Zuchu - Kitu ft Bontle Smith & Tyler icu (Dance Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2021
  • Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
    zuchu.lnk.to/iamzuchu
    For Bookings:
    Contacts -- zuchu@wcbwasafi.com
    Connect With Zuchu On:
    Instagram: / officialzuchu
    Facebook: / officialzuchu
    Twitter: / officialzuchu
    #Zuchu #kitu #Wasafi
    Copyright ©2021 WCB Wasafi. All rights reserved.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @TheRock-wo6mx
    @TheRock-wo6mx 2 года назад +4

    Simba jike wapinzani kazi wanayo sitwa pepea tu WCB for life 🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @philiponjovu19
    @philiponjovu19 2 года назад +9

    Tatizo la zuchu unatukana mojakwamoja.. Jaribu kuwa kama Mond

  • @hamisikibwana6642
    @hamisikibwana6642 Год назад +2

    Zuchu naona nyimbo zinaanza kukuishia ,maana hii huwezi kuangalia na watoto

    • @skxnia_
      @skxnia_ Месяц назад

      What is Zuchu actually saying??...i don't understand the lyrics i am from Namibia 🇳🇦

  • @hassaninkoja284
    @hassaninkoja284 2 года назад +7

    Kwani WCB wamepatwa na nini jaman, Sasa ndo nyimbo gani hii

  • @RICHCASHX
    @RICHCASHX 2 года назад +3

    If your from USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲 let us gather there

  • @lucymanyama5511
    @lucymanyama5511 2 года назад +11

    Jamani muziki sio lazima muimbe matusi, muwe mnamuogopa Mungu saa zingine sio vzr, huu wimbo wanaweza sikiliza wazazi wako na watoto wako????

  • @joevang4685
    @joevang4685 2 года назад +2

    umezingua... umeanza ujinga wa kakako.. nyimbo gan hii kusikiliza na watoto kwenye gari

  • @boneyekagwe2091
    @boneyekagwe2091 2 года назад +1

    Zuchu Rihanna wetu twakupenda bure hapa 001, Kenya.

  • @michukhan254
    @michukhan254 2 года назад +21

    Kenya 🇰🇪 let's support as usual

  • @ridhiwanimaulidi9457
    @ridhiwanimaulidi9457 2 года назад +53

    Hii nyimbo binafsi sijaielewa kabisa..
    Pengine niisikilize tena huwenda nkaielewa

    • @elizabethwere3291
      @elizabethwere3291 2 года назад +2

      Hujaelewa Nini Kaka zuchi anasema kitu wewe ujuwi kitu brother yani kidude kinasimama kinalala 😂😂😂😂😂Kama utakuwa hujaelewa bado nifate kwenye inbox nikufafanulie vizuri anyway pongezi dada zuchi it's high time mtu aimbe kidude si Kila time nyapu 2 congrats👏👏👏

    • @lazarokungu5020
      @lazarokungu5020 2 года назад

      hapo ni kitu kizito kichwani

    • @alfredcadet8326
      @alfredcadet8326 2 года назад

      Hahaaaaa Kitu gani

    • @hanankhalifa8309
      @hanankhalifa8309 2 года назад

      @@alfredcadet8326 Ulicho nacho😁😂😂😂😂

    • @salehkhamis8653
      @salehkhamis8653 2 года назад

      Kasome English utaelewa2

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Год назад +3

    Noma ngoma Kali... Africa imeungana kupitia Diamond Platnumz...💪🦁🦁

  • @lamoniketv603
    @lamoniketv603 2 года назад +2

    Hakuna kitu hapa..Nyimbo mbovuuu

  • @mercytashke5613
    @mercytashke5613 2 года назад +94

    Had been on streets of Nairobi and the the new song is already smoking hot 😘😘lots of love from kenya🇰🇪🇰🇪

    • @sheilawakoli7457
      @sheilawakoli7457 Год назад

      I just heard it today and it's awesome....love the afro beats and the dancing is African....we should embrace this because the Western countries are stealing our moves and making it their own....love it 10/10.

  • @susunabhan8115
    @susunabhan8115 2 года назад +3

    Zuchu huna mpya nyimbo zako zimekuwa Mbabane saaaaana

  • @anthonyuwa7427
    @anthonyuwa7427 2 года назад +1

    Nigeria 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 🇳🇬 is in building 🏠

  • @treasurestudio9683
    @treasurestudio9683 2 года назад +68

    That girl with the green bra brought something different in WCB 💖🔥🔥🔥🔥founder of the dance

  • @bahatibahaty6549
    @bahatibahaty6549 2 года назад +5

    Najua unapitia mengi na Huna tumaini tena, Cha muhimu Mungu amekulinda na kukuzawadi uhai ndo kesho ukiri ukuu wake, ndo mwisho wa machozi yako, sasa wacha kulia na uanze kushukuru. Amina.

