God Is Great An Willing. We must remember that there is no joy in victory if we don't test the risks of setbacks. The future is very bright and Simba soon back on its era
Matola hapo wa Nini sasa jamani ni Bora angekuwa mgunda hapo yupo vizur Kwa amasa Kwa wachezaji lakini matola sijaona anachokifanya mpeleken kwenye timu ya vijana kule atupandishie vijana huku.
mungu awe pamoja nanyiii all the best simba sports club❤❤❤❤🎉🎉
mwenzenu hii timu nimeipenda mpaka nimepitiliza daa najisikia fulaha sana kuiona tim yangu
Mungu awatangulie simba nguvu moja
Kila la her myamaa❤❤❤
Mungu awatagulie
Nguvu moja
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤All the best my simba safari njemaaa
Mashaallah my Simba sport club.
Naamini mungu yupo watafika
SIMBA NGUVU MOJA KILA LAKHERI CHAMALANGU
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤
God Is Great An Willing. We must remember that there is no joy in victory if we don't test the risks of setbacks. The future is very bright and Simba soon back on its era
All the best👍💯👍💯👍💯👍💯👍💯👍💯👍💯
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah awatunze na kuwaepisha na husda za walimwengu
Duwa zote njema Kwa ajili ya slmba ❤❤❤❤love simba napend sana chama
❤❤❤safal yakher
Naipenda simba sports club ila wasemaji mtandaon wamekua wengi sana
mungu aijalie time yangu ya simba
Mungu awatangulie wore amina
Mungu awajarie unyama mwingiiiii
Simba kama kawa
Kila la kheri
Dah cmbaa yangu
Jamani Mimi ni Mzee ila napenda sana Simba yaani naiombea mungu sana wakawe washindi kote waendako
P1 Sana ❤❤❤
Mgunda vipi Ahmedy
Safari hii upande wa pili waangalie Sana Simba ya safari hii ni moto Kuna viberenge ni hatari
Ila jamaa mcheshi sana na naamin hata waandishi wa habar mna enjoy kumu hoji mwamba sema changa moto ya matokeo mabovu ya simba yalimnyon'gonyesha
Bariki safari yao hawana ubaya mtu🌴
Kila lakher mnyama simba
❤❤❤❤❤❤❤❤simba nguvu moja
Mungu awatangulie awe nanyi awaepushe na husda za wale wasioitakia Simba mema
🎉 salute
Akuna lawi akuna mpanzu akuna feitoto
Simba 💪💪moja
Uyo bodyguard Wako Mwenye Jezi 😂
Kila la kher mnyama
Matola hapo wa Nini sasa jamani ni Bora angekuwa mgunda hapo yupo vizur Kwa amasa Kwa wachezaji lakini matola sijaona anachokifanya mpeleken kwenye timu ya vijana kule atupandishie vijana huku.
MUNGU AWABARIKI WACHEZAJI WA SIMBA NA UONGOZI WOTE. NA SEMAJI LA CAF
Awesu Awesu vipi
Yao Jean Charles vipi kwenye transfer market aliandika baada ya muda mfupi akafuta.
Simba nguvu moj
woyooooo hatimae tunaenda kuumiza watu sasa nasisi tunatamba
Safali hii ni unyama. Unyama tu huruma imekufa muda Sana mwendo wa dozi mwanzo mwisho😅😅😅😅😅😅😅😅
Ila mwaka huu mmejua kutufurahisha😂😂😂😂
Da kanuti nimzuri jaman mbona hivo simba jaman
Wasimloge tu maana tabia yao mbaya
❤❤❤❤❤❤
❤❤
Usisahau kuwa mna shomar kapombe
Kila laheli
Matola alitakiwa na yy apishe kweny benchi akabaki mguda
She Malone 🎉🎉🎉
Yaan huchoki kumsikiliza huyu mwamba haboi hata kidogo
Jibu Denis Yuko wapi?
Mpanzu vp mbona kimya nipe taarifa kama yulo
Munqu yupo kule kukejeliw kutafika mwisho
Kila lakheli achaneni na team ya NSSF
simba nguvu moja 😊😅
hh😂😂😂 ngoma kasha jua kiswahili eti fateni new plays
😅buggy
Mbn sij muona kibu denidi apo
Pmj
Kramo vipi?
Nyie nendeni sisi mashabiki wa simba tunabaki kwa ajili ya kuthibiti vibwengo vya utopolo hakuna kuwapata wachezaji wetu
😂😂😂😂😂😂😂😂 eti vibwengo
Utopwinyo wachawi san
Kuna Mzee Hapo Nyuma😂😂😂😂
Hata ingekuwa mavuzi FC inakuhusu? Toa ushenzi wako utopwax wewe
Marast fc
Wivu fc
HUNA NGUVU WALA MALI FISI FC WEWE
Kwani Mihogo FC wanasemaje😂😂😂😂😂
Kibu Denis Yuko wapi?
Nguvu moja