Thank you brother, andaa video ya wimbo huu ambapo kila atakaye sikia nakuangalia video hii anabubujikwa na machozi. Nimekumbuka mbali sana. Mungu akubariki sana mtumishi
MUNGU akubariki na akubariki sana mtumishi,,baada yakuskiza huu wimbo,nlihisi TU ni MUNGU alikuita Kwa kazi yake uhubiri kupitia nyimbo,MUNGU akufunike kw neema yake ulindwe na neema yake iongezeke kwako😭🙏🏿🧎🏻
Kaka yangu Brother Godfrey, naomba sana kuongea na wewe kama hautojali unitumie number zako za simu, maana nataka kukushukuru juu ya wimbo huu, maana umenigusa sana Moyoni mwangu.. please nakuomba unikubalia number zako simu, Ubarikiwe sana.
Wimbo wenye ujumbe mzito saana kaka ubarikiwe Sasa mtu alitaka ku download anaupata wapi
Ubarikiwe Sana huu wimbo umenigusa Sana yaani Kama vile umeniimbia mim kweli mungu ndio kila kitu ubarikiwe Sana jmn 😭😭😭😭👐👐🧎
osana eeh ni bwana wa mabwana.🥰🥰
Mungu azidi kuimarisha uduma yako ndugu yangu ♥🙆🙆🙏🙏🙏🙌🙌🙌
This is very powerful full of anointing,may God give you more wisdom and anointing it's so touching I'm listening more than 10 times
Hii wimbo imenibariki sana 🙏🏿🙏🏿🔥🔥
Mungu akulinde sana kaka kwa nyimbo zako unajuwa unajuwa 🎉🎉
This song makes me everytime strong no Matter what comes my way be blessed my brother keep going ❤🙏🙏🙏🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️💃💃💃
Ubarikiwe sana kaka yangu maana huu wimbo unanifariji sana
Ujumbe mzuri sana, Mungu akuzidishiye zaidi na zaidi kwa karama yako ya uhimbaji Brother Godfrey 🙏 🙏 🙏 Amen
Mungu akukumbuke zaid
Wimbo mzuri na mzuri tena,siachi kurudia kuusikiliza,,ubarikiwe sana
Yani sichoki kusikiza wimbo huu mungu akuzidishie hakika hapa nilipo n mungu ametaka wimbo WA shukrani hautakoma kinywani mwangu
Ndugu katika Christo shika uduma Mungu ameweka kitu ndani yako utafika mbali
Had not known him ,since I came to his songs on stories fb,am really blessed with it❤❤❤❤❤❤❤
The same to me too
Ubarikiwe sana. Naupenda sana Wimbledon huu. Unanifariji sana.
Barikiwa sana kaka,nice song nabarikiwa sana na huu wimbo ❤
This song is very powerful be blessed 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu Akubariki sana kwa wimbo huu🙏🙏
Daaah Safi sanaaa🎉🎉
Thank you brother, andaa video ya wimbo huu ambapo kila atakaye sikia nakuangalia video hii anabubujikwa na machozi. Nimekumbuka mbali sana.
Mungu akubariki sana mtumishi
MUNGU akubariki na akubariki sana mtumishi,,baada yakuskiza huu wimbo,nlihisi TU ni MUNGU alikuita Kwa kazi yake uhubiri kupitia nyimbo,MUNGU akufunike kw neema yake ulindwe na neema yake iongezeke kwako😭🙏🏿🧎🏻
MUNGU Akusimamie usilewe sifa za wanadamu nakukubali sana
Nakubali ujumbe mzury❤❤❤❤
Amina huu ni ushuhuda wangu
I love ❤this song
Wimbo wa shukuran hautakoma kinywan mwangu
Amen nafarajika na huu wimbo
Amena kubwa🙏🙏🙏
Mungu akuninue viwango zaidi wimbo umegusa Maisha yang nina kila sababu yakumwambia Mungu asanteee
Hii nyimbo hunikumbusha mbali ashukuriwe Mungu kwa umbali huu😢😢😢😢
🎤Barikiwa kaka 🥰🥰🥰🥰🎼🎤🎧🎹🎸
Amina mtumishi wa Mungu 🎉
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Ukiniona natembea ni kwa neema yake bwana 🙏🙏🙏🙏🙏💖💖
Amen 🙏🙏🙏 ni kwa neema yake ubarikiwe uende viwango za juu zaidi
Amin ni kweli kabisa ni mungu tu HAKIKA MUNGU akuinue SANA 🙏🙏 kaka
Ukiniona natembea ni kwa neema yake bwana..This song is a blessing.🙏🙏
Be blessed my dear👏🏿
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
Kaka Ubarikie 🙌🙌
Mungu akupe maisha marefu
Amen 😢 kweli kabisa
Wimbo mzuri sana sana
Asante mungu 😊
Mungu azidishe Upako Ndaniyako Mana nyimbozako Zinagusa miyoyo yawatu Ubarikiwesana ❤
Amen kabisa shukrani kwa Bwana tunaishi kwa Neema yake kubwa kwetu. Barikiwa sana Muimbaji “BROTHER GODFREY”
😭😭😭Amen nice song
Unanibariki sanaaa😂😂😂
Have been blessed by this song
Ameni Ameni God bless you
Kaka yangu Brother Godfrey, naomba sana kuongea na wewe kama hautojali unitumie number zako za simu, maana nataka kukushukuru juu ya wimbo huu, maana umenigusa sana Moyoni mwangu.. please nakuomba unikubalia number zako simu, Ubarikiwe sana.
Nitumie Dm Instagram Brother_Godfrey Mungu akutunze sana
Mungu akubarik san mtumishi
This song is life
Iyi iko sawa kabisa
Amen amen ubalikiwe sana
Very powerful song
It bless me haki
Dah,, wimbo wa kutia moyo,,, barkiwa mtumishi,,,
Barikiwa sana
Ubarikiwe sasa ndugu yangu
Amen Amen Amen 🙏
ubarikiwe mara 100 💯 mtumishi waMungu
Powerful be blessed
Mungu ainue uimbaji wako zaidi ya hapa umenibariki sana wimbo huu
Asanti Kwa huu wimbo nimeskiza Hadi nalia tu
Be blessed brother❤❤
Very powerful message
Keep it up bro, am blessed
Ume nibariki sana😢
Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
Barikiwa sanaa kaka mungu azidi kukupa macho ya rohoni ❤❤
Powerful song.Great grace abounds towards you.
ubarikiwe sana wimbo umenibarik mnoo
😢😢😢😢wow wow
Amen 🙏🙌
Amen Mungu ahibariki koo itowayo sauti hii
Ahsante
Nice song be blessed brother,, imenibariki sana
Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
Wow nice song keep it up brother?
Amen kubwa 🙏🏾❤️🔥🔥
Amen Amen 🙏🙏
God bless us
Sifa na utukufu apeweee yeye aliye hai
Be blessed sir,this is powerful song🙏✅
🙏🙏🙏so powerful....my song of the year....be blessed bro Godfrey❤❤
This song is Soo nice!
❤❤❤❤ Amen
Amen 🙏
God bless you brother
Soit béni mn frère 🎉
Asante sana amen ❤❤❤🎉
Ameeeen 🙏🙏🙏🙏🙏
Umeuweka tiktok nausearch siioni
❤❤❤🎉🎉🎉🎉Amen
God bless
Amen and Amen 🙏
Amen ubarikiwe nyimbo nzuri sana. Nipe number zako nikutumie soda
Amen 🙏🙏🙏 amen
Amen
Amen 🙏 🥰🥰🥰