Naomba support yenu. Ata musiponipatia pesa lakini kusambaza ujumbe wangu kote ufikie watu husika ni support ingine muhimu zaidi. Hii ni part 1. Ziko zingine tisa nawaletea kuonyesha jinsi Anyona anafaa gukumbukwa kama mukombozi wa bara letu kiuchumi na kuwambia viongozi nguvu ya M-Pesa.
Courage mfura y'izama zamaho.
Izama zamaho zihangame kw'isi yumubiri no kw'isi y'impwemu.
Keep it up my brother. Ukomere ku miheto
Komera
Uyo kijana yiko na jakili mingi saa na yiko na maono
Naomba support yenu. Ata musiponipatia pesa lakini kusambaza ujumbe wangu kote ufikie watu husika ni support ingine muhimu zaidi.
Hii ni part 1. Ziko zingine tisa nawaletea kuonyesha jinsi Anyona anafaa gukumbukwa kama mukombozi wa bara letu kiuchumi na kuwambia viongozi nguvu ya M-Pesa.
Komeramutama
Urakoze cane
Murusangize ubu butumwa benshi bashoboka kugira ngo intego yiki kiganiro muguhabuza ubuhanga bwa Kemet ishike ku neza y'abirabure bose.