🙏
Tuombee mama mpenzi
Nice song 🙏🙏
👏🏻👏🏻👏🏻
👏🏻👏🏻🤓
🎉🎉🎉❤
Marvelous,! Typical Catholic
Wimbo mzuri🙏🙏ruclips.net/video/9pwl2mX1bsI/видео.html
Mama yetu heshima kwake ni mwingi wa rehema
Nice song 👍
Nice song