MBUNGE TARIMBA ALIVYOMKABIDHI BILIONI 1 MSHINDI wa SPORTPESA mbele ya WANAHABARI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 2 года назад +1

    Mungu wa Ajabu dada Maombi zaidi Bwana Awaatamie na muuujiza huo

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 2 года назад +2

    Safi Sana Mpe Mungu Utukufu Safi Sana

  • @peterlyimo6696
    @peterlyimo6696 2 года назад +2

    Huyu jamaa ni ndugu yangu kabisa ila sijui kama ananikumbuka!

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 2 года назад +1

    Bwana Mwema Hongela Sana ila kumbuka Mungu wako tuletee tujenge na Makanisa zingine utabarikiwa zaidi

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 2 года назад +1

    watu hawafany kaz kisa kubet watu wenye nguvu mnawaamasisha kubet ndio mfumo wa maisha hii ni kitu kibaya kuliko chochote mfumo huu mnaofagilia watu wafanye ivo wiz mtaani kisa kubet watu vijiweni kisa kubet

  • @saidissm293
    @saidissm293 2 года назад +1

    Dah aiseeee

  • @BigJo08
    @BigJo08 2 года назад +1

    Nimeguswa kuanzia Leo nasema Tena kuanzia leo nacheza jackpot

  • @almasyahya7610
    @almasyahya7610 2 года назад

    umetisha sana

  • @Bigmo2706
    @Bigmo2706 8 месяцев назад

    Waongo hawa hizi njama ili watu washawishike wabeti

  • @naftaliwilliam514
    @naftaliwilliam514 2 года назад

    Hongera sana

  • @tupacthedon7104
    @tupacthedon7104 2 года назад +2

    Kaka ndugu zako lzm waongezeke hapo

  • @mtummoja6882
    @mtummoja6882 2 года назад

    Sidhani kama ni maigizo. Usimulizi wa huyo mama upo fair sana

  • @YonaKigawa
    @YonaKigawa 6 месяцев назад

    Huo uhun tu unaweza kubet wakiona mkeka umetiki hawalet matokeo na hata ukiwapigia hawapokei

    • @NganziJasho
      @NganziJasho 5 месяцев назад

      Siy kweli

    • @jamesloshilunye414
      @jamesloshilunye414 3 месяца назад

      Wewe hujui kubet,,ukibeti unaliwa wasiwasi na ukishinda unashinda wasiwasi, hakuna kushinda halafu usijue

  • @hamadiluhizo1703
    @hamadiluhizo1703 2 года назад

    Mnajaribu kwa ushawishi !!!

  • @jeffreymgaya7568
    @jeffreymgaya7568 2 года назад

    Mchongo ile jackpot ela waliitoa na wakatoa bonus tu kwa washindi wawil ss iweje leo waseme mtu ameshinda

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 2 года назад +1

    km mm sibet ata km watu watashinda $1trion sibet ata

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 2 года назад

    km mnatengeneza mabilionea mwatengeneze watu kuwa wafanyabisha na wakulima sio kubet

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 2 года назад

    Ni mchongo tyu

  • @elardurasa2025
    @elardurasa2025 2 года назад +2

    Huyu jamaa kama namjua

    • @mussaulaya3926
      @mussaulaya3926 2 года назад

      😁😁😁😂😂

    • @gtv5622
      @gtv5622 2 года назад +1

      hongera sana kwake kwa ushindi wa jackpot

    • @devothaisaya5833
      @devothaisaya5833 2 года назад

      Uy ni ndugu yangu ap nitapewa 100,000,000

  • @hamadiluhizo1703
    @hamadiluhizo1703 2 года назад

    I don't believe no no no !

    • @HansBwoi
      @HansBwoi 2 года назад

      Ukulutu umepata mkunaji 😂

  • @naseebmdeemdee6861
    @naseebmdeemdee6861 2 года назад

    Hembu nielekezenj mnachezaje

  • @nicklyanga7044
    @nicklyanga7044 2 года назад

    Mshind wa mchongo huyu

    • @lootaloishooki3021
      @lootaloishooki3021 2 года назад

      Sio mchongo njoo kijiweni kwetu faya kariakoo utajua ukweli wote