"HILI NI ANGUKO LA MBOWE", PESA ZA WABUNGE VITI MAALUMU KIZUNGUMKUTI, 'WABANGAIZAJI' CHADEMA WANALIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 40

  • @brog1394
    @brog1394 15 дней назад +4

    Umeongea kwa facts sana! Good

  • @laizerstudio
    @laizerstudio 15 дней назад +4

    Jamaa amejitahidi sana kuongea facts,comparissons hajatuhumu kaongea hali iliopo ingefaa wote wawe hivi msitukanane kila mmoja amnadi kiongozi wake bila kumtusi mwingine

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 15 дней назад +4

    Ndagha fijo mwaisa 😊

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 15 дней назад +4

    #mbowe must go

  • @mahmoudukusso4488
    @mahmoudukusso4488 15 дней назад +2

    Yericco Nyerere njoo ujibu hoja

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 15 дней назад +3

    Lisu kwaza ✌️✔️

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 15 дней назад +5

    Wapinzani hawawezi kuchukuwa serikali mpaka ipatikane tume HURU na KATIBA MPYA.

  • @Mtuwawatu1993
    @Mtuwawatu1993 14 дней назад +1

    🔥🔥🔥🔥💯✅

  • @buberwaclemence8048
    @buberwaclemence8048 15 дней назад +2

    Aisee

  • @emmanuelstephen5710
    @emmanuelstephen5710 11 дней назад

    MBOWE MUST GO

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 14 дней назад +1

    Mbowe must and should go

  • @bulugunhandi
    @bulugunhandi 15 дней назад +2

    Leo nakuelewa sana Liberatus,hongera sana

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 15 дней назад +4

    Uwo ndio ukweli nguvu kubwa itatumika ili mradi lisu na heche wasipite Kwa sababu nimwiba mkali Kwa ccm

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 15 дней назад +2

    Zakayo ashuke

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 15 дней назад +2

    Ameishia kumpa samia Tuzo mbowe hana jipya

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 12 дней назад

    Akishinda Mbowe safari hii chama inakufa. Jaribuni Muone

  • @MikaAnyisile
    @MikaAnyisile 14 дней назад

    Libe unafaaa sana

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 15 дней назад +1

    Kwa nini watu wa CCM wanampigia chapuo Mh. Mbowe ? Hivi pilipili iko shamba inakuwashani ??

  • @AbigailBateyunga
    @AbigailBateyunga 15 дней назад

    🎉mbowe✖️✖️✖️✖️✖️must goooooo Alutaccontinuaa👪🤰💃🤽👭💪🇹🇿🇹🇿🙏

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 15 дней назад +1

    Hili ni genge la kuua upinzani na linafadhiliwa upande wa pili!! Kumbuka nccr cuf wako wapi

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 14 дней назад

    Mmh, kwenye pesa za michango ya wabunge wa viti maalumu umeniacha hoi. Kumbe CHADEMA ili uwe mbunge wa viti maalumu ni lazima ukubali sharti la kukatwa kwenye mshahara wako Tshs 1,560,000 kuchangia chama? Na 2015 - 2020 mlikuwa na wabunge 34 na pesa iliyokusanywa kwa miaka mi5 hiyo kwa michango hiyo ni almost 3.4B. Hizi pesa zilienda wapi? Au zote zililipa madeni ya "mfadhili na tajiri" wa CHADEMA Freeman Mbowe? CHADEMA hebu wekeni mapato na matumizi ya fedha zenu wazi tujue na kutupa moyo wa kuwachangia. Mbona mnakuwa kama CCM tu wezi na mafisadi?????

  • @SALIMUsafuko
    @SALIMUsafuko 15 дней назад

    Sisi CCM tulimng'oa lowasa akiwa na ushawishi MKUBWA NCHI NZIMA itakuwa hako kalisu Tena kanamtukana aliekakaribisha nadhani lisu na kakundi kake wataondolewa wakiweza kama ushawishi ni rahisi nawakaunde chama Chao lisu, heche,slaa na mwambukus Tuone mbiozao

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 11 дней назад

      Ushawishi wa pesa jamaa hatumii pesa lakini mnaona watu wanavyo mtaja ili ipite nafasi yeyote chadema lazima utumie upepo wa lissu kwani wanaomtaka Lissu wakunja ngumi Lissu atashida tunza hii

    • @AlumanaPilla
      @AlumanaPilla 10 дней назад

      Fikiri kabla yakusema

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 15 дней назад +1

    Mtapiga kelele mpaka ko zitawakauka lakini ukweli ni kwamba mbowe atashinda tu poleni 😂😂😂

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 15 дней назад +3

      Mtashangaa Lissu atakavyoshinda

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 15 дней назад +1

      Mshindi wa uenyekiti upo katika mahesabu ya wapiga kura ndani ya ukumbi. Tathmini ya ushindi ni uhakika wa mpiga kura kusimamia anachokiamini. Ni kama ilivyo Marekani kura milioni mbili hazina afya kwa kura 270 tu za electoral votes ! Kuna mahesabu yenye umakini. Tusubiri tuone maana tupo kwenye Count down timer !

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 15 дней назад

      @@richardnganya2311 Na kweli tusubiri

    • @jameshagwe3063
      @jameshagwe3063 15 дней назад

      Chawa kama chawa

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 8 дней назад +1

      Hata kwenye mpira. ukicheza na timu kubwa unapigwa magoli kibao lakini uunaendelea kupambana, hukimbii!! 😂! Mbowe atashinda!!!😂

  • @EMMANUELALFRED-q1v
    @EMMANUELALFRED-q1v 15 дней назад

    Hizi propaganda tumezizoea. Ujinga mtupu. Lisu yuko nchini kwa sababu ya maridhiano, alipopiga kura yake 2020 alikibilia ubalozini, kama ni bingwa mbona hakubaki nchini? Hatudanganyiki.

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 11 дней назад

      Na sisi hatudanganyiki na wachawi

    • @EmmanuelMoshi-q9f
      @EmmanuelMoshi-q9f 8 дней назад

      Tuna vilaza hatari nchini, ulitaka abaki ili, kama huna la kuongea tulia sio dhambi

  • @gracemnyani6848
    @gracemnyani6848 15 дней назад

    Mbowe ana haki acheni propaganda