  • @paulhollela9493
    @paulhollela9493 2 года назад +25

    Zuchu to the world, Amapiano to the world 🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃

  • @ndulububinza8077
    @ndulububinza8077 2 года назад +1

    Hakuna kitu hapaoooo umefeliiiii

  • @faridakiundawale4466
    @faridakiundawale4466 2 года назад +2

    Zuchu kama zuchu👌👌👌👌👌👌👌👌😏😏😏😏😏😏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @beatricemakuru1074
    @beatricemakuru1074 2 года назад +3

    Zuchu umezingua hujaimba kitu hapo

  • @ramadhanmshamu3288
    @ramadhanmshamu3288 2 года назад +3

    Nakukubar San zuchu najua. Ujawah kuniangusha nimekuvulia kofia na hiii ndiyo funga mwaka I love you Zuchu ❤️

  • @showfive4413
    @showfive4413 2 года назад +1

    Kwel kila kipind na zama zake. Hii ni nyimbo nayo watu wamekaa chini wakaandika wakarikod na wanasifiwa aiseeee 😀

  • @stevewesco6669
    @stevewesco6669 2 года назад +1

    Zuchu🚀🚀🚀🚀🚀🔥🔥🔥

  • @wasafinewsupdateds6025
    @wasafinewsupdateds6025 2 года назад +6

    Big banger,from South Africa 🇿🇦,

  • @Marty_kimani
    @Marty_kimani 2 года назад +57

    Nipewe likes za nyigu our gal did it again💚💚💚💚💚💚💯

  • @omanabrifrancaise3112
    @omanabrifrancaise3112 2 года назад +1

    Zuchu nakubali ongoma💃💃💃🔥🔥🔥

  • @isabellahadhiambo6406
    @isabellahadhiambo6406 2 года назад +1

    That guy with the red outfit makofi

  • @MrBrownny3
    @MrBrownny3 2 года назад +35

    Greetings from dominican republic. Great job

  • @hildahwambua4572
    @hildahwambua4572 2 года назад +5

    Angel Nyigu😍🔥👌🏼

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 2 года назад +1

    Matusi tuu ndio kazi yenu sijui basata wako wapi😳😳😳😳

  • @esthernafula3415
    @esthernafula3415 2 года назад +1

    😁😁😁😁 zuchu wimbo zako napenda

  • @puritykanana2472
    @puritykanana2472 2 года назад +5

    Angel Nyigu 😍😍 My all time favorite

  • @mercylineandayi8357
    @mercylineandayi8357 2 года назад +11

    My eyes are on Nyigu 😍

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 2 года назад +1

    We we we weweweeee toka uko🔥🔥🔥🔥💃💃

  • @DRAYVEEN
    @DRAYVEEN 2 года назад +2

    🙉🙉🙉🙉Kenyans mnione kando kuna mkutano wetu kumhusu zuchu.❤❤❤❤❤

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 2 года назад +1

      You really miss P!?🥰🥰 🇹🇿

  • @zuucinema8408
    @zuucinema8408 2 года назад +9

    OMG 🤦‍♀️ 🤦‍♀️ Tanzania 🇹🇿 got talent.
    ZUCHU for real.❤️❤️❤️❤️❤️

  • @zoomboey5397
    @zoomboey5397 2 года назад +36

    Muziki umebaki tu burudani sio kioo cha jamii tena. Zuchu na wasanii wenzenu twawapenda sana ila hii hali ya kutaja matusi adharani tena wazi wazi mimi siungi mkono idear hii. You have super mind to creat and write great songs kama your early songs. Nakupenda sana Zuchu ila nipe songs zenye naeza skiza mbele ya wazazi wangu, wakwe, shemeji, na hata watoto wangu bila kuona upungufu wa heshima mahali. Tunapenda burudani sikatai na bidii yako twaitambua kama jamii; tafadhali turekebishie apo tukupende na hata zaidi. Love you Zuchu a.k.a Zuhura the Queen of smiles upon listeners.

