KING all of the time!!!! Endelea kuelisha umma wa waTanzania ukweli wala husihofu wanaoimba mapenzi watapita tu but ukweli kama huu hautapita kamwe kizazi na kizazi. Pamoja kaka SELE AFANDE
AFANDE sele : depuis la france. nous voulons une autre chanson comme celle ci, pour notre jeunesse et nos futures enfants. cette chanson m'a fait plaisir, lorsque je l'espoir que nous repenons notre puissance
Mugu mbaririki tazania y na dunia. binadamu y ifania nous biachara na gnama j'espère que la société Africaine de confession musulmane ne s'interdira pas une reflexion de l'esclavage de l'islam. J'apprécie que vous abordez ces sujets tabou dans cette communauté.
One of the realest perspectives about religion in Africa. This is a deep artist, he took his time to compose a song that will stand the test of time, #deep thinker shit. Every African should listen to this song. Pamoja sana, one love. Umoja ni nguvu
Walahi tusomeni tujuwe elimu yamungu kuhusu hukumuyake ndugu zangu waislamu dunia nimapito ahi alicho kio ngeya leo wanauu wana waislamu kawa islamu kwasababu wame beba sila ndugu zetu yarabi wape elimu lama mtume wetu
that really make sense , big up not listening to other stupid songs. why pepole shall continue singing about love every single day. I am proud of u . clearer message to those who are willing to listens.
Tunaofatilia hii ngoma hadi leo nakuiskiliza tupane liké nyingi shabiki wenzangu ❤
Nakubali
@@kingntakiyiruta4316AfandeSele anaongea yakweli sema watu wanamdharau tu
We go
Leo 01/04/2024 nasikializa ngoma moto❤
Ndonakuja kuiona hii nyimbo leo na imejaa ukweli wote
Siyo siri dini tumeletewa namuunga mkono Afande Sele, pamoja sana.
Kweli kabisa,dini tume letewa tu!😅
KING all of the time!!!! Endelea kuelisha umma wa waTanzania ukweli wala husihofu wanaoimba mapenzi watapita tu but ukweli kama huu hautapita kamwe kizazi na kizazi. Pamoja kaka SELE AFANDE
listening in 2023 and the message is still alive, big up.
Msanii namba moja tanzania..hongera bro kwa uwezo wako
Kabisa brother
AFANDE sele : depuis la france. nous voulons une autre chanson comme celle ci, pour notre jeunesse et nos futures enfants. cette chanson m'a fait plaisir, lorsque je l'espoir que nous repenons notre puissance
C'est vrai
huyu ndo king legend wa akil ki sanii ndan ya 2019
Mugu mbaririki tazania y na dunia.
binadamu y ifania nous biachara na gnama
j'espère que la société Africaine de confession musulmane ne s'interdira pas une reflexion de l'esclavage de l'islam. J'apprécie que vous abordez ces sujets tabou dans cette communauté.
Naupenda sana huu wimbo yani mpaka basi tu🔥🔥🔥
Nimekubali huu ni ujinga tuliretewa
Kweli wewe ndio King yaani hakuna atakayekuzidi, kitambo hatujakusikia umetoka na kitu kikali sana. Mungu akubaliki brother sana.
Afande,much respect kaka,na dogo Belle,vibaya vibaya umekaa humu,respect to you too.
Dàaaa!!!! kweli Afande big up to you.
we ni king 4reva ngome imeeleweka kitaan,,,bg up xana moro gnsts
unaona mbali sana kaka, nakukubali kupita kiasi
2024 dini zililetwa
Kweli sele umeuwa ngoma iyo kali nanusu
WALIOMPOTEZA MBWA KWA MIRUZI MINGI SAHII NDO SAIVI WANAKULA GOOD TIME.JMN AFRICA AMKENI TUNAZIKWA TUKIWA HAI😢😢
Afande sele hizi dini tumeletewa tu. Nzuri
Kweli we ni mfalme wenye akili watakuelewa tuu
kama uliwahi kuusikia huu wimbo huwezi shangaa alichokisema juu ya mungu.afande sele waru waru toka long time
Watching from Malindi, Kenya...Thump up @Sele . who else is here in Nov. 2024?
Kweliiiiii, ngoma kali,ina ukweli,umetulia na umetumia akili,
tena za maadili,yale yale tangu enzi za makilikili.AMAN SANA BABA asaante sanaa.
