Zuchu - Chapati (Official Dance Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 сен 2023
  • Get #Chapati Song Now 👇🏼
    zuchu.lnk.to/chapati
    / @officialzuchu
    For Bookings:
    Contacts -- zuchu@wcbwasafi.com
    Connect With Zuchu On:
    Instagram: / officialzuchu
    Facebook: / officialzuchu
    Twitter: / officialzuchu
    #Zuchu #Music #Wasafi
    Copyright ©2023 WCB Wasafi. All rights reserved.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,4 тыс.

  • @user-zk3zz6qs7j
    @user-zk3zz6qs7j 8 месяцев назад +13

    Jamani si tupewe zuchu huku Kenya akuwe wetu forever

  • @rahmaissa1941
    @rahmaissa1941 8 месяцев назад +11

    Jamani busu langu iloo kwa dada zuchu 😘😘kaniimbia nyimbo ya chakula changu pendwa chapatii

  • @Mwatiheritier-xh3es
    @Mwatiheritier-xh3es 8 дней назад +1

    Nione love wale wote wenye mnapenda huyu mwanadada Zuchu 💯👏👏👌👌❤️❤️🎉🎉

  • @user-kg8tn9lo9x
    @user-kg8tn9lo9x 8 месяцев назад +2

    Ngoma Ni kali nakukubar sana zuchu naitwa Marco classic me Ni msanii pia RUclips napatkana kwa jina la Marco classic asanten mlio cheki nyimbo hiii

  • @debbierahimz8813
    @debbierahimz8813 8 месяцев назад +6

    Kenya show your love for chapati za pages❤❤❤

  • @Mwavionline77
    @Mwavionline77 8 месяцев назад +17

    Mimi Leo niwakwnza gonga like kama unampenda zucchu❤❤❤❤

  • @zizahissa8642
    @zizahissa8642 8 месяцев назад +8

    Tufanye tukakae juuu jmn🤦‍♀️ ... In love with zuchu

  • @mrdpluske
    @mrdpluske 8 месяцев назад +7

    Zuchu crushy wangu😁 nipe like from kenya

  • @Nanababyofficial6002
    @Nanababyofficial6002 8 месяцев назад +15

    Yawatu wazima hii, tumeifumbuwa iyo kitenda wili mapema sana 💥💥💥💥

  • @widebrainclassic
    @widebrainclassic 8 месяцев назад +30

    Tuko hapa ... Kumpongeza lioness... Congratulations zuchu

  • @marcoclassicofficial2090
    @marcoclassicofficial2090 8 месяцев назад +15

    Nyimbo nzur Sana jaman nakukubar sana zuchu namim pia nimsanii naitwa Marco classic ndo jina la sanaa asanten ndugzangu mlio skiliza nyimbo hii nipen like zangu

  • @lillianatieno5362
    @lillianatieno5362 8 месяцев назад +2

    Dah!!!!!! Ata chapati linaweza kutungiwa nyimbo likatokea kitamu hivi🙄🤭🤔🙆👏👏❤️

  • @evanpilisi9261
    @evanpilisi9261 8 месяцев назад +12

    Chaaaapa-ti chapati
    Chapati inateleza 😂😂😂😂❤❤❤❤ @Zuchu

  • @luckaheba4327
    @luckaheba4327 8 месяцев назад +7

    Zuchu ❤ 🎉 weye ni noma

  • @user-ol6ym4sb8q
    @user-ol6ym4sb8q 8 месяцев назад +1

    Umeweza mamaah chukuwa zangu 100

  • @byClever
    @byClever 8 месяцев назад +3

    Zuchu izi nyimbo ndio new skullii

  • @ndayizigaguillain3568
    @ndayizigaguillain3568 8 месяцев назад +5

    Mrembo wangu uyo jamani❤

  • @intongotv7794
    @intongotv7794 8 месяцев назад +24

    Love from Rwanda naitwa SIMBA 🦁

  • @isayabryson8857
    @isayabryson8857 8 месяцев назад +1

    Nyimbo mbuvu KTK nyimbo zote duniani

  • @damaclinekemunto911
    @damaclinekemunto911 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤my daughter is one year and two months ila hawezi lala usipo mwekea huu wimbo from kenya she loves zuchu

