Highlights | Simba SC 0-1 Yanga SC | VPL 03/07/2021

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 июл 2021
  • Mabingwa wa Kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamewatandika watani wao wa jadi Simba bao 1-0 katika #KariakooDerby iliyopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la mchezo huo limefungwa na kiungo Zawadi Mauya, dakika ya 12
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • СпортСпорт

Комментарии • 606

  • @jumajuxx4925
    @jumajuxx4925 2 года назад +16

    Kama kweli we mwana YANGA na unaipenda YANGA gonga like hapo nikujue

  • @asiaathuman128
    @asiaathuman128 2 года назад +60

    Anaerudia rudia hii gem mpk sasa gonga like 👍tujuane

  • @misigarojeandedieu1865
    @misigarojeandedieu1865 2 года назад +6

    Asanteni sana Azam tv, tena heshimu Kwako kaka barrack mpenja...Rwanda tunakupenda sana💓💓💓🇷🇼🇹🇿

  • @josefitina2633
    @josefitina2633 2 года назад +10

    2naoisubili fainali kigoma 2juane kwa like hapa chini

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 Год назад +7

    Hii mechi Simba walizidiwa sana licha ya kusheheni mastaaa wakali km Miquison,Morrison,Chama,Kagere,Boko n.k

  • @ayoubben27
    @ayoubben27 2 года назад +17

    i from morocco Yang African The best club 👍

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 Год назад +6

    Tumewachapa sana makolo fc aka wachawi

  • @ndayishimiyeegide5181
    @ndayishimiyeegide5181 2 года назад +9

    Tanzania Youga Rwanda rayon sports fc asanten sana

  • @akshitsharma9488
    @akshitsharma9488 2 года назад +10

    Love from India 🇮🇳 hope Tanzania one day become Football Superpower

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 2 года назад +5

    Leo mbona Azam mmewahi kuileta hii game 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, hongereni sana kwenu Azam Tv, Mkia FC kafaaaaaaaaa

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 2 года назад +8

    Kushabikia yanga raha sana aki ya mungu

  • @josephnjau9544
    @josephnjau9544 2 года назад +8

    Mzee mpili shikamoo

  • @judithemmanuel9845
    @judithemmanuel9845 2 года назад +3

    Ilove you yangaaaaaa

  • @suzanafromomani2973
    @suzanafromomani2973 Год назад +4

    Kama kawa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💐💐🌹🌹🌹👊👊👊👊👊Tomorrow namungo yanga africa 2 namungo 0

  • @nkeshimanaisra4189
    @nkeshimanaisra4189 2 года назад +9

    I'm supporting young Africa team yangu

  • @abdallahm86
    @abdallahm86 2 года назад +9

    Asante Shikaro Asante wachezaji wote wa Yanga🔰🙏🏼

  • @constantinedeus9530
    @constantinedeus9530 Месяц назад +1

    Hii chanel vp mbna downloaded haziplay mpaka access ya Bundle

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 2 года назад +9

    Hongera sana yanga Africa

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 2 года назад +4

    Hongereni sana watani kwa kweli mlistahili ushindi, sikuangalia mpira lakini baada ya kuangalia hii highlight nimekosa hata cha kulaumu, mlicheza jihad, mmestahili ushindi tena wa halali kabisa 👏👏👏! Naamini next derby itakayochezwa Kigoma itakuwa moto sana! Nachowashauri, Simba wataenda kujiuliza huko Kigoma, mkajipange kisawasawa maana wenzenu hawatokubali tena uteja! Michezo ni furaha, michezo ni amani, amani iwe juu yenu wote wanamichezo wenzangu 🙏🙏

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 2 года назад

      Umeona penati za wazi alizokataa refa? rudia tena dk ya 13:42 na dk 18:08 kwenye hizi highlights uone madudu ya refa

    • @jrumesele9843
      @jrumesele9843 2 года назад

      Ww mwanamichezo broo wenzio wanalilia penalt hukuuuu tukutane kigoma kule itakuwa ngoma ngumu mtoto having nepii

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 2 года назад

      @@jojigeorige1056 imeisha hiyo mbona unateseka jamaa kakoment vizuri tu😂😂😂

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 2 года назад

      @@onesmojustice2348 Si kasema hajaangalia mpira? au we umesomaje? kama hajaangalia mpira tunamkumbusha aangalie pia na matukio mengine vizuri...