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 2 года назад +2

      They should get other people to write their songs. My Honest opinion

    • @sayeedbinazan
      @sayeedbinazan 2 года назад +1

      Yaan

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 2 года назад +1

      Kweli kabisaaaa awachane na mizuka hino bora arudi vile alivyo.

    • @fambrown490
      @fambrown490 2 года назад

      bila kutukana mazee hauzi na wala hutoki wako chini ya shetanu

    • @fambrown490
      @fambrown490 2 года назад

      type error shetani

  • @tabuyahya6481
    @tabuyahya6481 2 года назад +1

    Kwa hiyo siku hizi watu ni kuimba matusi tu kwani basata wako wapi? Hiyo nyimbo ya zuchu ukiasikiliza sana matusi matupu cjaipenda hata kidgo wameishiwa kutunga nyimbo sasa

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 6 месяцев назад +2

    THIS WAS UNDERATED PIANO HILI DUDE SIO POAAAAA WALAHIII

  • @samuellevy2564
    @samuellevy2564 2 года назад +4

    Kitu🤣🤣🤣😂 WCB BADO KUTUKANA WAZAZI WENU

  • @masautijay6771
    @masautijay6771 2 года назад +3

    Zuchu amapiano , 😂😂hii ni one in a million I luv it

  • @innocentbugobola2234
    @innocentbugobola2234 2 года назад

    Wa Zanzibar tujuane.... Asante wasafi❤️

  • @keyzbowy4852
    @keyzbowy4852 2 года назад +1

    Wow fire sana

  • @javanonyango9894
    @javanonyango9894 2 года назад +4

    Zuchu my favourite. Love from Kenya

  • @ireneadhiambi8596
    @ireneadhiambi8596 2 года назад +2

    Go Team Zuchu

  • @zidanebarambona7091
    @zidanebarambona7091 2 года назад +1

    Noma Sana wasafi 🔥🔥

  • @jaftyhadji7879
    @jaftyhadji7879 2 года назад +4

    Kwaiyo njomnaelimisha jami ao mnapoteza jami mnafunza nini kwakizazi kijacho mtaulizwa nyiye

  • @godlivebagumamugisha5302
    @godlivebagumamugisha5302 2 года назад +27

    I definitely appreciate the management of bby zuchu, Yanni everything is magic go girl 🔥🔥😍 love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🌍.

  • @fringstorsten5512
    @fringstorsten5512 2 года назад +1

    Zuchu for life.....................

  • @statetv7489
    @statetv7489 2 года назад +2

    Amapiano bits + wasafi business minds

  • @faithwendy8039
    @faithwendy8039 2 года назад +11

    Bontle smith🥰🥰🥰 definitely loved her parts😍😍

  • @monicageorge2181
    @monicageorge2181 2 года назад +3

    Huyu ni Zuchu au Chuchu??In Jpm voice.😆😆 Safi Sana Zuchu.

  • @mr.muhazuli9516
    @mr.muhazuli9516 2 года назад +1

    sijui kwanini wasanii wengi huanza na moto kisha wakaishia kufanya mapyoro. Kw hapa mimi sijaona sababu ya kumpongeza Zuchu kwa hichi maana haitamsaidia kitu pongezi yangu .

  • @bikewithtriff6984
    @bikewithtriff6984 Год назад +1

    The beginning of this song 😏😏😏😏 if you Don gerrit..... Forget about it!!!

  • @rannydewah8549
    @rannydewah8549 2 года назад +11

    Love from. Zimbabwe 🇿🇼 this is 🔥

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 года назад +11

    Mbona siku hzi mnaimba matusi aiseee, hata siwaelewi niwe mkweli

  • @p.alexii6170
    @p.alexii6170 2 года назад +1

    Kenya likes🇰🇪🇰🇪

  • @stevemosh3567
    @stevemosh3567 2 года назад +1

    Hatari, najifeel niko s.africa, dats good bit

  • @mwinchumutz6028
    @mwinchumutz6028 2 года назад +5

    Hakuna nyimbo nasikia matusi tu team King's music tujuane wenye kupenda nyimbo kali.Kama vile UTU,NITEKE,HAPPY,BWANA MDOGO na nyingine kaliiiiiiiiiiiiii!

