Hongereni sana kwa kazi nzuri, mwanzo sikupata nafasi ya kuusikiliza wimbo vizuri leo nimeunganisha kwenye spika nimesikia sauti zinavyopenya masikioni na vyombo vilivyopigwa kwa ustadi na ubunifu mzuri nimejikuta siku nzima narudia kusikiliza bila kuchoka
Hongereni sana wanakwaya wa makuburi kwa nyimbo nzuri sauti nyororo mbarikiwe sana
Uinuliwe Mungu uliye nguvu zangu...umetukuka duniani na mbinguni❤❤
Mwili wote umesisimka kwa furaha jinsi walivyochangamka❤
Hongereni Sana KMK Makuburi 🔥🔥 nawapenda sana@Zacharia
🙏🏼 barikiwa sana
Wow!! Hongereni sana Mt.Kizito choir…
Hongereni sana kwa kazi nzuri, mwanzo sikupata nafasi ya kuusikiliza wimbo vizuri leo nimeunganisha kwenye spika nimesikia sauti zinavyopenya masikioni na vyombo vilivyopigwa kwa ustadi na ubunifu mzuri nimejikuta siku nzima narudia kusikiliza bila kuchoka
Vinny ako talented sana, kutoka kwa kinanda hadi kwa ngoma
impressed 🔥🔥🔥🖐
nimependa uimbaji wenu nikija Daar nitakuja kujiunga na nyinyi Mimi ni mwanakwaya kutoka korogwe Tanga
Sijui nihamie dar
Aisee Hawa wapig kinanda n hatar
Wonderful ❤❤ please you people come to Uganda Kampala,, Julius
❤❤. My best choir🎉🎉🎉🎉🎉
Kakaangu Colman Ufunguo kongole kwako, umenikumbusha mbali kaka, be blessed❤
Mbona amefanana na RAJO PRODUCTIONS
Jina la organisti tafadhali...kazi safi😔
Kazi nzuri, nimependa sana kwaya ya mt.kizito
Moto kama pasi
Nzuri Sana ❤. Napenda mziki Wenu Sana. Barikiweni Sana wanachoir.
Wow singing from the heart. Proudly serving God by singing. Asanteni sana wanachoir Toka tanzania.
🎉❤ KMK Makuburi I love you. The best choir in the world. Mnafanya nihisi kuhama Kenya nije huko Dar.
krb sn jaman Tz
Same to me I feel like I'm not praise God the way their e praising him
Usihame kenya tembea kaimosi
Nikimuona Matilder nasikia rahaa sana❤❤❤
Thanks
Anafurahia anachofanya...ni raha kuishi na mtu anayejiamini..
Yaani damu na mifupa yake imejaa Muziki Mtakatifu , nampenda sana
Hongela sana wanakizito kwauimbaji wenu katika kwaya zote za Tanzania nyinyiniwakwanza nikifika Dar es salaam naminitajiunga nanyi mbarikiwe sana.
Hongereni wanakwaya wa Mt kizito makuburi Kwa majitoleo yenu ya uinjilishaji nawapenda sana mwenyezi Mungu azidi kuwapa afya njema mzidi kutuinjilisha
Aiseeeeee mmetisha.Nawaelewaga sana.Madame Matrider nakuona katika ubora wako
Twakuona..
Nahis maneno hayatoshi kuelezea how I feel nikiskia hii kwaya🙌🙌🙌🥰🥰🎶🎶🎶
This is a very beautiful song it me fills very joyful from Albert USA😊
I feel this is where i belong
Your numbers make singing easy aki
Tunasubir mrekodi wimbo huu tubarikiwe zaid kamwe msiache kurekodi
Umerekodiwa na st Jude kwaya kitambo sana
Ulushaa imbwa na kwaya ya mbeya
Viny anapiga ngoma kama kamongo...hahha
The instrumentation is just on another level. Napenda sana huu wimbo. Na urekodiwe!!!❤
Ulirecordiwa na JMC Mbeya
Mwaka gani ?
You bring The Best out of the Best
❤❤❤❤nawapenda sana natazama nikiwa Kenya eldoret diocese
Naomba lyrics ya wimbo huu
Mbarikiwe sana mziki mzuri sana
Mnatisha kwa kweli natamani siku nipate fursa nije kusali pamoja nanyi
Conductor zakaria Gerald unaupiga nwing kongole kwako
🙏🏼🙏🏼
Vinnie plays drums very well. He is multitalented
Dah leo moampea vinnie ngoma😅
Yaan good sana inapendeza mno mpo vzr
Wooow 😍😍😍Barikiwen daima vipenzi vyangu...
Natamani nngepata maneno ya huo wimbo
Hongera sanaaa watanzania wezangu 🎉🎉
❤all the way frm mks jirani wa fr. Kioko
Mt kizito hamnawah tuangusha hongeren sana
Wimbo huu kwangu haujawahi kuchuja kwangu
Ata Vinny siku hizi ameamua kucheza ngoma
Nimemuona ma brother jovit mungu azidi kukubariki
Salute to organist
Colman Ufunguo🎉
@@K-stopher sio RAJO huyo
Hongereni sana kazi nzuri sana
Very nice.Hongereni kwa uwinjilishaji wenu mzuri
Hamjawahi niangusha kabisaaaaa nawapata sana
All the best ,God bless the kmk choir
Naenjoy san Kuwaona na napenda san kujifunza kutoka kwenu katika utume wa uimbaji hongereni sana mbarikiwe🔥🔥
I really love this choir..mko juu sana..much love from Kenya
My best choirs. Alfu online mass mlitoa
Is awesome song in name of Jesus
Rumba moja tamu sana. Thank you KMK♥️
Saute nzuri sana be blessed
Sauti nzuri sana ❤❤ be blessed
Sisemi kitu❤❤❤❤🎉
Pendeza sana...
Sisi ndio sisi katoliki❤
Mtavangu, mmenikumbusha mbali
I like listening to your songs, this choir voices counts and are on another level.
Mie kuwapenda mnooo tu❤
Nice songs keep it up....I ❤️ the songs...God Bless you 🙏 👏 🙌
Very very..nice song.God bless your voices...
Good work n keep it up....
Live from Nairobi Kenya
Mbarikiwe sanaa
Saaafi saaafi saaafi saaana❤❤❤❤
Planning to visit you guys nawapenda sana
Congratulations 😊wow so impressive 🙏
nice song,be blessed especially the drummist enyewe amejitolea kabisaa🎉
❤❤❤ mbalikiwe sana
Great job 👍👍
Mungu awabariki sana 🎉
kmk on fire
Wish to join this choir🫣🫣🤗🤗❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Always the best...
Nice Chore be blessed
Ailiiiiiii🎉❤❤❤❤❤
❤
Amen
❤❤❤❤❤❤it's so sweet❤❤❤❤
Nice ❤
Amasing 🔥😍
I love this choir ❤❤❤❤
I can't get enough of this
Stay blessed!
🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤
🥰🥰🙏
Anyone with the Lyrics? Kindly post here.
Where can I get the lyrics please
I can't get enough of this. Do you have an official video or audio🙏 my love from kenya
Hellow yeah there's an official audioo
@@cassianusbarongo606where can I get it
Name of that organist please 🥺❤
Lyrics please
❤❤