  • @salamamamashenge5493
    @salamamamashenge5493 8 месяцев назад +19

    Mimi niko hapa kwa ajili ya Wimbo na mwenyewe #KwaniUmeikwaNiniIloMnaitaka😂😂🤩🤩Ooh Zuhura wangu mimi nakupenda bila wewe kujua😂😂😂❤❤❤❤❤@Zuchu a k a The Lioness 🤌
    🤌🤌🤌👌👌👌👌🫠🫠🫠💃💃💃💖💖💖

  • @ntobytz3673
    @ntobytz3673 8 месяцев назад +6

    Oaa hiii ngoma kalii
    Af imeenda❤❤❤

  • @abdouthiam6602
    @abdouthiam6602 7 месяцев назад +7

    Zuchuraaaa te amoooo ❤️😭🇸🇳

  • @user-hn5rb8wi3h
    @user-hn5rb8wi3h 8 месяцев назад +1

    Zuchu akoo karibu kuimba ugali next

  • @AllanLingard
    @AllanLingard 8 месяцев назад +5

    Chapati chilling then boom! Zuchu happen😂

  • @golfingermoon
    @golfingermoon 8 месяцев назад +20

    Zuchu Kinukishe Sasa 🔥Mob Love from Kenya 🇰🇪

  • @NdolimanaJonasi-kc1jj
    @NdolimanaJonasi-kc1jj 8 месяцев назад +1

    Kakosa kazi anaimba ujinga tyu Ina fundisha nn kwenye jamii hiyo chapat😇

  • @solomonwachira133
    @solomonwachira133 8 месяцев назад +1

    Say what u want, but Tz wamechkua hii genre na wakakimbia nayo🏃‍♂️🏃‍♂️..give them their flowers. No one does it better. Hii nimependa

  • @stevewalibora3704
    @stevewalibora3704 8 месяцев назад +41

    Great ....love from 254 Kenya ....Zuchu you are such an amazing artist please Tanzanians show some love atleast mnigongee likes hata kumi ....the hit is on fire

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 8 месяцев назад +5

    Zuchu hana shughuli ndogo jamani😂😂😂😂😂😂mashaAllah 🎉🎉🎉🎉

  • @MXNOTB
    @MXNOTB 8 месяцев назад +1

    Wuuuuueeeeeh😂😂😂😂wapiii ngesh......

  • @vinnyorango3169
    @vinnyorango3169 2 месяца назад +2

    Wow nyumba msuri🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf 8 месяцев назад +5

    Shemejiiiii
    Sema zuchu ni mbunifu sana aisee

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 8 месяцев назад

      💯💯💯💯💯✔️

  • @user-qx4fj4jr2h
    @user-qx4fj4jr2h 8 месяцев назад +7

    ❤❤❤zuchu from south Africa 🇿🇦

  • @tamadheralmaskary9067
    @tamadheralmaskary9067 6 месяцев назад

    Saivi ushaiishiwa,, ulikwa Unaimba vizuri tuu saivi chapati na mandazi .. ulikuwa unaimba vizuri nyimbo zina mana yake ,, saivi uji wa nazi tena

  • @AMMY_TONYofficial
    @AMMY_TONYofficial 8 месяцев назад +1

    Kama unamkubal zuchu shusha comments on firee🎉🎉💪🔥🔥🔥🔥

  • @partypulsetv
    @partypulsetv 8 месяцев назад +3

    Dope❤...nifikisheni 2k subscribers,niko na mixes kaliii🔥🔥🔥

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 8 месяцев назад +5

    Chapati ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @inyesh001mkorofi
    @inyesh001mkorofi 7 месяцев назад +1

    Cheki siz Zuchu nataka sasa ya biriani

  • @user-cw4th8li6w
    @user-cw4th8li6w 8 месяцев назад

    Uko sawa zuchu tunakupenda nice

  • @letter_one254
    @letter_one254 8 месяцев назад +4

    💯💯💯💯💯Chapati

  • @Kambachurchgal-hg4zx
    @Kambachurchgal-hg4zx 8 месяцев назад +31

    Zuchu to the world much love ❤️🇰🇪🇰🇪 Kenyans let's show live mnipitie

  • @UrbanCraftTv
    @UrbanCraftTv 8 месяцев назад +22

    Top-notch excellence.
    Loud and clear in Nairobi, Kenya.

