WEMA SEPETU Ajibu mapigo Kwa mama yake "Hakuna mnafiki hapa" Nipo sana na CHIBABA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 217

  • @LilianAchieng-bo9xo
    @LilianAchieng-bo9xo Год назад +17

    Happy birthday wema twashukuru kwayote ilio semwa kwenye patty yako dada wema lakini heshimu mamako sababu maneno ya mamako yaumiza sana chunga sana utafanya mengi sababu una pesa lakini heshima kwa mamako itadumu milele

  • @SalmaSaid-fj5fq
    @SalmaSaid-fj5fq Год назад +19

    Mama umeongea point , Mwenyenzi Mungu akupe umri mrefu..R,I P my mom

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 Год назад +8

    Mzazi ni mzazi hawezi kumchoka mwanae na anamfunza jins ya kufanya ili mama wake ajivunie mwanae na sio kumuwacha mwanae ahalibikiwe ingali yeye mzazi yupo nimejifuna kupitia huyu mama love you mama wema ❤❤❤❤

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 Год назад +20

    Ila Wema anasauti nzuri sanaaaa. Nyororo inapendeza masikioni. Gonga like kama unaunga nami

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Год назад +13

    mama mariam sepetu i love you mum youare a good mum big up

  • @mumebenezer2966
    @mumebenezer2966 Год назад +1

    Jaman mama. Mbona kama aibu naona mimi. Yesu tuhurumie sisi wakike kwa kukosa adabu kwa wazazi wetu na jamii yote. Yesuu tuhurumie tuu.Mama pole kwa malezi magumu na Mungu akujalie kuwa na mwisho mwema wewe umefanya kwa sehem yako

  • @habibasungur9375
    @habibasungur9375 Год назад +4

    Allhamdulilah hapo umewakanya wote waliokuepo hapo yani umeouga ndege 1000 kwa jiwe 1 hongera sana sana mama hao wote hapo ni majanga tuu kwakweli

  • @grolyjepha5771
    @grolyjepha5771 Год назад +4

    Mama umeongea point na ubarikiwe maana Dunia imeharibika: mim tu umenifunza kitu. wema ujifunze kitu mtu mzima ni mtumzima tu❤️

  • @christinedaw4686
    @christinedaw4686 Год назад +6

    Happy Birthday Wema Sepetu. 🎉❤🎉 your fan in USA.

  • @justinswati8225
    @justinswati8225 Год назад +7

    Safi sana weeee ni mama kwelikweli Balikiwaaa sana

  • @samirahmauji6147
    @samirahmauji6147 Год назад +10

    Na ukute wakifunga ndoa mungu anaweza kuwabariki mtoto kwasabab mama atakua yupo ridhaa nao

  • @agathamarura2427
    @agathamarura2427 3 месяца назад

    Heshima ya mtoto wakike ni kanga (Leso) I like ithis..🔥❤️

  • @SophiaMumbe-jm6kb
    @SophiaMumbe-jm6kb Год назад +2

    Mama wema umenifurahisha Sana kama ungeungana na wAzazi wengine mkazidi kuwaelewesha waache tabia mbaya ambazo hazipendezi imgekuwa bora sio wema tu mwenye tabia mbaya ila karibia wasanii wote wenyewe wanaona sija lamda wakiambiwa adharani wataelewa kwa sababu Mama wema alisha mkanya wema wakiwa peke yao ila wema hakumtii Mama yake hakuna kama Mama DUNIANI chukuwa radhi ya Mama wakati yu hai Mama yako anakupende sanaaa

  • @abulhanifah254
    @abulhanifah254 Год назад

    Mama kaharbu kbsaaa🙆🙆🙆pole role model, happy more years

  • @SabraMohamed-ys6lv
    @SabraMohamed-ys6lv Год назад

    Happy birthday wema nakupa hongera sana na pia. Nakupa hongera kwa kuwa na mm kama mm yako dear nakupenda saaana mpz wangu

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 Год назад +3

    Mama nakupongeza sanaaaa! Wema acha kujifanya unajua mtu mzima akiadhirika huchutama kuficha aibu yake!nyamaza unazidi kujidhalilisha mitandaoni!

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 Год назад +4

    Aibu,,,ukumbini...kwa kweli watoto muwaheshimu wazazi wenu,ndio wasiri wenu,walimu na kila kitu kwenu..Molla waongoze watoto wetu..

