Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Naomba msaada formula ya kuchanganya chakula Cha vifaranga na wakumbwa.asante
Fuatilia video izi za chakula Cha kuku Chakula cha kuku: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU
Ahsante Sana kwa Somo zuri .
Barikiwa pia
🙏SHUKRAN kwa mafunzo mzuri sana
Barikiwa ndugu
Mkuu hongeren kwa kaz nzuri, naombeni elimu kuhusu kilimo cha tikiti maji na soko lake, nipo Mbeya, asante
Asante sana🙏🙏 Usijali yatakuja tu ayo masomo Mungu akijaria🙏🙏
@@AGALUSTV asante mkuu
👍 good
Welcome 🙏🏿
Saw kaka nmekupta ila hyo mbnu ya mwsho nlish ifany il bado naona wanangojean akitok huyu anaingia mwengine
Ok🙏🙏
Naomba mnisaidie nawezaje kuzuia majogoo nilowaleta kwenye banda toka sehemu zingine wasigombane
Ondoa matetea wote ktk Banda wabak majogoo tu. Lakini pia jogoo ukiwachanganya wawe na umri kabla ya kuwika apo watakaa pamoja
Mie nilifanya hv unavosema mmoja tu ndio alikua mkaidi lkn waliobakia wote 10 wanataga kwenye viotaTatizo lng kubwa kunguru wananisumbua
Oooh okay✍️🤝
Vipi utamjua kuku anayetaka kuatamia?
Hatoki kwa kiota
Naomba unisaidie. Huu ugonjwa unaoshika Kuku machini na kuweka magamba meupe, ni ugonjwa gana na tiba yake ni nini?
Ni upungufu wa vitamin A. Cha kufanya toa uchafu uo kwenye jicho, kisha weka tone la mafuta ya taa jichoni pia uwa unaambatana na mafua. Wape pia ya mafua + vitamin kw wingi🙏🙏
Bro naomba namba yako,nahitaji elim zaid ya ufugaji
OK ucjali ndugu japo masomo zaidi fuatilia channel hii hii
🙏
Pamoja sana ndugu
hayo mayai nikiyatoa naweka wap kweny banda ama ndani
Ata trey ndani kwako
Ahsanten saana kwa elim
Pa 1sana ndugu🙏🙏
Naomba kujua dalili za kuku aliye tayari kuatamia
Hatatoka kwenye kiota na kutetea kwa ajiri Ya kutaga ataacha yaani hatataga tena
Kaka saiz uo mti gani waokula kuku
Ok ngoja tuchek jina la hisi
Je ni sawa kuyaweka mayai km 10 ktk kiota kwa ajili ya kumvutia kuku kuatamia?
Hapana si vzur weka 3 tu muda ukifika atahatamia tu
Ni dawa gani mnatumia kuondoa kabisa utitiri bandani?🙏
Somo la utitiri ni hili👇ruclips.net/video/NEWUCCjobCw/видео.html
Chakula chakuwapa vifaranga chotara wakue kwaajili ya nyama
Chick stater crumble
Naomba msaada formula ya kuchanganya chakula Cha vifaranga na wakumbwa.asante
Fuatilia video izi za chakula Cha kuku
Chakula cha kuku: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU
Ahsante Sana kwa Somo zuri .
Barikiwa pia
🙏SHUKRAN kwa mafunzo mzuri sana
Barikiwa ndugu
Barikiwa ndugu
Mkuu hongeren kwa kaz nzuri, naombeni elimu kuhusu kilimo cha tikiti maji na soko lake, nipo Mbeya, asante
Asante sana🙏🙏 Usijali yatakuja tu ayo masomo Mungu akijaria🙏🙏
@@AGALUSTV asante mkuu
👍 good
Welcome 🙏🏿
Saw kaka nmekupta ila hyo mbnu ya mwsho nlish ifany il bado naona wanangojean akitok huyu anaingia mwengine
Ok🙏🙏
Naomba mnisaidie nawezaje kuzuia majogoo nilowaleta kwenye banda toka sehemu zingine wasigombane
Ondoa matetea wote ktk Banda wabak majogoo tu. Lakini pia jogoo ukiwachanganya wawe na umri kabla ya kuwika apo watakaa pamoja
Mie nilifanya hv unavosema mmoja tu ndio alikua mkaidi lkn waliobakia wote 10 wanataga kwenye viota
Tatizo lng kubwa kunguru wananisumbua
Oooh okay✍️🤝
Vipi utamjua kuku anayetaka kuatamia?
Hatoki kwa kiota
Naomba unisaidie. Huu ugonjwa unaoshika Kuku machini na kuweka magamba meupe, ni ugonjwa gana na tiba yake ni nini?
Ni upungufu wa vitamin A. Cha kufanya toa uchafu uo kwenye jicho, kisha weka tone la mafuta ya taa jichoni pia uwa unaambatana na mafua. Wape pia ya mafua + vitamin kw wingi🙏🙏
Bro naomba namba yako,nahitaji elim zaid ya ufugaji
OK ucjali ndugu japo masomo zaidi fuatilia channel hii hii
🙏
Pamoja sana ndugu
hayo mayai nikiyatoa naweka wap kweny banda ama ndani
Ata trey ndani kwako
Ahsanten saana kwa elim
Pa 1sana ndugu🙏🙏
Naomba kujua dalili za kuku aliye tayari kuatamia
Hatatoka kwenye kiota na kutetea kwa ajiri Ya kutaga ataacha yaani hatataga tena
Kaka saiz uo mti gani waokula kuku
Ok ngoja tuchek jina la hisi
Je ni sawa kuyaweka mayai km 10 ktk kiota kwa ajili ya kumvutia kuku kuatamia?
Hapana si vzur weka 3 tu muda ukifika atahatamia tu
Ni dawa gani mnatumia kuondoa kabisa utitiri bandani?🙏
Somo la utitiri ni hili👇
ruclips.net/video/NEWUCCjobCw/видео.html