Highlights | Simba 0-1 TP Mazembe | Simba Day 19/09/2021

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 323

  • @lizikimfilinge4182
    @lizikimfilinge4182 3 года назад +24

    Azam tv ni taifa kubwa kama unamini ivo gonga like

  • @hashimuzuberi2067
    @hashimuzuberi2067 3 года назад +5

    Akuna cha mechi nzuri simba ni timu libovu tu wamechezewa mpira mwingi sana mashabiki wametulia kama wamemwagiwa maji

  • @philippemukandama2960
    @philippemukandama2960 3 года назад +26

    Guys this game was like a final.🔥🔥🔥, Thank you so much MO for inviting one of the best Club in the continent.
    I really enjoy the game.
    Big congratulations to tp Mazembe and Simba sport club.🇨🇩

  • @josuemukeba2396
    @josuemukeba2396 3 года назад +23

    c'est une veritable ligue des champions; match de haut niveau malgré une legere domination de Simba, bravo au TP

  • @glodnkondo7776
    @glodnkondo7776 3 года назад +6

    wow I'm Congolese I'm so glad thy perform 😍😍😍😍😍

    • @mr_ogc6233
      @mr_ogc6233 3 года назад +2

      Kibu he’s Congolese be proud

    • @glodnkondo7776
      @glodnkondo7776 3 года назад +1

      yes we have to be proud

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 3 года назад +15

    Mechi Ilikuwa Ni Nzuri Sana
    Bravo to Simba Nadhani Muda Mfupi Ujao watakua na Team Nzuri Zaidi

  • @giressemokelwa7657
    @giressemokelwa7657 3 года назад +8

    Mazembe sio kunguru
    Mazembe ni mamba

  • @kindokiss833
    @kindokiss833 3 года назад +11

    honestly, my team tp mazembe performing , I really appreciated and I wish all the best to the team for the caming caf champions league. God bless. from: P.stone

  • @kennethkennedy717
    @kennethkennedy717 3 года назад +9

    Bonge la game kama fainali hivi🙏🙏 blessed brother Mo

  • @j...876
    @j...876 3 года назад +14

    Ces jeunes congolais qui sont les corbeaux de tout le temp m'ont fait fierté d'être congolais d'origine 🇨🇩🥰

    • @mzeewajambo8293
      @mzeewajambo8293 3 года назад +2

      Tutakutana Kwenyw Mechi Ya Mashindano Ya CAF Champions League Lazima mtafungwa na hapo ndo kwa mkapa

    • @ronsardgalilee9488
      @ronsardgalilee9488 3 года назад +2

      @@mzeewajambo8293 Kabumbu ni fair play

    • @mzeewajambo8293
      @mzeewajambo8293 3 года назад

      @@ronsardgalilee9488 Ndio Ni Fair Play

    • @someaafrika.3379
      @someaafrika.3379 3 года назад

      Muamko mpya Afrika.
      Timu zote zilicheza vizuri kabisa, japo mwisho wa siku baba atabaki kuwa.....
      TZ 🤫

  • @messaoudarbane1670
    @messaoudarbane1670 3 года назад +2

    Je suis un supperteur de jskabylie et j'ame le football africain et les clubs africain enchalah viendra un jour en se déplace partout en Afrique bonne chance pour le simba cette année plain de réussite vive la Afrique vive le football africain vive les africains la Afrique pour les africains supperteur de jskabylie algérien et faire d'être africain

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 3 года назад +18

    Licha ya kufungwa na TP Mazembe Ila Simba wameonesha soka safi la kujiamini na kishambulia,Still best team in East Africa.Simba babalao