  • @KingVish-do3dx
    @KingVish-do3dx Месяц назад +1

    It is true to say our Queen is incredible

  • @gladys5734
    @gladys5734 8 месяцев назад +19

    Nice song Zuchu l'm from Kenya 🇰🇪 👌

  • @ummibabysalim9522
    @ummibabysalim9522 8 месяцев назад +17

    All away from Kenya 🇰🇪zuchu Ni🔥 queen of Africa mkali hatari 🥳🥳nipewe like aky

  • @user-vz2bf7dp2h
    @user-vz2bf7dp2h Месяц назад +2

    I like this song 💖💖💖

  • @marywambui9667
    @marywambui9667 6 месяцев назад +1

    Pls endless kutoa nyimbo za ampanio tunazipenda nyimbo hizo❤

  • @kelvingelard9265
    @kelvingelard9265 8 месяцев назад +6

    😂😂wazee wa chapati tuko hapa daily asubuhi lazimaaa🔥🔥🔥🔥

  • @Dazbytozz7573
    @Dazbytozz7573 8 месяцев назад +19

    Love from burundi🇧🇮❤️❤️❤️

  • @user-hk1rz5ql2s
    @user-hk1rz5ql2s 8 месяцев назад +1

    Congrtulation zuchu kw Kaz ako

  • @user-zi2lj4yx6t
    @user-zi2lj4yx6t 4 месяца назад

    Yeye tu JO mwenye ata tu uwaka❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shdaifatoverseaslimited
    @shdaifatoverseaslimited 8 месяцев назад +9

    Wow nimekuwa wa kwanza wapi like za mkenya

  • @user-ws8ct6nq6f
    @user-ws8ct6nq6f 8 месяцев назад +3

    Napenda sana nyimbo zako

  • @melodious.melody.makena
    @melodious.melody.makena Месяц назад

    Utamu wa fasihi ni kupakua maakuli yako kutumia manenos....wanafunzi ambao hawaelewi lugha kwa ufasaha wataelewa maana ya juu. Wanaopambanukiwa na lugha watasalia kuchekabna kufurahia jinsi lugha imetumiwa....amua wewe ni mwanafunzi yupi wa fasihi. Kazi nzuri binti

  • @ShetiReje-pb7pm
    @ShetiReje-pb7pm 7 месяцев назад

    Zuchu aki ako poa na dressing code aki na blow

  • @SammyLee-mo8pr
    @SammyLee-mo8pr 8 месяцев назад +3

    Nkubali chapati 🎉🎉sana wee pamoja bana😊😊😊

  • @user-bo4nw5ns3e
    @user-bo4nw5ns3e 8 месяцев назад +5

    woooow beby zuchuu thus good song 💖💕

  • @kiribilim1021
    @kiribilim1021 7 месяцев назад +2

    TOA NYINGINE BABYGIRL ❤

  • @OmerAbdalla-xo1wb
    @OmerAbdalla-xo1wb 8 месяцев назад +47

    We love Chapati as Sudanese in Uganda 🇺🇬 😍 👏

    • @AshleyMaleh
      @AshleyMaleh 8 месяцев назад +3

      And which is this a 😅j😮 and then 😊😊😊😊😊😊😊

    • @user-iz8zk3vp6u
      @user-iz8zk3vp6u 8 месяцев назад +3

      I love zuchu so much 💓 💗 💖 💛 💕 😭 💓 💗 💖 💛 💕 😭 💓 💗 💖 💛 💕 😭 💓 💗 💖 💛 💕 😭 💓 💗 💖 💛 💕 😭 💓 💗 💖 💛 💛 💕 😭 💓 💗 💖 like the first time