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 2 года назад

      @@jojigeorige1056 huna jipya umepigwa basi ngoja kigoma ndo ujiulize umepigwaji na refa awe mo

  • @immatheboytz5626
    @immatheboytz5626 2 года назад +9

    Amuwezi kuja kutangaza ubigwa kwa wanaume wenye ndevu
    Yanga timu kubwa yenye wachezaj wanao jielewa

  • @emmanuelmalima5939
    @emmanuelmalima5939 Год назад +5

    2023

  • @lukaliwakukodiwa1617
    @lukaliwakukodiwa1617 2 года назад +4

    45 mm ndo wakwanza likee💛💚💚💚💚

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 года назад +12

    Yanga hii MAKOLO wamepigwa kibolo, Simba walikuwepo fulu , sasa hii Yanga ya Sasa hivi si ndo NOMA Zaidi...!

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 года назад +6

    Leo Yanga mmejua kunikosha kwa kwelii kusema Kelli simb wananuksi mbele ya Raisi aibu kwa kweli

  • @queenjjmoney3713
    @queenjjmoney3713 2 года назад +1

    ONA LOVE YOU YANGA💛💚💛💚

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 2 года назад +3

    Wanabahati sana kwa kufungwa. Moja tu. Kiwango cha uchezaji wa Yanga ni 65% ya Simba.

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 2 года назад +3

    Wanachi tunashine kama kawa💚💛💚💛💚💛💛💛

  • @jacklinendimbo4529
    @jacklinendimbo4529 2 года назад +5

    Ila huu mchez simba ilibid wapigwe hat 4

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 2 года назад +1

    I Love Yanga💚💛💚

  • @godfreyphiri5607
    @godfreyphiri5607 2 года назад +2

    Good job Young African I love u

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 2 года назад +3

    Alhamdulillah 🍐🍐🍐🍐

  • @aud548
    @aud548 6 месяцев назад +2

    Sema nabi kayanyanyasa sana haya majamaa😂😂😂😂

  • @irenezamda1063
    @irenezamda1063 2 года назад +4

    Oyoooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥wananchiii

  • @imanikalolo9783
    @imanikalolo9783 2 года назад +2

    Leo mpaka kibendela ameingia ndani ya kiwanja yanga kweli noma.

  • @alexshora8943
    @alexshora8943 2 года назад +2

    Simba always is soo proud, it's good for Yang's to to win the game.

  • @wensslausmbifile6322
    @wensslausmbifile6322 2 года назад +2

    Nimekubali

  • @umuhmeddy766
    @umuhmeddy766 2 года назад +2

    Wananchiiiii😊💛💚💛💚💛💚💛🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️📌📌📌

  • @Mkumba1010
    @Mkumba1010 2 года назад +6

    3/7/2021 yanga 🔥🔥

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA Месяц назад

    Makolo wameteseka sana kwa coach #nabi

  • @blackvirus8740
    @blackvirus8740 2 года назад

    Thaaanx Wananchii U made it 💚💚💚💚💚

  • @kateibwalya7478
    @kateibwalya7478 2 года назад +5

    Yanga oyeee

  • @salvatorymtunga2802
    @salvatorymtunga2802 2 года назад +6

    Morrison alipokuwa club ya kihistoria aliifunga Simba, eehee alipoingia mikiani alishindwa kuifunga.YANGA, aibuuuu.

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 2 года назад +7

    Niliye mgonga mala nyingi kuliko wote ni Simba aaaaaaaaa

  • @revocatusmchumila8172
    @revocatusmchumila8172 2 года назад +5

    kweli hii ndio yang

  • @emmanuelkhisa8453
    @emmanuelkhisa8453 Год назад +2

    Pitia frm 254💥💥

  • @amedroizyvictor6234
    @amedroizyvictor6234 2 года назад +4

    Yanga raha👍

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 2 года назад +12

    Ila yanga are techical good am not a tanzania either

    • @marianamontoedi2333
      @marianamontoedi2333 2 года назад

      True

    • @mohammedomary9476
      @mohammedomary9476 2 года назад

      We have lost only two matches in the premier league less than any other it was unlucky that we didn't win the cup of premier league but next season hopefully we will be on🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 2 года назад +1