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 3 года назад +17

    TP MAZEMBE mnatumia vinywaji gani niwapooze maana wananchi tungeishi kwa shida

    • @samwelmangi843
      @samwelmangi843 3 года назад

      Hahaha kufa kufaana et! Mngenyooka utopolo fc

    • @msafirisalum8436
      @msafirisalum8436 3 года назад

      @@samwelmangi843 haloo jana hata vibaka hawajaiba wamaelala doro kinyamaa

  • @officialkenzo5034
    @officialkenzo5034 3 года назад +5

    Huyo kinzumbi🔥🔥🔥

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 3 года назад +9

    Safiii sn TP Mazembe...bonge la Goliiiii 💪💪💪💪💪

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 3 года назад +5

    Game ilikuwa Kali sana, kama final ya caf champions league

  • @hajihija1903
    @hajihija1903 2 года назад +1

    Haya magoli wacongo ni mazoea yao Sasa jipangeni sana Simba Mayele is comming on 🔥🔥🔥

  • @officialmidy_og
    @officialmidy_og 3 года назад +17

    Manula fundi sema ilkuwa ndo ivo ishaandikwa Simba 🦁 4life

    • @kingyeskingyes2263
      @kingyeskingyes2263 3 года назад

      Nguli ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html💥💥💥💥💥💥🥰🥰🥰

    • @pamphilchokala6878
      @pamphilchokala6878 3 года назад +2

      kolo fc vp kwa mkapa hatoki mtu

    • @hafydhmo9566
      @hafydhmo9566 3 года назад +1

      Dulinyo😂😂😂😂msalimie rocky

  • @tittoskeysproject1967
    @tittoskeysproject1967 3 года назад +23

    Simba ina team bora! Ingawa mm ni Yanga huo ndo ukweli

  • @amadidiwan4986
    @amadidiwan4986 3 года назад +5

    Simba ipo vizuri nauakika itafanya vizuri #CCTunamungu

  • @hellenpaul9671
    @hellenpaul9671 3 года назад +8

    Well done simba My favorite team

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 года назад +3

    Asante Sanaa chama langu la Simba Kwa kiwango mlicho kionyesha 🙏🙏
    Hayo makosa Nina iman mtayalekebisha Ukiona panavuja weka bati mpya 👊

  • @mkemiamagege8477
    @mkemiamagege8477 3 года назад +1

    Hii SIMBA no nzuri sana inakwenda Speed sawa na aina ya mchezo na wanapiga pass fresh kabsa Simba. Yaani hii Simba ni tofauti na ile ya msimu uliopita.
    Wachezaji hawa wakizoeana katika michezo ya ligi kuu na champions inamaana itakuwa ni timu ambayo itakuwa hatari sana kama sio tishio Tanzania na Afrika nzima.

  • @jumamwaliko452
    @jumamwaliko452 3 года назад +4

    Poleni Sana simbaaaaa

  • @benjaminenyasanga2195
    @benjaminenyasanga2195 3 года назад +12

    simba imefungwa ila kikosi chao ni kizuri saana.
    tusubiri mechi zaidi kujua gape limezibwa au bado lipo tu
    #NGUVU_MOJA

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 3 года назад +1

    Safi sana mazembe mmejua kutufurahisha maana tusingekunywa maji

  • @allymatengula1259
    @allymatengula1259 3 года назад

    Simba juu tuu, hatakama haikupata matokeo na mazembe..., Big up mnyama.

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 3 года назад +14

    Mm yanga lakini ngao ya jamii tujipange simba hatari

  • @daudkhatib81
    @daudkhatib81 3 года назад +8

    Kufungwa. Kufungwaa. Tu Kama mngeshina mungejisifuu.sannaa

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 3 года назад +7

    Simba ni Wanaume wa Shoka!!!

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +8

    Ushindani ulikuwa mkubwa sana kufungwa inatokeaga tu km bhti mbaya vile ila simba hki imejithidi sanaa

  • @mehboobkarmali5211
    @mehboobkarmali5211 3 года назад +21

    Well done Simba

    • @kingyeskingyes2263
      @kingyeskingyes2263 3 года назад

      Nguli ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html💥💥💥💥💥🥰🥰🥰🥰🥰

  • @someaafrika.3379
    @someaafrika.3379 3 года назад +2

    Muamko mpya baarani Afrika💪
    Timu zote zilicheza vizuri japo mwisho wa siku baba anabaki kuwa baba.

