jinsi ya kukata na kushona gauni ya tight iliyochanganyiwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 46

  • @GasperJonathan-sj8qy
    @GasperJonathan-sj8qy Год назад

    Asante madam unafundisha vizuri

  • @janethtobius6173
    @janethtobius6173 3 года назад

    Asante sana dada milca uko vzur kwel dear

  • @lenathasoterislenathasot-lq1xg

    Ni nzuri sana

  • @wittyparesso1364
    @wittyparesso1364 2 года назад

    Asanteee sana fund

  • @zengopascal5050
    @zengopascal5050 3 года назад +1

    Be blessed dada

  • @maricianambori8746
    @maricianambori8746 2 года назад

    Nipenda kazi yako ,umenisaidia hapo kwa zipu sikujua kama unatakikana kushape

  • @joshuamatinde7494
    @joshuamatinde7494 Месяц назад

    Dada umejuaje huo ulefu unao pima hapo kutoka kwenye bega nashingo sijaelewa po please 🙏🙏🙏

  • @agipascal4594
    @agipascal4594 3 года назад

    Asante milca

  • @esteryambayamba3088
    @esteryambayamba3088 3 года назад

    Hello.
    Asante sana.
    hiyo karatasi unatumia inaitwaje?

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 года назад +1

      Nenda stationary (gazet la kaki)

  • @sekitauniquedesigns8813
    @sekitauniquedesigns8813 3 года назад

    Great!

  • @vumiliavumiliasambepo4999
    @vumiliavumiliasambepo4999 2 года назад

    Nimependa gaun la kuchanganya hivo mm sijaelewa kwenye kupunguza nch nyuma kwenye zipu

  • @estherlabanghuliku4668
    @estherlabanghuliku4668 3 года назад

    Nakupenda Asante sn

  • @joyceagustino4542
    @joyceagustino4542 Год назад

    Naomba niunge kwenye group please

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr 11 месяцев назад

    Kwa iyo hapo kama sina gazeti nifanyaje fundi wangu?

  • @julithatito6482
    @julithatito6482 3 года назад +1

    Naomba uniunge kwenye group lako

  • @chrissdilly
    @chrissdilly 3 года назад

    Asanteee

  • @neemamwilongo9790
    @neemamwilongo9790 Год назад

    Napenda unafundisha vizuli sanà unapatikana wapi

  • @faustaamasy2482
    @faustaamasy2482 3 года назад +1

    samahan dada Milca ukiwa unakata kipande cha mbele ni lazima uwe na hiyo manila au unaweza kutumia kitambaa au ukakatia moja kwa moja?

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 года назад

      Ndio dr unaweza kata Moja kwa moja kwenye kitambaa sema utaaharibu vitambaa kuna vitakuwa havina kazi

  • @rauhiyaswalehe285
    @rauhiyaswalehe285 3 года назад

    Na mm naomba uniunge dada

  • @scolarmickson6353
    @scolarmickson6353 3 года назад

    Nice to see madam! Tuwekee na clip ya kukata na kushona kikoti cha suti za kike

  • @joanmgimba9500
    @joanmgimba9500 3 года назад

    Mamy naomba uniunge kwa group lako hata kama ni Malipo nipo tayari

  • @FelistaConrad
    @FelistaConrad 2 месяца назад

    Naomba nijiunge na group lenu

  • @neemamwilongo9790
    @neemamwilongo9790 Год назад

    Naminatamani kujua kushona

  • @maricianambori8746
    @maricianambori8746 2 года назад

    Naomba kama unaeza eleza mbona unapima kifua kutoka kwa bega inchi kumi

  • @sebastianedward588
    @sebastianedward588 7 месяцев назад

    Kumbe gauni au sket za tight haziwekwi lainingi

  • @wittyparesso1364
    @wittyparesso1364 2 года назад

    Sehemu ya zipu sijaelewa

  • @catherinelushinge376
    @catherinelushinge376 3 года назад

    Dada naomba niunge jamani nisaidie kwenye group lako jamani nimekielewa kipindi chako

  • @JoyceKomba-y3o
    @JoyceKomba-y3o Год назад

    Mwalimu ubarikiwe be ila naomba kuuliza izo nchi za kushepu zip nikila nguo au nikwanguo iyo tu.

  • @annaedwin3058
    @annaedwin3058 3 года назад

    Sante dada

  • @joshuamatinde7494
    @joshuamatinde7494 Месяц назад

    Yani na Manisha urefu kutoka kwenye bega kuja sehemu ya nyonyo ukaweka alama, nakuendelea sijaelewa hapo.niume kadilia tu... Au ume juaje kutoka kwenye nyonyo nakifua haditumbo Yani Sina elewa hpo...

  • @mariamstajo5860
    @mariamstajo5860 3 года назад

    ♥️

  • @julianajay6673
    @julianajay6673 3 года назад

    Nakuomba jamn niunge kwenye group lako tafadhali please🙏🙏😢

  • @irenezacharia2554
    @irenezacharia2554 3 года назад +1

    Hello dada uwa unanibariki sana na mafunzo yako naitaji kujua zaidi, naomba namba zako za WhatsApp plz.

  • @ModesterKitebi
    @ModesterKitebi Месяц назад

    Sijaelewa kwenye taiti 1:03

  • @maricianambori8746
    @maricianambori8746 2 года назад +1

    Nimependa Nazi yako

  • @kapunguti7464
    @kapunguti7464 3 года назад

    Naomba kanuni ya kupima shingo kwa usahihi kama hiyo ya kwapa

  • @gracemussa9922
    @gracemussa9922 3 года назад +1

    Naomba utuletee mtindo wa haishep samahani lakini

  • @youngdalucia
    @youngdalucia 3 года назад

    Naomba nipate mafuzo zaidi kupitiya kueye WhatsApp i obilangu.

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 года назад

      chat.whatsapp.com/FaLLsGeCLt3LC8z7VnSBWS ingia ap

  • @zulfarajabu9274
    @zulfarajabu9274 3 года назад

    Natumia zulfa rajabu

    • @milcastylish
      @milcastylish  3 года назад

      Oooh sawa momy ngoja nikuchek

    • @kelvinjacob3776
      @kelvinjacob3776 3 года назад

      Nafatilia mafunzo yako na nakuelewa sana, naomba uniunge namba yako ya whatsapp kwa msaada zaidi, no.yangu ni 0627592900

  • @moureenernest92
    @moureenernest92 3 года назад

    Naomba uniunge kwenye group lako