JEBRA KAMBOLE: NAMUUNGA MKONO LISSU I WATU WANAIMANI NA LISSU NA MISIMAMO YAKE I SERA ZAKE ZINAVUTIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 28

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 12 часов назад +2

    Upo sahihi kabisaa sir...
    Solute....

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 19 часов назад +5

    Jebra upo vzr ndugu yng

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 19 часов назад +5

    Charity begins at home,mabadiliko ya katiba yaanzie ndani ya CHADEMA,yaende kwenye mabadiliko ya katiba y nchi.

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 18 часов назад +3

    Chama let ndio hivyo tena

  • @simonmagembe7416
    @simonmagembe7416 11 часов назад +2

    Lissu kwanza ili tubangaize

  • @SowetoBanks
    @SowetoBanks 11 часов назад +1

    LISSU VIVA LISSU

  • @ScentsationalHeven
    @ScentsationalHeven 11 часов назад +2

    Tundu lisu ni jibu

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 22 часа назад +4

    Yeriko mmempa dakika nyingi,,,Wakili mmempa Chache..

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 21 час назад +3

    Uko sahii wakili msomi

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 21 час назад +2

    Yeriko ilibidi ahojiwe tuhuma anazoto kwenye ukurasa wake wa Twiter..

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 22 часа назад +2

    Kidumu chama cha Mapinduzi, ....Mapinduziii...

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 8 часов назад

    JIBKWELI ANAYO MISIMAMO ILA SIO MZALENDOO ALAFU ANAROPOKA SANAA

  • @mosesibrahimu-kg1ib
    @mosesibrahimu-kg1ib 20 часов назад

    Sana wakili, achana na huyo mshamba yeriko yeye anazani chadema ni hao wapiga kula 1200, na mbowe wake, mtu wa ovyo sana, anasahau kuwa chama ni wanachama na wafuasi, au wananchi, viongozi ni wawakilishi na ni dira tu. Ni ujinga kufikiri uwepo wa matawi ya mti, bila mizizi, na shina.

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 21 час назад

    Mi natamani sana mtu ajizungumzie yeye kibinafsi...usiseme mimi namuunga mkono fulani na watu wana.....watu gani? Wewe ni watu? Jizungumzie mwenyewe

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 12 часов назад

    Ukiwa na kesi yako mpe hy jamaa ..jb bonge la wakili ..ni mafia wa sheria ..havumi tu.😳

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 20 часов назад

    Wewe siyo mwana chadema,Hupigi kura,hujui mambo ya chadema alafu unamuunga mkono Toto Tundu

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 18 часов назад +1

    Mihemko lisu,ajui kuonyesha staha zakisiasa

  • @jaccobojaccobo748
    @jaccobojaccobo748 22 часа назад

    Saf' sana wakili msomi

  • @KittaBoe
    @KittaBoe 19 часов назад

    ruclips.net/video/iQDDshPd-ow/видео.htmlsi=J7GU8ywX26gjpvLY

  • @haggaikinyau9047
    @haggaikinyau9047 20 часов назад

    Hivi wewe wakili unaposema Lisu ataweka ukomo wa uongozi, ina maana ni maamuzi yake peke yake? Hiki ni chama cha wanachama au cha mtu mmoja anayeitwa Lisu. Kama atafanya hivyo basi huyo ni dikteta mkubwa

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 19 часов назад

      yeye kasema atafanya maamuzi yake pekee yake? nonsense. Lissu ni mweneyekiti soon

    • @mzeem-wg4tm
      @mzeem-wg4tm 12 часов назад

      Hakuna udikteta ktk mambo ya msingi namna hiyo ambayo kila mwenye akili timamu anajua umuhimu wake katika kuendeleza Jamii ya ki staraabu na siasa zenye tija kwa wengi.

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 8 часов назад

    JEBEA KAMBOLE UNABWABWAJA TU HOJA ZAKO HAZINA MASHIKO