  • @hashimuzuberi2067
    @hashimuzuberi2067 3 года назад +1

    Simba ni mnyama aina ya panya ana maajabu yoyote wachezaji wanalukaluka tu

  • @hasheemkaz2732
    @hasheemkaz2732 3 года назад +23

    Ebana pira limepigwa yaani hapo tembo walikutana. Huo usajili nimeuelewa. alafu nilisema huu sasa ndio wakati wa RB maestro megician left footer kung'aa kama chama.

  • @Redgoby
    @Redgoby 3 года назад

    Yeeeeah, mpira saafi kabisa no matter simba imefungwa lakini imecheza mpira mmoja mtamu sana, congratulations to Tp mazembe, Simba SC pamoja na MO Dewji (MO) kipimo kizuri sana, #nextlevel

  • @elisamasha4666
    @elisamasha4666 3 года назад +6

    Grt Simba big play

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +3

    Simba wamefanya vixuri sana kuichukua hii timu kwa mjribio wengine ni. Mitelezo tu safi Simba mmejithidi sanaaa

  • @bababrenda8832
    @bababrenda8832 3 года назад +2

    Etyiijiiii mbna uyu lefa mkali sana kasema buda boss aaawooteeh so mimi

  • @makameibrahim5086
    @makameibrahim5086 3 года назад +11

    Kiwango kimeonekana hongereni Simba

    • @linuskyando4155
      @linuskyando4155 3 года назад

      Kiwango bila MATOKEO ni Zero HATA Arsenal Wana KIWANGO

    • @castrocastro9615
      @castrocastro9615 3 года назад

      @@linuskyando4155 ni nini maana ya neno matokeo? Au hayo yaliyopatikana unayaitaje? We kweli kidimbwi fc.

    • @castrocastro9615
      @castrocastro9615 3 года назад

      @@linuskyando4155 hv kwanza unajua lengo kubwa la tamasha la Simba day?? Au ndio kuzungumza usichokijua?

    • @linuskyando4155
      @linuskyando4155 3 года назад

      Kwani Wewe ULIKUWA hujui LENGO LA TAMASHA LA YANGA? MALENGO YETU YANAFANANA WOTE TUNA TIMU MBOVU

    • @jumahamad9463
      @jumahamad9463 3 года назад

      KIWANGO KWELI KIMEONEKANA CHAKUFUNGWA MAKOLOKOLO

  • @originalsal2141
    @originalsal2141 3 года назад +19

    This was so fun to watch. We need an East African Cup knockout tournament or something….

  • @mandalorian_4.11
    @mandalorian_4.11 3 года назад +8

    Eti kwa mkapa hatoki mtu.... 😭😭😂😂😂😂 #kolokolofc

    • @godyfataa4800
      @godyfataa4800 3 года назад +1

      Hatukumbuki mara ya mwisho kufungwa hapo Club bingwa na Shirikisho ni lini!!! Utopolo mmepigwa mande hapo juz

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +3

    Simba nguvu moja msife moyo mashabiki mpora ulikuwa mgumu sna na Simba ilinithidi sanaaaas 25 utopolo hawatoki sisi tunakikosi kixiri sana kinachoaminiwa na kuthubutu kucheza na Timu kubwa km Tp mazembe na nyinginezo

  • @izvibez6823
    @izvibez6823 3 года назад +5

    Nyiiieee mcongo hanaga show ndogo 😂

  • @anthonymwambepo7441
    @anthonymwambepo7441 3 года назад +1

    Mugaru brother man kishenzi

  • @dicksonmmary7311
    @dicksonmmary7311 3 года назад

    Manula umeonyesha kipaji chako safiiiiiiiiiii Sana Tanzania one

  • @armandonappa435
    @armandonappa435 3 года назад +6

    Asante sana mAzembe

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 3 года назад +1

    Mikia Bado sana, mnaruka ruka tu ovyo bila mpangilio.

