Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi Walivyoimba kwa Mbwembwe katika Sherehe ya Masista Baraza la Maaskofu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии •

  • @Makothful
    @Makothful Год назад +2

    Mt.kizito,wenye sauti sambamba.vizuri sana kwa uinjilishaji wa neno kwa njia ya nyimbo.Ray,
    👍👍👍 an by the way,good entrance

  • @charleslukoo8156
    @charleslukoo8156 2 года назад +1

    Kizazi hatakizazi jinalake lihimidiwe,Aminaa

  • @gracefeldinandi838
    @gracefeldinandi838 3 года назад +2

    Niko kenya nawapata mim ni mtz mwenzenu dada yangu fulolentina animba na nyinyi nawapata vizuri safi

  • @mulikitonga3324
    @mulikitonga3324 Год назад +1

    ❤️❤️🔥🔥from Kenya

  • @aishasaidh1236
    @aishasaidh1236 3 года назад +3

    Kwaya mastar nampiga kinanda nikiwapata kwenye harusi ya mdogo wang itakuwa fresh san nimependa

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 года назад +5

    Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina

  • @waswawanjala2480
    @waswawanjala2480 3 года назад +2

    From Kenya.
    Catholic my great church.
    Thanks my brothers and sisters from Tanzania

  • @raphaelnjongo9613
    @raphaelnjongo9613 3 года назад +1

    Mwalimu kiongozi unajua kutuliza kwaya. lakini pia unatumia stage yako vizuri

  • @monicahmutuku3305
    @monicahmutuku3305 2 года назад +2

    Nice voices. I admire hii choir. Organist Ako poa and choirmaster Ako sawa. Barikiweni sana.

    • @Makothful
      @Makothful Год назад +1

      ther is co-ordination between them.Big thumbs up for them👍

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 года назад +5

    Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume

  • @rehemashirima655
    @rehemashirima655 3 года назад +1

    Wameimba vizuri sana hadi raha

  • @SafariGurty
    @SafariGurty Год назад

    Hongereni wanakwaya wa kizito

  • @christophersaraphina7172
    @christophersaraphina7172 3 года назад +2

    Nafarijika na nyimbo zenu, mbarikiwe

  • @healingprayers9760
    @healingprayers9760 3 года назад +5

    I love the choir Master. God bless you sana, for praising him

  • @Chris-t5o5b
    @Chris-t5o5b Год назад

    Kwaya master God have given u a good talent

  • @restutalubeba4725
    @restutalubeba4725 3 года назад +2

    Mungu awabariki kwa utume wa uimbaji mwema hongereni sana

  • @fidesbarhalam2842
    @fidesbarhalam2842 2 года назад +1

    Safi sana Mungu awabariki

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 года назад +2

    Mungu awabariki sana kwa kulitangaza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji🙏

  • @agnessnestory8940
    @agnessnestory8940 3 года назад +1

    Nimebarikiwa xana mungu azidikuwainua muwe imara ktk kulitangaza jinalake!

  • @SpreadgoodNews
    @SpreadgoodNews 2 года назад +1

    NICE

  • @lawrenceotonyo6900
    @lawrenceotonyo6900 Год назад

    Ahsante kwa huu wito wenu mbarikiwe

  • @aishasaidh1236
    @aishasaidh1236 3 года назад +2

    Kwaya master hongera sana

  • @Chris-t5o5b
    @Chris-t5o5b Год назад

    God bless you 🙏

  • @sharonnasimiyu5290
    @sharonnasimiyu5290 Год назад

    Wimbo ulio bora sana

  • @annwambui8287
    @annwambui8287 2 года назад +1

    Kwanza Huyo choirmaster,, share his contact

  • @silviawanjiru194
    @silviawanjiru194 2 года назад

    Jehovah!i can see two ladies i spotted during music festivals at Nairobi.

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 года назад +2

    Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu

  • @remmymtuka4764
    @remmymtuka4764 Год назад

    Grup langu la whatsap limepotea naomba mnis
    aidie lirudi

  • @yasinabdul5429
    @yasinabdul5429 2 года назад +1

    naona mnamwagilia na moyo 😂😂

  • @silastvkenya1496
    @silastvkenya1496 2 года назад +2

    Kazi ya kufana

  • @AngelinaEronje
    @AngelinaEronje Год назад

    You do very nice

  • @birekejoseph7818
    @birekejoseph7818 2 года назад +1

    Nice songs

  • @annwambui8287
    @annwambui8287 2 года назад +1

    hii choir aki ni kiboko yao

  • @jacobpatrick7936
    @jacobpatrick7936 2 года назад +1

    Kwaya yangu bora ya muda woote

  • @renatusbutimbisandu4049
    @renatusbutimbisandu4049 3 года назад +4

    Penda sana

  • @fabianlukasilukasi2836
    @fabianlukasilukasi2836 3 года назад +1

    Wakatoliki bhana hmna mambomengi cheki mezani natubalimi waametuacha

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 2 года назад

    Ok

  • @rosedulle9154
    @rosedulle9154 3 года назад +1

    ❤❤

  • @martinwahome8153
    @martinwahome8153 3 года назад +2

    nitakosa vipi kukipenda kibao kama hichi

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 3 года назад +2

    Pendeza sana

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 года назад +2

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @andrewnatsson9047
    @andrewnatsson9047 3 года назад

    ö