    • @OmerAbdalla-xo1wb
      @OmerAbdalla-xo1wb 7 месяцев назад +1

      @@MarinaKlinko-dk5rv aha

  • @meekjeddy3910
    @meekjeddy3910 8 месяцев назад +4

    Chapati tamu kweli ♥️♥️
    Umepatia

    • @eddahwekesa1951
      @eddahwekesa1951 8 месяцев назад +1

      Chapati ya kuteleza 😅😅😅

  • @sharonamondi1854
    @sharonamondi1854 8 месяцев назад +3

    South Africa.....🔥🔥

  • @raybwoy6425
    @raybwoy6425 8 месяцев назад +1

    Napenda Chapati na Malage

  • @stellamalebetoh-jk4ex
    @stellamalebetoh-jk4ex 8 месяцев назад +1

    Nimeelewa tofauti yan kinachoimbwa na kinachomaanishwa duuuh MUNGU anisamehe kama natafsir vbaya

  • @tomkithome2615
    @tomkithome2615 8 месяцев назад +9

    Aki Zuchu peda goma zko xana❤ Watching live from Florida Mombasa❤

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ 8 месяцев назад +4

    Tamu Sanaa❤

  • @kweveria84
    @kweveria84 8 месяцев назад

    Mandodo na chai ndio umesahau kuongeza 😊😊😊

  • @ConfusedCamel-pj6hz
    @ConfusedCamel-pj6hz 4 месяца назад

    Nampenda sana zuchu ❤

  • @eng.sultan4333
    @eng.sultan4333 8 месяцев назад +3

    Lets like for zuchu 🙌🔥🔥
    Chapat😂

  • @user-rl7hn8tt7w
    @user-rl7hn8tt7w 8 месяцев назад +3

    Napenda sana zuchu mm❤chapatiii😂

  • @jeremiemustala6687
    @jeremiemustala6687 7 месяцев назад +4

    Love from Congo🇨🇩🎥🎥🎥💪💥

  • @ElvisOfficial-ny6yd
    @ElvisOfficial-ny6yd 8 месяцев назад +1

    umetisha. sana kilangoma unayoachia innifika moyoni mishabikiako nikiwabukoba kagera piachipkiziwa.gospel

  • @danielkarani3536
    @danielkarani3536 8 месяцев назад +82

    Chapati never dissapoints kwanza na maharagwe❤️‍🔥

    • @eddahwekesa1951
      @eddahwekesa1951 8 месяцев назад +10

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sitaki kucheka jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Charles_blessed884
      @Charles_blessed884 8 месяцев назад +6

      😂😂😂😂then ichomwe inakuwa sawa kabisa pia mm nitatoa ya ugali

    • @aisharajimbo6784
      @aisharajimbo6784 8 месяцев назад +3

      Maharage ya Nazi tena ya tui la juu

    • @danielkarani3536
      @danielkarani3536 8 месяцев назад +1

      @@Charles_blessed884 haha itaweza sana walahi😂😂

    • @benjaminkyaloOfficial
      @benjaminkyaloOfficial 8 месяцев назад +2

      😂😂😂😂

  • @meymahally8674
    @meymahally8674 8 месяцев назад +6

    Sukari,Kwikwi,nani,honey now chapati mammmaaaaaa utatuua❤

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 8 месяцев назад +2

      Hatariiii Zuchuuuuuu 🔥🔥🔥

    • @NyalukeLugao
      @NyalukeLugao 8 месяцев назад

      Uhakika umetisha sanaaah

  • @ireneogutu3243
    @ireneogutu3243 8 месяцев назад +2

    Personally i love zuchu mwaaah

  • @ruthkhatiala3984
    @ruthkhatiala3984 5 месяцев назад

    Chapati Leo ni Christmas 😍

  • @edrickmtani9879
    @edrickmtani9879 8 месяцев назад +3

    The best ❤

  • @KeedKE-066
    @KeedKE-066 8 месяцев назад +6

    Zuchu to the world🎤🎤💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @user-qj1bu2xo8m
    @user-qj1bu2xo8m 7 месяцев назад +4