  • @MaosuAlhamdany
    @MaosuAlhamdany Год назад

    Shukuru Sana Dada Rehema Wema..........Hongera mama...... Hongera sana

  • @zuenaomary9987
    @zuenaomary9987 Год назад +4

    Hiyo sherehe ingekuwa harusi mama angefurahi sana

  • @lisabeshy7894
    @lisabeshy7894 Год назад +6

    Wema na marafiki zako hapo Diva,Hamisa na wengine mmependeza

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Год назад +2

    Hbd chimama nkupenda wema wangu.Tnakupenda MAMA

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 Год назад +5

    Huyu mama anaona ishara gani kwenye maisha yake.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Год назад +6

    Hongera mama mpaka mbele ya mungu ukiulizwa utasema nilimwambia hongera sana mama

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 Год назад

      Kwani miaka yote alikuwa wapi huyu mama hakuona

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Год назад

      @@yahyamajidyahyahilalal-har8762 unajuwa sasa mda umefika wa kutubu na mda huo humfikia MTU baada ya dhambi kupita

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад

      @@yahyamajidyahyahilalal-har8762 yupo hai na kasema

  • @rahabumwambuga4214
    @rahabumwambuga4214 Год назад +2

    Hbd cute❤❤❤🎉mama wema,wenye masikio watakuwa wamesikia na kuelewa.all the best

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 Год назад +19

    Mama kaongea vizuri Ila sio siku ya birthday ya mtoto.

    • @saudalilingani9264
      @saudalilingani9264 Год назад +3

      Huenda mzazi alishazungumza sana juu ya hili, lkn bila ya mazingatio: sasa leo ameonelea azungumze hadharani huenda atazingatia.

    • @maryamrashyd6914
      @maryamrashyd6914 Год назад

      Kaaribu mwenyewe wema kumtambulisha mpenzi wake kw mamake siku iyo mama nae kamaliza khalas

    • @SarafinawerneryChiwembi
      @SarafinawerneryChiwembi Год назад

      Lkn sio siku ya furaha

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 Год назад

    Kweli umeongea point sana mama kizazi hakina adabu hiki hakisikii na kinakutana na laana ya mauti kwa ajili ya kutoheshimu wazazi asante yeyo lai

  • @tinahsoka4703
    @tinahsoka4703 Год назад +3

    😅😅😅😅dash good mom she is very active❤

  • @MaosuAlhamdany
    @MaosuAlhamdany Год назад

    Maashallah mamaangu hongera sana

  • @KhamisJuma-jb1gd
    @KhamisJuma-jb1gd Год назад +3

    MAMA yuhai na maneno makali alioyatoa wema kua makini na kauli ya Mama

  • @mariamkambuga8647
    @mariamkambuga8647 Год назад

    Mungu huwa na makusudi yake nyie jamani,wema hawezi kuijua thamani ya mama hata siku moja☝.binti mbaya sana ww

  • @KanezaAmina-t4h
    @KanezaAmina-t4h Год назад +2

    Duuuh japo kua ni mzazi pakini ndoo aje hapo kusema upande wangu sijapenda😢

  • @estarsaidi9110
    @estarsaidi9110 Год назад +8

    Yaaan wema huwa hapoi wala hakeri..❤❤❤❤

  • @CuteRia-de5jj
    @CuteRia-de5jj Год назад

    Mamaa anahasira sana ila ukupaswaa kusema yote auo mble za umat ten siku yak kuu jamani

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад

    Mama was on a mission, usichoke kumsema mtoto wako. Yame mfika shingoni

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 Год назад +3

    Kizazi cha sasa hicho cha Manara hatariiiii😂😂😂😂

  • @DivaB2k0
    @DivaB2k0 Год назад +65

    Aibu naona mimi yani mzazi mpaka amesema ivi inamana kasha choka 😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @MboniHatibu
      @MboniHatibu Год назад +9

      Kawaida ya mzazi kusema hata ww utasema bado hujasema na hakuna mzazi anae mchoka mtoto wake usijidanganye😊😊

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Год назад +3

      Anataka kiki uyu bibi kwani wema ana nyumba

    • @shkaylercomico
      @shkaylercomico Год назад

      ​@@MboniHatibuKwanini anateseka?Binti yake si mtoto wa miaka 14 tena, ana miaka 33 kwa sababu anaingilia maisha yake?Kama anampenda kwa dhati, asingesema hayo yote hadharani. Nilihuzunika sana alipomdhalilisha whozu vile.

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 Год назад

      ​@@rogerabdallah439kiki imsaidie nn?