  • @innocentherman5101
    @innocentherman5101 3 года назад +7

    to be honest mechi ilikuwa level ya nusu fainali za caf champions league, ahsante timu yangu ya simba nina imani na kikosi chetu

  • @sapduke8691
    @sapduke8691 3 года назад +14

    SIMBA SC, you got a very good and organized team BUT, you need to get a better GOALKEEPER! Your keeper made some stupid mistake that costed the team! Also the upfront attacking players need to focus more & HIT THE TARGET.....There were clear goals but the target was never hit!! TARGET! Simba could have surprised TP Mazembe if only the players shot to the target! In comparison, TP Mazembe upfront attackers kept hitting the target which exposed the keeper Aisha

    • @emmanuelmartin9128
      @emmanuelmartin9128 3 года назад

      True brother ,thanks for nice coment

    • @colonelmustafa7213
      @colonelmustafa7213 3 года назад +1

      True bro.the goalkeaper is bulshit..what type of mistake is that..

  • @kimbilikiti2
    @kimbilikiti2 3 года назад +4

    Isimtusi Mamba kabla haujavuka Maji. TPM ni Mamba ananjaa Kali, Simba kaliwa na Mamba.

  • @onlygame5110
    @onlygame5110 3 года назад +1

    Azam naomba niulize swali hii camera inayo tu tumika hapa ni ya wapi? Maana sio kwa 4K hii

  • @happyshayo372
    @happyshayo372 3 года назад +2

    Simba jamani. Chama na miqson waliondoka na mpira wao😂😂😂😂😂😂

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 3 года назад +1

    Msumari Wa moto.

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +5

    Pole sana Manula umejithidi sana lengo lilikuwa kuokoa lkini ndo hivyo ukjikut nawe unzama

  • @ronsardgalilee9488
    @ronsardgalilee9488 3 года назад +4

    Congratulations Tout puissant Mazembe anglebert

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 3 года назад +7

    Hii ni timu nzuri naimani itafanya vizuri

  • @amosleonard7359
    @amosleonard7359 3 года назад +2

    Safi sana

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 3 года назад +5

    Simba Day imeadhimisha,ila kuna kitu bado kinanitia wasiwasi,wapi Mwinakaduguda,simba wa Yuda?🙄🙄

  • @colonelmustafa7213
    @colonelmustafa7213 3 года назад +4

    Simba is going to be the best team in Africa.. I have enjoyed the game..BUT manula as goalkeeper .he had made us loose the Game.. We don't need these stupid mistakes anymore.. Manula you have to go to yanga please leave Simba

  • @Majaliwa-l3y
    @Majaliwa-l3y 3 года назад +5

    Simba 🔥🔥🔥🔥💪💪💯

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 3 года назад +3

    Asante Mungu tumeliona pengo la chama na miqson 😂😂😂😂😂

    • @allyfaki209
      @allyfaki209 3 года назад

      Hakuna pengo la chama wala Miquissone

    • @allyfaki209
      @allyfaki209 3 года назад +1

      Hao Chama na Miquissone wameonesha ubora kwenye siku chache tu kusajiliwa?

    • @allyfaki209
      @allyfaki209 3 года назад

      Utakuta walikaa muda wa miezi mitatu hadi minne ili kuzoeana na wenzao baadae timu ndo ikawa kali sana

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 года назад

      Na jina lako hamida linasadifu ukichoandika ahahaaaa , kwani wao walikaa mwezi 1 wakawa fiti?

    • @mchezakamaliog265
      @mchezakamaliog265 3 года назад

      @@emmadora7848 na vp kuhusu wachezaji wa yanga wao wana miaka mingapi wakiwa pamoja?

