D Voice X Barnaba Classic, Platform Tz & Lody Music- Kuachana Shingapi Remix 0710283676
HTML-код
- Опубликовано: 14 апр 2022
- D Voice's new Jam 'Kuachana Shingapi' Produced by JM & O Right
#Dvoice #Barnabaclassic #Lodymusic #Platformtz #kuachashingapi
• Mzee wa bwa x palu sim...
• Mzee wa bwa x palu sim... - Видеоклипы
Wangapi wamekuja huku baada ya D.VOICE kuwa jamaa wa WCB 😂😂😂
Tuko wengii wazee😅
Ha ha ha
😂😂mm hapa Gasper Arusha
😅😅😅am here nimekuja kurelate kule ana vidrade akawa ananichanganya
Oyaaahh😂😂😢🔥🔥nmekuja kuhakkxhaaa n yeye kwelii!!??😂😂
Remix tamu Sana pia nimefurahi kwasababu wote mlio shiriki Ni wasanii ninao wapenda Sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu💙🔥🔥🔥
❤❤
Kama wew n team wasafi tujuane kwa likes nyingi
mziki taratibu ndugu zangu wa TZ, much love from KENYA.
D voice
Kubwa
Kali
Sana
D,Voice 💪💪💪🇹🇿🇹🇿
Video quality=100%
Ujazo wa wimbo kwa ujumla ni 💯%
Unyama mwingiiiiii sanaaaaa
unyama mwingiiii sana 💯 😆
💥💥💥💥💥💥♥️♥️ nakuja nakuja na remix mopaoooooooo
one of the best video nimeiona toka mwaka umeanza na ni self made kutoka bongo 🇹🇿 land 🔥🔥🔥🔥🙌🏾.
mmetisha keep doing good music
Angalau sisi tusio na hela tumepata wa kutufariji 😀😀😀😀
Platform alikuwa hot sana humu 🎉🎉🎉 platform aliuwa kinomaaaa
Platform tz killed it👑🔥🔥
Huyu platfom anajuwa mpaka anajuwa tena🙌 verse zote yeye katisha bala
Barnaba the classic one.Huu mchanyato kati ya Barnaba, Lody Music, D Voice na
Hivi uliwalipa wote watatu hawa au walikubeba tu d voice saiz upo next level wcb
much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Dogo wa mwisho kaua sana then barnaba....🙌🙌 keep the good work...ngoma kali sana
Platform kaua sana
Aki platform mistar Kali xana yaan xtyle yake
Good music mwanangu
Everyone one nailed it🔥🔥🔥
barnaba wewe ni fundi brooo i like your part
D voice ni meja kunta ajae .Barbara umeua kinoma mzee
The reason I love the tanzanian musicians so much,is because u r so much committed to your work
Good work and I wish you the best of all guys mwaaaah!
Yani D.VOICE kuhingiya WCB sasa watu wana mfatiliya sana tu kama wewe nimihongoni mwawatu wanaho penda Lebo ya WCB wasafi festival gonga like hapa
Didn't know bdo ulikuwa unawachilia hits ata kabla ukuje wcb🔥🔥
Hata nlkuwa simjui nimekuj baada ya Diamond kumtangaza, kweli nimekubali WCB ni dude kuuuuuuubwa
Gong like 🤜🤛
Apo Kam umemkubal
Platform kwa vers Iyo✌️✌️
Kali sana❤❤❤❤
Nyimbo ni 🔥🔥🔥🔥
Waaaooh mwaaaa 😍😍🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿 shilling ngapiiiiiii!!!!!!!!!!!
They all did a great job 👏 🎉I love the song 🎵 so much from South sudan 🇸🇸
Wangapi waja hapa baada ya kusigniwa na simba❤
poa kabisaaaa
Kwahiyo kuachwa ni bure mazeee sioo
Tatzo sio shi ngap tatzo moyo ukishampenda kumuacha ndo utaki kabsaa
Unyama mwingiiiiii sanaaaaa 🔥🔥
D voice ni mtamzania kumbe
Walio itazama video iyi baada ya D Voici ku signe katika lebo ya WCB gonga likes tujuwane😅
Unyama sana 🙌❤kazi nzuri
Platform killed it at 80% of the whole song he killed it ... I appreciate him
Hakika Platform kawameza Barnabas na Lody Music japo wote wamefanya poa
Kazimzuliiii kaza mwanangu
Kesho Bhas Tunzo Wanampa Sholo Mwamba Jaman Nchi Hiiii Big Up Sana D Voic
Nyimbo Kali video Kali imejaa sana Kila sehemu but Kaa ukijua tu hii cyo singeli
kuna dogo kaficha wenzake apa
dah noma sana
The last guy killed with the lines🔥🔥🔥
Kwr tukiwa hatuna money wanatutexa
Mimi hapa sikumjua
Director hapa umeweza sio siri
Active Boy ft nakubali sana
Barnaba never disappoint but all of them did well🔥🔥
Platform uko juu kama mfuko wa shati keep it up bro❤
Lody music ameua kulko wote
Oyaaaaaaaaaaaa Weeeee goma la moto
Unajua kinomaaa Mwananguuu
Ako taented sana tunakuombea uzidi kung'aa 👏👏👏
Lody mkali jamn duh keep it up
Noma
Platform on fire ❤️❤️❤️❤️
Nomaaaaa
Kweli goma limeakisi kabisa
Da nakubal sana kaka
Kali aiseeeee
Umetisha dogo
I love the collaboration bros...much love from +254 ♥️♥️♥️
Sijawai ckiza singeli kama hii tangu nijue singeli bro d voice waenda mbali kaka mdogo 🔥🔥🔥
Kevya ndani ndani.💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mziki tamu ....nimewapenda jamani...Kwanza hii sauti ya anayesema mapezi ukaidi...nimependa...much love from kenya
D Voice Eeh Keep it up blood unaweza mzazi kikubwa kukaza Dua Nene kwako Unyama Sana✌🏽SINGELI FOR LIFE🔥
Let's go 🔥🔥
good style and fit voices kabisa this is a beautiful song guys and we need more.
keep it up
Platform Aliuaaaaaaaa
Kenya loving it 💯💯💯🔥
Plat4m onfire
Hongera sana mdogo wangu kuingia WASAFI FAMILY
D voice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎤
Nmefika huku ,,,after welcoming you WCB
❤❤❤ Barnaba never disappoint
Mauwaji noma sanaaaa
Platform Killed 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💥
Unyama Sanaa follow. Ringo boytz tz
Platform😍
Nshakuwa fun wa D voice
mmeua bonge la ngoma
Pratform💥💥💥💥💥💥
Nakubali wataelewa tuuh
Uuuh jamani ndo mziki was singeli
D voice with the cutest smile..... platform did justice to his verse, Vocals on point 👌
Video. Kali sana
Voice ya Barnaba.💘🔥
Noma sanaa
Classic Your Are The Killer No One Like You In This Song And Big Up Platform 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Oyaaaaaaaaaaaa nomaaaaa
Am here after signing wcb
Platform umenikosha Sana💪💪
Barnaba fundi wa music.... Yaan unaingia popote
Noma sana broo
Kwel wote mafund
Wooow you nail it guys love it nice song indeed 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍
From Rwanda nakupenda sana lody music
Motooooo motoooo
nyie nyie🙌😩❤️
Ila platform kaua sana hapaa
Platform kauwa Sana
🥰🥰🥰🥰🥰🥰✊🏽💪🏽💯
🔥🔥🔥🔥
Kali sana, asanteni ndugu zangu kwa ujumbe mzuri 🤗🤗🤗
Too much love from Denmark 🇩🇰💪🏽