Hii ngoma ainichoshi nimeludi tena.kuicheki.2021.maana izi dini ni stress. tu
Hizi dini nizauongo hazihusiani namungu kabisa fanyeni uchunguzi
Kaka afande anajua sana...good msg to us..big up
Kweli unastahili kuwa king sema wengi awasikilizi nyimbo zako kwa makini big up brother
afande umeongea ukweli one god
Ngoma Safi hakuna matusi
Blood we endelea kutupa elimu najua mwanzo ni mgumu usife moyo tiki pamoja bloo
hii nyimbo ni nzuri sana hususani sis iWAFRIKA . Inaleta kumbukumbu . Inafaa itafsiriwe kwa lugha zote za KItaifa hapa Afrika
Simbaaaaa, mwenyewe
Nenda mwanadamu kaitawale hii Dunia,ila usimwage damu za WASIOKUWA na hatia
One of the realest perspectives about religion in Africa. This is a deep artist, he took his time to compose a song that will stand the test of time, #deep thinker shit. Every African should listen to this song. Pamoja sana, one love. Umoja ni nguvu
King of wa Tanzania hip hip namkubali
huo wimbo naukubali sana nipo marekani ila alichoimba huyu jamaa ni ukweli
wa atrika tuji funje uzalendo afrika inahitaji msaada wetu tusi malizane sisi kwa sisi sisi ni ndugu tuache utapeli wa dini si geni 😢😢😢😢😢
2022 still ngoma yanguu pendwq
👏👏👏👏👏👏 Ukweli mtupu!! hizi dini zilitutenganisha😓
Jiji kasoro bahari...city without ocean
Bonge la wimbo.....Ukweli mtupu!
JOHN MUGO bala afande sele nimnoma sana bonge lawimbo
Love 💞 it
from Congo 🇨🇩
xana2 big up afande
WAAFRICA WENZANGU! DINI ZILILETWA TU! WANGEKUJA WACHINA TUNGEKUWA BUDHHA, CONFUSIUS!
Daah aseeee ninoma sana mzee
Walahi tusomeni tujuwe elimu yamungu kuhusu hukumuyake ndugu zangu waislamu dunia nimapito ahi alicho kio ngeya leo wanauu wana waislamu kawa islamu kwasababu wame beba sila ndugu zetu yarabi wape elimu lama mtume wetu
Mbona hueleweki unaandika sms kama mlevi
Shoga huyo
ngoma kali sana big up simbaa
Afande Sele ni Genius!
Afande sele ni nomaaaaa napenda nyimbo zake zote maana zina mafunzo
Afande mungu amemleta kwa makusudi dunian na hakumpa akili za kawaida....huyu jamaa ana ona mbali sana
Sure
nakukubali sana
dah big up kila nikisikiliza naona radha haiishi daima 17/7/2018
2024 Bado ukweli wazidi kujitokeza
2024 nimekuja kuielewa leo Africa tuamke
Afande nataka unifunze rapu nisaidiya
hongela sana
Much respect from 254
2024 King of bongo forever
Huyu jamaa alikuwa mwamba sana
Meseji na Vina kila Mstari, hawa ndo wasanii
dahhhhhh!!!!
i appreciate
you big bro
2024 bado Ngoma ni kali
dini sio bangi tulia wewe kwanza una kesi yako kwa mungu ulimtukana alipokufa magufuli nakukumbusha tu tubia kabla kifo hakijakufika
Dini umeletewa acha kujiona uko sahihi
Simba King Selemani Msindi tisha sana
j'adore cette chanson par ce qu'elle ne fait pas de cadeau à l'histoire.
Yani bangi Kuna watu inawazulu lkn uyu afande akilikwega yani analeta hisia Kali ktk nyimbo zake mungu akujalie usiache bangi selemani msindi🤣🤣🤣🤣
Critical thinker ever in music I have been heard before
Nimeikubali hii ngoma
afende sele is the kinf of hip
Bongee LA nyimbo dini zimeletwa tu
noma Sana miaka yote milele
Duh huu wimbo ninoma
aiseee sele unaumiza kichwa ile kinouma ngoma ya ukweli xanaaa. yaap, vijana wa chempire tunakubali ufalme ni wako hakunaga.
Hii ni ukweli mtupu!.
Kwer din tumeletewa❤❤
werevu lazima wakukubali tu ispokuwa wapumbavu wa fikra
olio mlimbila
Nani anasikiya iyo nyimbo nzuri mu 2023,gonga like apa.
King of africa
Moro Gang On Fire
you are the main branch of two branches ( KING AND SIMBAAAAAAAAA)
Kwr din 2 meretewa brither
Uko vzr Afande
that really make sense , big up not listening to other stupid songs. why pepole shall continue singing about love every single day. I am proud of u . clearer message to those who are willing to listens.
Nimekubali Kaka Sele na Bell 9.
wametsha katka hi song
Aise kweli afande Sele nakukubali
This song is still living
afande Yani wewe no afande bila Noma
Legend only ❤ 07/10/2024 #tchax Mwami im here
best ever.
Mliosikia corona tafadhari tujuane
Safi Saana
upo juu baba tunda
nakubaliana nawe mungu ndo mwenye ulimwengu..
nyimbo za afande sele zinaelimisha sana
the real king of hip hop lyrism
Bonge la wimbo
Nakukubari Kwamzikiwako k
noma sana brooooooooooooo
King forever❤❤❤
kweli hiz akili za bangi