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 3 года назад +3

    Acrobatic Fantastic goal

  • @omaryregga5315
    @omaryregga5315 3 года назад +1

    Timu nzuri san

  • @johnsonmbwana1405
    @johnsonmbwana1405 3 года назад

    Cmba iko vizur mno

  • @philipkomba5525
    @philipkomba5525 3 года назад +6

    Tp mazembe msimu huu CAF CL lazima watafika mbali ...wapo focus sana wana wachezaji wazuri, Simba naona wachezaji walicheza ilimradi tu, mfano Bernad Morrison yaani hakuwa na impact kabisaa

    • @rashidramadhan1931
      @rashidramadhan1931 3 года назад

      Kabisa bwana Phillip Komba.Hakika Morrison amenikera sana kiwango chake Cha kawaida sana aseee halafu hakuwa na impact yoyete

    • @linuskyando4155
      @linuskyando4155 3 года назад

      Kipimo watakapokutana na YANGA ILIYOKAMILIKA JMS, DJUMA, AUCHO, MAYELE NDANI MJICHANGANYE MPANGE WACHEZAJI VIBAYA MOTO UTAWAKA

    • @thaddeojude7511
      @thaddeojude7511 3 года назад

      @@linuskyando4155 kwani hao wachezaji wa unaowataja si walishakutana na simba wakiwa As Vita...na kipigoa wakakipata nje ndani..labda kama wamebadilika..

    • @linuskyando4155
      @linuskyando4155 3 года назад

      Wachezaji WA KONGO HAMWAWEZI ONA JANA WALIVYOWACHEZESHA NDOMBOLO YA SORO

    • @samwelmangi843
      @samwelmangi843 3 года назад

      Sio kweli aisee au kwa kua tumefungwa ndo unatulaumu

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 года назад +11

    hiki ndio kipimo sahihi cha kujiandaa na ligi ya mabingwa

  • @ismailmchome40
    @ismailmchome40 3 года назад +6

    Kikosi kikopoa t kufungwa nikawaida ila wameonesha ushindani mkubwa

  • @wilmatonbonefas2511
    @wilmatonbonefas2511 3 года назад

    Mashabiki wa simba msife moyo huo nimwanzo kikosi cha simba kiko vizuri

  • @ibrahimabdijuma962
    @ibrahimabdijuma962 3 года назад

    Thanks

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 3 года назад

    Tumefungwa kihalali na tim bora Africa

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 3 года назад +2

    Simba mtatoa hesabu kwa Yanga juma mos lazima mfungwe

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +1

    Safi Timu kubwa Simba tumefungwa ila ninafuraha sana kwa simba kuthubutu kuiita mazembe haki wamejipoma vizuri mno safi ingekuwa utopolo kumi yashawahusu kama River wamewapiga je hawa wangewapa kumi

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 3 года назад

      Unaongea pumba kama sio takataka

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 3 года назад +5

    Hapa kwa hii TP ingekuwa Uto wangekula c chini ya mkono

    • @asiarashidi1520
      @asiarashidi1520 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we jifariji tu...ila ndy hvy mpira ni mchezo wa makosa unahitaji ukosee wenzio wakuadhibu

  • @zaizainabu2948
    @zaizainabu2948 3 года назад +3

    Tusikate tamaa wanasimba tuangalie wapi penye makosa turekebishe japo mchuano ulikuwa mkali Sana hongera wachezaji na dirisha la ufundi

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 3 года назад

      Nani alisema amekata tamaa? Wew unayeongea hivi ndo unaonyesha kuwa na wasiwasi

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 3 года назад

      Sisi wanasimba tunaona kikosi bomba mno

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +4

    Yaani ilikuwa walinzi waende ple golini chapu jmn bsi tisilaumu pengine walifikiri mpira unazidi kuchezwa kumbe ushaingizwa duhu