    ❤nakupenda zuchu wewe ni Bora kuliko nandy wa sikuchanganye
    Thanks for listening me

  • @bryanliseche2966
    @bryanliseche2966 8 месяцев назад +1

    Ii ni ngoma gani sasa

  • @easternsavages
    @easternsavages 8 месяцев назад +28

    Mkali wa eastern .....Moto Sana ....🎉🎉keep it up ...show some love ....Kama we ni wa Mombasa .....tufike chapati surwa .....kwa Mama ntilie ... Piga like 😊😊

  • @livinjustin8954
    @livinjustin8954 8 месяцев назад +16

    Naombeni mumpe zuchu likes zake kama umeirudia hii Ngoma zaidi ya mara mbili chapati on trending now 🔥🔥🔥🔥

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 8 месяцев назад

      💯💯💯💯 🔥🔥🔥

  • @fredricksabick-hi1fl
    @fredricksabick-hi1fl 8 месяцев назад

    Ukiwa wcb hakuna kuounzika, ni jiwe juu ya jiwe

  • @user-br5fd3hz1r
    @user-br5fd3hz1r 8 месяцев назад +2

    Chapati nataka chapati😊

  • @djkriswhiz254
    @djkriswhiz254 8 месяцев назад +59

    Tanzanians' don't joke around when it comes to good music, especially Amapiano.🙌🥳🇹🇿 Much love from Kenya.🇰🇪

  • @theodoliangina1628
    @theodoliangina1628 8 месяцев назад +32

    Chapati,ndengu na kamande!Much love from Kenya

  • @baylonchege9877
    @baylonchege9877 7 месяцев назад +2

    Facial expressions za zuchu😙😙😙😙😙

  • @NjoTV
    @NjoTV 7 месяцев назад +2

    African Dora the Explorer!!!!!!!!!!!!!!!! 😮🤯🏅Zuchu mehn..si pole basi 😍🤩

  • @GitoshDan
    @GitoshDan 8 месяцев назад +7

    Zuchu never runs out creativity. Sasa ametupikia chapati 😂😂.

  • @peninahkarembo
    @peninahkarembo 8 месяцев назад +13

    Let me be honest I love u zuuh and u really inspire me ❤❤❤mob likes to u mamaaaa

  • @Fredrick-ok6fb
    @Fredrick-ok6fb 4 месяца назад

    Zuchu nakupenda. my dear

  • @user-ev3rr6lf4z
    @user-ev3rr6lf4z 4 месяца назад

    Naona mnamupenda zuchu hata mimi nampenda❤❤

  • @user-ps3cj8bl3h
    @user-ps3cj8bl3h 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤ kama hungempenda diamond Mimi ndio ningekupenda maana unaandika sana

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 8 месяцев назад

      💯💯💯💯✔️

  • @EdnaMakulo-cy8ju
    @EdnaMakulo-cy8ju 8 месяцев назад +5

    Plz naomba likes zenu here from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @Swahili14
    @Swahili14 3 месяца назад +2

    I came to realize all Zuchu's 2023 songs were smash hits
    This gal rules bongofleva 👑🙌🏿❤️

  • @matanomangale
    @matanomangale 8 месяцев назад +1

    mbna mwa potosha watoto kwa nyimbo zauzi hata hamuo gopi mungu hukum yaja

  • @Leizer452
    @Leizer452 8 месяцев назад +5

    Congratulations bebygirl you are going far❤❤❤

  • @estheraimee8053
    @estheraimee8053 8 месяцев назад +15

    CHAPATI na maragwe tamu sana 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @JeanetteAyeba
    @JeanetteAyeba 5 дней назад

    Mm na mpenda san tu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MarieHeleneNtahizaniye
    @MarieHeleneNtahizaniye 7 месяцев назад +1

    Tanzania oyeeee👊❣️💕