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Год назад

      @@rogerabdallah439 kwan anakaaa kwao

  • @OMARIIDDI
    @OMARIIDDI Год назад +5

    Dada wema weka akilini ujumbe wa mama........ kuna siku utakuja kuukumbuka

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 Год назад +4

    Wema zingatia maneno ya mama hayo, nina hakika mama ameona mbali ujue

  • @lucasmombo-di4zr
    @lucasmombo-di4zr Год назад +8

    Mama uko sahihi 🎉🎉🎉

  • @JumaShimende
    @JumaShimende Год назад +1

    Niseme tu kimsingi mama anakemea uzinifu.kama kawakilisha wazazi wote wasiopenda uzini kueleza vijana wote yaan mama hadharani ujumbe huu haikua wa wema pekee.bali mama akitaka kuwafikisha wale wote wazinifu wasio penda kufata taratibu.mama ujumbe wake mzuri ila hakuangalia wapi sehemu sahihi yakufikisha ujumbe wake.ila ni binadam tumpe heshima ni mama yetu.

  • @FARHIYAJAMAL
    @FARHIYAJAMAL Год назад +3

    Nimekupenda bure mama

  • @JackMatawi-vm8vu
    @JackMatawi-vm8vu Год назад +3

    Kama umesikia sauti ya gigy gonga like 🤣🤣🤣

  • @AncillaFatuma
    @AncillaFatuma Год назад

    Sawa kaongea point ila haikua aongee siku ya birthday ya mtoto. Chengine ajue majira yamebadlika. Hatuezi kuishi maisha ya mababu zetu. Huko tulitoka kitambo sana na hatutorudi.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Год назад +2

    Wine 🍷 mwanaharamu😢 🤷🏽 Mmmmh Mama Umemkosea mwanao, on her special day, Kweli wewe mama😢 Sad!!! Pombe mwanaharamu😢🤷🏽 🤷🏽

    • @justinapius2862
      @justinapius2862 Год назад

      Mama Wema Mama Wemaaaaa barikiwa sanaaa DADA Umeongea point

  • @SadickMasoud-q7c
    @SadickMasoud-q7c Год назад +1

    Naskia sauti ya gigy 😅😅😅😅 too

  • @maishamaisha1768
    @maishamaisha1768 Год назад +1

    Mtoto mtu mzima hapangiwi wala hapelekeshwi anamaamuzi binafsi hata kama wewe ni mzazi, hayuko chini ya mzazi tena kwa hiyo hayuko katika hali ya kusikiliza muda wote eti mzazi anataka nini au hataki nini.

  • @رحمهبهاري
    @رحمهبهاري Год назад

    Jamani hebu wadada tujiheshimuni bas, kwanimtu ukivaa vizuri unakatika wapi au utaambiwa haujakamilika kiurembo mmmmh mumezid, sasanguo umeivaa alafu wajibanabana manaake nn naumetaka kujionesha mwiliwako adharani, emungu tusamehe

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 Год назад

    Amekaa na wanaume wangapi huyo,kwenda uchi ndio maisha yenu,ilimpate hela na umaarufu,huo niunafiki mama napatizenu za kishetani,nahuyo Manara kama ni Alhaji hapokafata nini,pumbafu zenu namamaenuhuyo.msingi wajambo ukiharibika mwenyehaki atafanya nini.hivyovyakula mngewapa yatima

  • @allybtz1263
    @allybtz1263 Год назад +2

    Huyu mama yupo sahihi wengi wanaishi maisha mabaya kwjir za kuzalau walio wazaaa

  • @NasoroMohamed-j3h
    @NasoroMohamed-j3h Год назад +2

    Mama alishachoka Tabia ya mwanae ndo maana kaweka wazi

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 Год назад +1

    Mama ulilemeza wa kwenye malez unaonekane mbabe kidogo

  • @hawaramadhani6954
    @hawaramadhani6954 Год назад +3

    Love 💕 mama wema wachane

  • @AdolphineRwizibuka
    @AdolphineRwizibuka Год назад

    Mimi ni mu congomani nipo Congo mama wema kakosa hekima kabisa aifurahishe jambo Hilo tafazali mama kwa heshima kubwa nakuomba usirudiye tena wema MTU muzima tena Kila Siku mapenzi inavuka mipaka

  • @rebeccairengegabriella
    @rebeccairengegabriella Год назад +2

    Mama umesema vizuri.

  • @janetmukina939
    @janetmukina939 Год назад +2

    Bona anakuja kumwambia mbele ya watu? Nkt, hakuwa apate time naye? Sometimes these parents hapana. She doesn't look rude. Why the embarrassment?