    • @alfanjiwa1219
      @alfanjiwa1219 2 года назад +1

      Kweli kbsa maana utumbo mtupu wa mechanganyikiwa wanaimba matusi tu

  • @hameedmbogo3633
    @hameedmbogo3633 2 года назад +4

    Mbooo ya bosi imemnogea maskini 😁

  • @maisorama2574
    @maisorama2574 2 года назад +1

    Nice weekend my dear ilove it thanks

  • @irenetobico1833
    @irenetobico1833 2 года назад

    Yn hakuna ujumbe siku hz ni matusi tu,, hii dunia sijui inaenda wapi naona nishuke tu hapa maana mda si mrefu hicho kitu atakitaja jina 🙌

  • @MashabikiwambossoOfficial
    @MashabikiwambossoOfficial 2 года назад +134

    THE FIRST ONE IN AMERICAN NOW 🔥💯🖤

  • @binti_chiraka
    @binti_chiraka 2 года назад +4

    Mpaka muimbe maumbile ya kiume ndio mujue ni hit song upuzii mwingi Awards mutapata za kuuza ukwaju tu!!! Shaize

  • @queensuzybeb9676
    @queensuzybeb9676 2 года назад

    Wcb kitu mnaimba sikuhizi mnajua wenyewe khaaa

  • @ngoshazedon4085
    @ngoshazedon4085 2 года назад

    Huyu ni kuma kabisa hyo nyimbo ungemuimbia mamaaaako tuu ndo inamfaa pekeee msenge weweee

  • @DeejayClef
    @DeejayClef 2 года назад +5

    Zuchu can dance.... Great moves

  • @amourharoub1160
    @amourharoub1160 2 года назад +9

    Huyu hana nyimbo nyimb zake nizile za Mwanzo tu. Mwisho litawachoma mpk hapo sijaona nyimbo nyengine

  • @asinathmuhidini5083
    @asinathmuhidini5083 2 года назад +1

    Ovyoooo sijaipenda ata kidogo

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 2 года назад

    Zuchu tupe nyimbo Kali ya kufungia mwaka,apa umetuangusha

  • @lameckjoseph7431
    @lameckjoseph7431 2 года назад +3

    Amapiano zinawapoteza sana wasanii wetu wa 🇹🇿 back to bongo flavour

  • @mrchefamour1987
    @mrchefamour1987 2 года назад +3

    Diamond asante kwa kuendelea kuharibu tasnia ya mziki wa Tanzania

  • @hassanjeta6461
    @hassanjeta6461 2 года назад +2

    Yahoo love zuchu

  • @rodgersmbonea7417
    @rodgersmbonea7417 2 года назад +1

    Zuchu zichune hatare saaaaana

  • @emmanuelbabuji5696
    @emmanuelbabuji5696 2 года назад +2

    Am team Zuchu,watching from Kenya Africa

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 2 года назад +12

    The Queen of EA 🔥🔥🔥

  • @renathadeus2292
    @renathadeus2292 2 года назад +1

    Wow imependeza shga yanguuu

  • @emmaidd1603
    @emmaidd1603 2 года назад

    Zuchu asante kwa kunipotezea muda,nyimbo ya kishenzi

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 2 года назад +145

    Huyu kijana amevaa red kando ya Zuchu nampongeza sana. He dances so well in every video. Kwa IYO, Chawa, Unachezaje na hapa pia 👏👏 Also, Zuchu is the queen of the jungle.. Her versatility is amazing 😀❤❤

    • @nurali6321
      @nurali6321 2 года назад

      Naaaaaaam

    • @WGBA.4L
      @WGBA.4L 2 года назад

      @@nurali6321 ruclips.net/video/cqg93TNnARM/видео.html

    • @edgermwaniki
      @edgermwaniki 2 года назад +2

      I have his number n he is single

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 2 года назад +2

      @@edgermwaniki 😂😂😂 we bana 😂we both know huna number yake lakini nilimpata kwa Nyigu

    • @edgermwaniki
      @edgermwaniki 2 года назад +1

      @@sophieatieno5148 I do have if u want it willing to give it out 😊

  • @sauldazee8048
    @sauldazee8048 2 года назад +36

    My love for Zuchu will never die

    • @revlo9278
      @revlo9278 2 года назад

      No point here🦥among all comments

    • @fatmakambanga7726
      @fatmakambanga7726 2 года назад

      Sasa zuchu ana nyimbo anaimba utumbo tu sasa

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 года назад +1

    Nyimbo mbaya sna yaani katoka juzi hla kafulia kuimba

  • @hafidhamana325
    @hafidhamana325 2 года назад

    Zuchu ndio nyimbo gani sasa , nyimbo ya matusi tu

  • @isaacdennis8327
    @isaacdennis8327 2 года назад +3

    Naija 🇳🇬we are HERE💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺🌟🔌👍

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 года назад +7

    Zuchu never disappoint💌💟💫💥 go gyal 💬💬💥💢 say something kama umeilewa nyimbo, tujuane hapa 💥💝

