"MBOWE ATAGARAGAZWA"MWANAHARAKATI WISEMAN AMKATAA MBOWE VIKALI"PUMZIKA" AMPA USHINDI MNONO LISSU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 34

  • @patrickmbeya6696
    @patrickmbeya6696 18 часов назад +2

    Bro anaongea vizuri sana katika uelewa wa juu sana. kila jambo lina majira yake.

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 23 часа назад +2

    🇹🇿✌️🙏✔️ Asate mkuu pamoja sana kamanda

  • @boniphacemabungo7064
    @boniphacemabungo7064 3 часа назад

    Uko vizur bro

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 6 часов назад

    Noel ole varoya ni mtu wa msimamo safi muda wote na mcha Mungu

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 23 часа назад +1

    Mabadiliko ni muhimu sana kwa taasisi, mbowe apime upepo, haipendezi miaka 20+

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 часов назад

    Shida ya viongozi waliowengi wanaangamia Sababu watu wanaowazunguka sio wakweli,na hata viongozi hawajui njia za kutaka kufahamu umma unasema Nini,

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 7 часов назад

    Nadhani dharau za Ccm zifike mwisho,Tunamuhitaji Tundu antipassis Lissu.

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 5 часов назад

    Uyu ni Mchaga Mbowe hadi wachaga wenzio wanakukataa

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 23 часа назад

    LUKA.19:40-"Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.!"

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 14 часов назад +1

    Wewe jamaa, uanze kuchana nywere sasa, akili yako iko vzr sana. Tanzania inaweza kupiga hatua kwa watu kama wewe, ila nywere hizo tafadhali. 😅😅😅

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj 3 часа назад

    Mbowe kasha jichokea CCM wanampiga rafu kila uchaguzi na sasa kabaki na mbunge mmoja tu!

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День назад

    Lissu hoyeeeeee

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi День назад +1

    Kwa nini mumshinikize kama hasikii,muacheni box la kura likamuonyeshe,muamuzi wa kidemokrasia,usio na ubishi.

  • @philemonkafyulilo7128
    @philemonkafyulilo7128 3 часа назад

    Pigeni kura sio kutaka kumtoa mbowe kihuni

  • @BARAKAKinana-n4y
    @BARAKAKinana-n4y 7 часов назад

    kamada tupo nyuma yako mwana harakati mwezetu kaka wa Arusha mwambia ukweli Mzee wetu mbowe maana ccm wametuzoeya sana

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane День назад

    Tunaenda na Lissu

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 14 часов назад

    Hapo pa kupata dola , CDM isubiri sana. Tanzania si Nchi ya majaribio hasa kwa kijiwe kama CDM. Lazima mjitofautishe sana, na muende na Utamaduni wa Taifa. Uongozi si kwa uwezo wa binadamu bali kwa udhaifu wake. Ili ujue ubora wa wanao pasta kuku saidia kazi.

  • @iam_maglan101
    @iam_maglan101 17 часов назад

    Yani kama mbowe ni wise aachane na hii race abaki kuwa Godfather wa M4C

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv День назад

    Tukutane mlimani tar 21 January

  • @abdulisiwa4118
    @abdulisiwa4118 День назад

    Democrasi sahihi

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 22 часа назад

    Nendeni mkampuzishe kwa sanduku la kura, sio porojo

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 15 часов назад

      Kwani Mbowe ni Mwenyekiti wa vyama vyote vya upinzani? Mwanaharakati hana point

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 21 час назад

    Zuzu hilo, jambo mnahoji kila takataka.

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 23 часа назад

    Mbowe atashinda huu uchaguzi

  • @ChalesLukumai
    @ChalesLukumai 22 часа назад

    Kura huondoa ubishi. Hata vitabu vitakatifu vinasema hivyo. Kwanini hamtaki kura?

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 15 часов назад

      Wanataka pepo lakini hawataki kufa 😅

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko День назад

    Mbowe utapata haibu

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 22 часа назад

      Nani alishawahi kuaibika Kwa kukosa kura?

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 22 часа назад

      Muhojiwa, kwanini uinasema uongo kuwa hakuna munkari. Nyie ni wabinafsi tu wala siyo munkari. Hata Lisu akipata uwenyekiti mtakuwa hivyohivyo. Mange aliwahamasisha mkatupa mkono.