  • @fundiujenzimtatadom3692
    @fundiujenzimtatadom3692 Год назад

    Kamzalilisha mwanae ila nyumba yao anaijuwa kwanini amuharibie mbele za watu mim niseme kafanya so vizuri sana yani kahalibu fulaha ya mwanae maana mama hajawaza kwanza hapa niwapi ira kwastaihi atasema na mpaka esemee natena yan hapo bado sana kwanahiyo wale kila mtu anamaisha yake mbili wema ni mtu mzima sana kwahiyo awaache

    • @princessmakwega2444
      @princessmakwega2444 Год назад

      Mama ana mipaka kwa mwanae popote pale anauwezo wa kusema mwanae 😊

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 Год назад +1

    Chibaba nenda nenda kwa mamaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KhamisJuma-jb1gd
    @KhamisJuma-jb1gd Год назад +5

    MAMA katunza kanga ili ujistiri usende uchi ukipinga kauli ya Mama kinachofuata ni laana MAMA anaongea kwahisia sana

  • @mwanasitisuleiman4291
    @mwanasitisuleiman4291 Год назад

    Huyu mama hafanya vizuri. Haya maneno ange mwambia mwanae faraghani

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Год назад +6

    Mpaka kaongea yote haya kachoka sana hapend hizo tabia

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Год назад +3

    Nasikwa wematu na kwa sisi wote tunaofanya Ohio wazazi awafulai tunawakosea 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏🌺🌺🌺🌺🌺🎅🎅🎅🤶🤶🤶🤶🤶🤶🤶🎅🎅

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 Год назад +5

    MUNGU_wewe_ni_Tajiri_unawapa_pesa_wana_chezeea_hivi_Tupe_na_sie_Tufanye_kazi_y_ALLAH

  • @guyasidotto1198
    @guyasidotto1198 Год назад +3

    Wema kumbe ww Mpumbavu kweli na utakuwa umelaaniwa yaani kweli mnapeana mahaba kwa mda wote huo kumbe hujaenda hata kumtambulisha kwa Mama yako?mjinga Sana hata huyo mme wako sijui mpenz hajitambui kabisa Leo aibu imewashika shuu mkome dharau Sana

    • @joycesamwely7896
      @joycesamwely7896 Год назад +1

      Wewe unamuona mpumbav lkin ukikaa ukatuliza akili utajua wema anamuheshim sana mam yake anawaz atawatambulisha wangapi vip kuhusu aib atayopat kwa ndg wa karibu?ipo sababu hakuna Ambae hapend heshima usimtukane muombee ili cku Moja iwe kweli!

    • @guyasidotto1198
      @guyasidotto1198 Год назад

      @@joycesamwely7896 kwahiyo unashaur waendelee hivyo hivyo

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Год назад

    Wewe mama Leo ndio unwona wema mbona kafanya mengi huko nyuma kina jumbe,kapita na wangapi hujawahi sema mama au umeona whozu Hana hela

  • @AgustaNdeke
    @AgustaNdeke Год назад +1

    Hii ni kaz ya mama kumwambia mwanae ukwel hajakoxea ila wem kaombe mxamaa kwa mama

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Год назад +3

    Leo umeongea ya maaana kama mama

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 Год назад

    Huyo mama ameshalewa zake na amesahau hiyo ni birthday party hakutakiwa kumharibia siku yake mtu amekaribishwa kwenye party halafu anaenda kuongea utopolo kwenye party wamama wa kiafrica wanamidomo sana ndiyo maana nimekaa mbali na mama yangu hata ummtendee mazuri ndiyo kwanza anakuona mjinga

  • @queenyohna-wz4il
    @queenyohna-wz4il Год назад +1

    😂😂😂😂😂eti na ww nyamazandio mama nn

  • @theresedusabe6056
    @theresedusabe6056 Год назад

    Zari oyeeeeeeeeeeee mwenye kujiheshimu arivishwa peteeee maman dangote kasema muganda hakuvishwa pète n'a mwambaye aibuuuuu bi Sandra zari muzima endeleya nabangine zari arisha tosha muguru wake n'a batoto she IS able yakubareya family ta mashetani mweye

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo Год назад

    Mama wema nikama mama yangu

  • @JudithMaricka
    @JudithMaricka Год назад

    Ata kama ni mzazi anashusha brand ya familiaa🤣🤣..kama ajatambulishwa mkwe ajue mwanae yupo singo na kama anaona mwanae anachunwa hayo n maisha aliochaguaaa!! Wamama msaidieni mama mwenzenuu kuwa na ustaharabu kwenye vitu visivyohusubuchumbaa😏😏