  • @never-mess
    @never-mess 2 года назад +2

    Zuchu forever
    Big up sana dada etu

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ 2 года назад +1

    Tamu mno,Zuchuuu kauwaaaaa

  • @abdallahmhina681
    @abdallahmhina681 2 года назад +9

    Nyimbo mbovu kazi matus tu

    • @millahboo
      @millahboo 10 месяцев назад

      Tunga ykoo😅

  • @40kstore
    @40kstore 2 года назад +13

    Umeshinda kila scene humu ndani 💯 hii ngoma sasa inaweza kunikalishia zile za Marioo 🔥🔥🔥

  • @shabanimiraji2771
    @shabanimiraji2771 2 года назад +2

    Yaaan wassafi hawashikiki huku kitu kule unachezaje! 😂😂😂😂😂

  • @youngranqing
    @youngranqing 2 года назад +1

    Wasafi wametuamulia..

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 2 года назад +3

    Zuchu sukari ya afrika 🔥🔥🔥

  • @andreathegrt1311
    @andreathegrt1311 2 года назад +6

    Angel nyigu dominated the dance🔥🔥

  • @shammysleyman7112
    @shammysleyman7112 2 года назад +1

    Nyimbo za sikuhizi mmhh kazi ipo

  • @hannahneno7803
    @hannahneno7803 2 года назад

    I seee ukweli zuchu kimaadili anapotea kbsaaaa cjui nani anamshauri duuuuh,nyimbo zake huwez sikiliza mbele y mzazi wal mtoto

  • @kassimmohammad3279
    @kassimmohammad3279 2 года назад +4

    Nyimbo ni nzuri mimi ni fan wako alaf ni kaka yako kama hujui Khalifa kopa ni mama yangu mdogo...mzee omary kopa zegega ambaye wewe ni babu yako mimi pia babu yangu nimzee omary alikuwa poti pale zenji....ila yy anatokea maneromango as zaramo typical...unafanya vizr sina nia ya kukuharibia mziki pia ni mzr .....ukitaka lugha hasa ya kuimbia hyo style yaamapiano nipo tayar kukutungia nmekaa sana south 🇿🇦..mara ya mwisho kurudi nilkwenda magomeni kibamba kumuona mzee na mama nakamkuta..ssieemi kwamba lazima unijue laa ila ttzo hupendi kujua kama kuna ndgzako wengine somewhere,NAPENDA UNACHOFANYA ILA PUNGUZA MATUSI IMAGINE NYIMBO INA ALA NZR BUT WHO LL BE READY TO LISTEN???HII UNACHOMAANISHA HATA WAZZ WETU WANACHO JE UNAJIDHALILISHA AU UMEKUWA INSANE KWAMBA UNAPENDA MCHEZO WA MATUSI??BADILI MANENO NDANI YA HII NYIMBO KABLA YA BASATA ....

  • @djrleinclovis
    @djrleinclovis Год назад +3

    🔥🔥🔥

  • @fahadmozuu7815
    @fahadmozuu7815 2 года назад +1

    Tafuta cha kuimba kuma nahisi umeishiwa kwa wasiyo mpenda naomba laik zenu

  • @rechaelmabruk6547
    @rechaelmabruk6547 2 года назад +2

    Karembo ketu tenaaa zuchu beiby

  • @eastzooadmin6416
    @eastzooadmin6416 2 года назад +16

    Si bora ungeimba singeli basi ama taarab mziki wa kwenu pemba, much love from Kenya but hii wave ya Amapiano imeushusha mziki wa east Africa sana hasa mziki wa bongo, oneni wasanii wabongo wote sijui mara ya mwisho mtu kufikisha views million 1 ndani ya 24 hours illkua lini, jitathminini.
    Kuna tatizo pahali 😁
    Na tatizo lenyewe ni hii mikwaito na mi Amapiano, sisi hatuvibe nazo si miziki yetu wala si culture yetu
    Last but not least 👇🏼👇🏼👇🏼
    MUSIC IS CULTURE 👇🏼👇🏼👇🏼
    MZIKI WETU, TAMADUNI ZETU.
    Wacha nende nikaskize zangu genge tone na singeli 🙏🏾❤️

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 2 года назад

      Hahaha what do you know about music diversity man enda ukaskize singeli bana kwani umelazimishwa kuskiza