  • @onlygame5110
    @onlygame5110 3 года назад +1

    Naomba niseme kitu kama azam amefanya hivi Africa mashariki inatulazimu tuwe na camera za namna hii kwa kila kituo cha lining naomba nileweke nisitafriwe vibaya kwa macho yangu nimeona hivo

  • @b1vevo
    @b1vevo 3 года назад +1

    Hawa Simba ni wa kawaida sana na awamu hii lig ya mabingwa hawatoboi,

  • @mussabonny7370
    @mussabonny7370 3 года назад

    Simba day am 🔥 fire

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 3 года назад

    zemanga soze ni fundi sana.

  • @ibrahimsanga690
    @ibrahimsanga690 3 года назад +3

    Sadio kanoute ni moto...

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +7

    Safi sana Manula dah pira linachezwa jmn huwiii

    • @allyfaki209
      @allyfaki209 3 года назад

      Hao chama na miquissone walionesha makali ndani ya mwezi mmoja toka kusajiliwa?

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 3 года назад +4

    Ila Morrison amepoteza mipira Sana ajirekebishe

  • @b1vevo
    @b1vevo 3 года назад +1

    Ukilinganisha mpira uliochezwa Yanga day na huu, hakika Yanga day ilikuwa mechi nzuri. wanafiki endeleeni kuyapamba majezeza badala ya kuchanga hela za matibabu.

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 года назад +1

    Kipa nanialimtuma atoke golini simba wanatia hasira wamezubaa sana

  • @haridyhillaryndembo7848
    @haridyhillaryndembo7848 3 года назад +11

    Bora hata goli LA yanga tuliliona, Simba butu🤣🤣

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 3 года назад

      Gem ilikuwa kali sana ilotawala ufundi na mafundi. Tofauti na yanga mpaka balozi kasema mech ya yanga km mazeozi tu cjaelewa kitu huezi kujua km clab bingwa

  • @hulilodonard5524
    @hulilodonard5524 3 года назад +1

    Naipongeza timu yangu ya Simba kwakuleta timu nzuri nakubwa maana imekua kipimo sahihi kwenda kimataifa

  • @saudaabdully745
    @saudaabdully745 3 года назад

    Mkojan, kwenye, simba, day

  • @cityhunter6858
    @cityhunter6858 3 года назад

    Tuendelee tu kuijenga tim mana hatuna hapa

  • @kazijahassan1397
    @kazijahassan1397 3 года назад +2

    Safi sana aish manula

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 года назад +2

    Walinzi plz Simba mjithidi kutazama hpo zaidi

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 3 года назад +7

    Mabingwa mara tano wa Africa na mabingwa sifuri wa Africa kolo Fc aka nyumbu

  • @nelsoncharles4750
    @nelsoncharles4750 3 года назад +1

    Cheap is expensive kama arsenal vile kutengeneza na kuuza

  • @issanyagawa9661
    @issanyagawa9661 3 года назад

    🦁🦁🦁🦁

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 3 года назад

    Simba hamna team mmeisha mkajipange upya kwa team hamna maajabu

  • @bertha6322
    @bertha6322 3 года назад +2

    Tp mazembe siyo ya mchongo kila mala simba anakalia kidude

    • @augustinochimtunga2391
      @augustinochimtunga2391 3 года назад

      Umejiuliza Simba super cup zile4G walipigwa na nanani?
      Simba kapata ajali ya baiskeli,kachubuka tu safari inaendelea,ila uto wazee wa mapokezi wamegongwa na guta chali motchual🙄

  • @rashidrajab1391
    @rashidrajab1391 3 года назад +8

    Nguvu moja

  • @bey1189
    @bey1189 3 года назад

    Mbona hamjaweka full gem

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 3 года назад +8

    Mabeki mmemponza Manula wangu!

  • @stn4873
    @stn4873 3 года назад +3

    Game ilikua nyeupe hii, wachezaji wamefanya mzaha tu.