  • @ZainabuNampanga
    @ZainabuNampanga Год назад

    Sawa mama lakini ungemwita ukaongea nae

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 Год назад

    Kwa hiyo unasema kuwa wema Hana adabu au vipi,Sasa kwa nn usiende kumsema kwake had unamuaibisha mtoto wako mbele ya watu?unadhan watu wanafurahia unachikisema au wanakuona kuwa wewe ndio hufai,maana huna hekima?mwanao

  • @Irene-m6n
    @Irene-m6n Год назад

    😢😢mama mwenye akili na asikie

  • @BhokeWarioba
    @BhokeWarioba Год назад

    Wema wetu❤❤❤❤

  • @EmJesho
    @EmJesho Год назад

    Asante mama umeongea point

  • @theresedusabe6056
    @theresedusabe6056 Год назад

    Mapigo Hama Hama nanjamana hapate mutoyi maman nikitu kingine cakuogopa wema mbecile débile fiesta maman Yako aibuuuuu bi blessings without yr mother😅😅😅😅😅

  • @WashineneMohd-xc9kj
    @WashineneMohd-xc9kj Год назад

    Na kumbuka wakati Wa Diamond pia huyu mama alipinga kuvalishwa Pete adhalani

  • @AljudFeisal
    @AljudFeisal Год назад

    Wema mpeleke whozu kwa mama adi kasema ujue ana taka hivyo

  • @AgnessMsacky
    @AgnessMsacky Год назад

    Wema kaa chini na mama yko huenda kunajambo anataka kukusaidia Bali hapati nafasi

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Год назад

    Kuambiwa kupo lakini siyo public namna hii hii ni kudhalilishana na kuharibiana tuu siku

  • @josephsalmu2289
    @josephsalmu2289 Год назад

    wanawake wenye mizigo ya zambi tubuni yesu yuaja❤

  • @JaneLayson-v3p
    @JaneLayson-v3p Год назад +4

    we mama ulishashusha heshima yako na vlip yako ile, she is her mama's daughter

  • @JamilaSuleyman
    @JamilaSuleyman Год назад

    😊😊, in😊 1:54

  • @NeihFrank
    @NeihFrank Год назад

    Mam kasema neno na wema sikilz nend atananeno moj litakusaidia

  • @sharifamunisi4378
    @sharifamunisi4378 Год назад

    Amechelewa sana😅

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Год назад

    Umekosea ungewaita sio hadharani ndugu yangu hapo sio

  • @Lilianlyn675
    @Lilianlyn675 Год назад

    Uyu mama hatakuwepo kesho na wema aturudi kusema na atasema

  • @swafiya254
    @swafiya254 Год назад

    Kwanza wamezidi kuvaa tupu😢😢

  • @KulthumMombasa
    @KulthumMombasa Год назад

    Asante mama wema

  • @Qeek_Smart
    @Qeek_Smart Год назад +1

    Ila bi mkubwa kazingua kwann asimseme nyumbani akamseme hapo

    • @habibasungur9375
      @habibasungur9375 Год назад

      Hata hajazingua sahihi kabisaaa ukiona hivyo kaongea ndaniii imeshindikana

  • @MaikoSamwery
    @MaikoSamwery Год назад +3

    😂😂😂noma San kauwa

  • @joliemusambi9435
    @joliemusambi9435 Год назад

    Wozu , nenda kapeleke Mali tafazali utapata lahana ya mama wema 😂😂😂

  • @GivenessMhemedzi
    @GivenessMhemedzi Год назад

    M sjaon kibay alichoongea mam wema

  • @arkaddavisha
    @arkaddavisha Год назад

    👏👏👏

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Shuwehaha😂 hila kamzalilisha

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 Год назад

    Huyu mama kakosa ustaarabu. Hata kama usingemkosoa mwanao hadharani. Hii siku ilikuwa ya birthday uliharibu moods

  • @rehemamlenga4937
    @rehemamlenga4937 Год назад

    Giggy leo umepewa adabu na mama sepetu kaa kimya

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад

    Kwa nyakati hizi wazazi mnatakiwa muwe wakali haswa

  • @SophiaMrembo-tl5zl
    @SophiaMrembo-tl5zl Год назад

    Wema wema wema nakuita mala tatu siku mama yako akija kukata kauli utalia na mito