    Alhamdulillah yanga for life

  • @mansoolpapalah9537
    @mansoolpapalah9537 2 года назад +2

    🔥Daima Mbele Nyuma Mwiko🔥

  • @masterbosco8781
    @masterbosco8781 2 года назад +11

    Simba wasipoangalia watafungwa tena naangalia marudio hapa

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 2 года назад +1

    No 5 on trending

  • @josephchongolo6916
    @josephchongolo6916 2 года назад +1

    I love yanga👉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mathewndunguru6340
    @mathewndunguru6340 2 года назад

    Bahati haikuwa upande wetu. Simba imecheza mchezo mzuri sana wachezaji wetu wanajiamini ipasavyo big up our players & tech bench we are simba forever and ever. Ubingwa zetu pale pale Vpl + ASF

  • @nicholausjeremiah.5229
    @nicholausjeremiah.5229 2 года назад +6

    Simba ,,wakubali tu ,,walichezewa tu leo ,,mpira ,,hakuna bilian hapo ,,wajalibu siku nyingine

  • @nehemiahbalinga4786
    @nehemiahbalinga4786 2 года назад +5

    😂 😂 😂 Daima mbele 🙏 🙏

  • @jangwanjaphet9400
    @jangwanjaphet9400 Год назад +3

    Simba hii mechi wailstahil kabsa kufungwa, maana walinunua refa, rafu alizokuw anacheza bocco kwa mukoko ndo kolichowany wafungwe

  • @trendingtv4182
    @trendingtv4182 2 года назад +2

    Super

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 года назад +5

    Hii picha waliopiga marefa na wachezaji makeptain imependeza sana ingekuwa sana angekuwepo yule mvaa suti angeharibu picha

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 Год назад +1

    Kisinda alikuwa vizuri sana kipindi anakuja

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 года назад +1

    Woyooooooo sisi ndo wananchi

  • @francishura7627
    @francishura7627 2 года назад +5

    Waliokimbia saa11 tarehe8 Leo tarehe 3 na tff yao kimewakuta,, walijua tarehe8 May wangekufa nyingi,. Ila Leo walijua wanakufa1 wakaleta timu... Simba kageuka paka

  • @jacksonjoas3908
    @jacksonjoas3908 2 года назад +1

    Love you yanga mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @husseinjuma3944
    @husseinjuma3944 2 года назад +2

    Yanga Baba lao

  • @logoutjrgongzulu1572
    @logoutjrgongzulu1572 2 года назад +5

    Wao walifikiri sisi Kauza Chips nini.?? Sisi ndo Kuala Lumpar watoto wa Ocean road habari iwafikie na hizo ni shamla shamla za posa ndoa tarehe25 Kigoma

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 2 года назад +1

    Asante sana yanga👍👍👍😊

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 2 года назад +8

    ,😂😂😂😂😂😂makolo bhana wali pewa kichapo 😃

  • @boscombembe5580
    @boscombembe5580 2 года назад +6

    Yanga leo mnastahili Kama pira mmenipigia

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 года назад

      Umiliki 69 kwa 31 ndio wameupiga ahahaaa sema wameshinda

    • @ismailsaid6136
      @ismailsaid6136 2 года назад

      @@emmadora7848 Jamaa unateseka sana...1st half possession ilikuwa hivyo??

  • @elizerbethmichael9992
    @elizerbethmichael9992 2 года назад +3

    Kwan hata km mngepewa hzo penat mngeshinda bac? Ni lini mliwahi kushinda mbele ya Rais?

  • @antonjohn8865
    @antonjohn8865 2 года назад +4

    Simba warembo to

  • @fahadingonda2070
    @fahadingonda2070 2 года назад +2

    Ongera sana yanga

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 2 года назад +1

    Bwalya...player of the match 👍👏👏👏

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 Год назад +1

    Hapa ndio nilianza kumuelewa kocha Nabi

  • @anthonysimya4244
    @anthonysimya4244 2 года назад +7

    Hii ndio Yanga , katangazieni ubingwa tff wanao wapa viporo paka nyie.

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 2 года назад +4

    Kwa leo Onyango na Wawa walikuwa kama viaz pori🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @priscaerick9635
    @priscaerick9635 2 года назад +1

    Hata tufungwe this is simba

  • @asiarashidi1520
    @asiarashidi1520 2 года назад +2

    Mbona hii mechi ndg yenu mwandembwa kawatafutia sana magoli ila tu mungu naye alikuwa na mipango yk...!

