Kama una mpango wa kujiunga UDSM kuna haya ya kufahamu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • Baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania 'TCU' kutangaza mabadiliko na kuurejesha Udahili wa wanafunzi wa Elimu ya Juu kwenye Vyuo husika, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 'UDSM' leo wamezungumza kuhusu mfumo wanaoutumia kudahili wanafunzi.

Комментарии • 4

  • @rashidmwanga4886
    @rashidmwanga4886 7 лет назад +1

    je walionunua fomu kwa sh 30000 hi inakuaje

  • @azharjuma2093
    @azharjuma2093 4 года назад

    ATTENTION ATTENTION!!!
    GREAT NEWS*🔥🔥🔥🔥
    Tunatafuta vijana wa Chuo 70 tutakao fanya nao kazi katika project yetu ya FINANCIAL STEP UP FOR UNIVERSITY STUDENTS inayoanza hivi karibuni mwaka wa masomo 2019/2020 na watalipwa 130 (laki moja na elfu thelathini ) kwa week kwa mda wote watakao shiriki katika project hii.
    *VIGEZO*
    1. Uwe mwanafunzi wa chuo level yoyote ile eg. Certificate, diploma, degree. (First year, fresher)
    2.Uwe tayari kufundishika
    3.Uwe tayari kushirikiana na wengine
    4. Uwe na kitambulisho cha chuo maana tutakusajili kupitia kitambulisho chako
    5.Uwe unasoma Chuo chochote DARESSALAM.
    NB: Hii ni kwa first year tuu..
    Kwa mawasiliano WhatsApp 0753406586

  • @ramadhantambara8521
    @ramadhantambara8521 7 лет назад

    Huu ni uzembe kulalamikia mfumo wakati nyie ni Chuo Kikuu Kikongwe, Mnazidiwa hata na SAUT!