  • @kitovasaidi6753
    @kitovasaidi6753 2 года назад +1

    Mmetisha mmekata ngebe hongera sana

  • @nicklassshaypanga8794
    @nicklassshaypanga8794 2 года назад +1

    Wanainchi tuko vizuri

  • @hamadrashid4911
    @hamadrashid4911 2 года назад +2

    Yanga vc Jan go be boys

  • @immatheboytz5626
    @immatheboytz5626 2 года назад +6

    Wazazi wako wamekuzaa ukiwa na akili timamu alafu wewe unajitoa hakili unaenda kuishabikia simba

  • @merrysaloni955
    @merrysaloni955 2 года назад

    Mungu ibariki Simba ishinde

  • @lightnesschrispine2446
    @lightnesschrispine2446 Год назад +4

    Hii gemu tuliupiga mwing sana

  • @mwaungadavid4744
    @mwaungadavid4744 2 года назад +5

    Mohamed Nabi shukuran sana kwa kumuibua zawad mauya bila ya wewe nahis angetemwa maana alikuwa hapew nafasi kabisa lakin kwasasahv mauya ameshaanza kujiamin na kuonesha kile kiwango kama ilvokuwa Kwenye team alizopita kipindi cha nyuma ikiwemo lipuli fc na Kagera sugar

  • @tabyhamisi7797
    @tabyhamisi7797 2 года назад +2

    Yanga juuu

  • @nasrisaidi7175
    @nasrisaidi7175 2 года назад +8

    yanii walifungwa na yanga hii kweli safali hii watuache

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 года назад

      Nahapo mayele hayupo💕💕😅

    • @johnsonnyange7568
      @johnsonnyange7568 2 года назад +1

      Chama na Luis miqueson walikuwepo pia na bado tukawashona

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 года назад +1

      @@johnsonnyange7568 Huyo chama kawa. Chauma😂😂😂😂🤸‍♂️

  • @barakasiro1421
    @barakasiro1421 2 года назад +3

    Kuna watu walikuwa wanaongea maneno machafu kwa yanga lakini Sasa siwaoni wamejificha😂🤣🤣🤣 dar hatari sana

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 2 года назад +1

    Hadi laha

  • @Bzmmellody
    @Bzmmellody 2 года назад +1

    Simba Jayant of Africa

  • @agnessrubairo6681
    @agnessrubairo6681 2 года назад +2

    Bracket fever

  • @emanuelakaro1423
    @emanuelakaro1423 2 года назад +5

    Chenga Kaseke aliyompiga wawa ndo inanifanyaga niangalie hii video mara 3 kwa siku! Jitu lililamba nyasi bhana

  • @mariambenedictor311
    @mariambenedictor311 2 года назад +1

    Hongera yanga

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 Год назад +2

    Raha sana kumfunga mtani alafu unamuachia ubingwa

  • @johnwerema611
    @johnwerema611 2 года назад +5

    Tumelipiza dhuruma mlizofanya kwa azam shwaini nyinyi

  • @RashdyMussa-uj7nm
    @RashdyMussa-uj7nm 5 месяцев назад

    Goodo🎉

  • @luciyajohn8336
    @luciyajohn8336 2 года назад +1

    Move

  • @kharid.official4862
    @kharid.official4862 2 года назад +6

    Nani aliye kimbia tarehe 8

  • @faydam6062
    @faydam6062 2 года назад +3

    Dah nataman kurudi tz

  • @RajeshChauhan-wb9pm
    @RajeshChauhan-wb9pm 2 года назад +4

    Tanzania sasa tumieni VR,wachezaje wa simba wamecheza fauli mbaya hiyo ni kadi nyekundu kama wakina john boko

  • @aliyussuf2332
    @aliyussuf2332 2 года назад +5

    Utelembwe fc kikosi kipana cha next level chaliiiii Shughuli imebakia Kigoma tukamilishe kipigo Utembwele mpoo hapa hamchezi na Gwambina

  • @jobkarongo4876
    @jobkarongo4876 2 года назад

    Azam naomba ile clip ya mchezo unavyoanza mnaonesha jiji la dsm