Hongera sana Mr na Mrs Paul Clement. Mungu aendelee kuibariki ndoa yenu ikadumu milele na iwe mfano bora wa watumishi vijana wengine na ambao hawamjua Yesu. Kujinyenyekeza na kujishusha mbele za Mungu na wanadamu kunafaida. Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu uliohodari naye atazidi kukukweza kwa wakati wake. So nice
Daaah DJ hajafuata maelekezo hata kama hao wajukuu ndo wamechagua hizo nyimbo angekataa maana hio sio sehemu yake..binadam furaha zikizidi hua tunajisahau sana..MUNGU atusaidie sana.
Congrats Mr and Mrs Paul,Mungu atangulie Ndoa yenu. Twakupenda sana kaka,sasa pamoja na your Madame #Personally DJ alinidissapoint,Nani hajui kaka Paul is a minister of Gods word and a great servant of God? The least you would have done ni kueka nyimbo za injili,mngecheza songs zake basi. Ukiskia disappointments ndio hizi sasa. Nway no hard feelings, moo love. From Mombasa Kenya
@@Ralianstyle154 , kuna issue ya kamati na mhusika mwenye harusi. Mc na DJ wanakuwa guided na kamati ilowaajiri so hawawezi kupiga nyimbo ambazo hazijulikani na kamati & maharusi....
Hongera my brother tupo pamoja umepata kitu chema all the best.
safi sana shemeji Paul cc wasukuma wakarimu usiwe na wasiwasi. krb sn
Hongera sana Mr na Mrs Paul Clement. Mungu aendelee kuibariki ndoa yenu ikadumu milele na iwe mfano bora wa watumishi vijana wengine na ambao hawamjua Yesu. Kujinyenyekeza na kujishusha mbele za Mungu na wanadamu kunafaida. Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu uliohodari naye atazidi kukukweza kwa wakati wake. So nice
Kwaya katoliki
PONGEZI KUU KWA KAKA POUL
Hii harusi imefanyika church kweli ama DJ umetumwa . ....
Mungu awabariki sana
Wapiii mc wadunia my kalumbu mcchipolopolo🔥🔥
Aaaa'kweli kabsa umehatibu nyimbo zote hizo za dn zilivyojaa,mkampeleka mtumishi kwa fanya kama unataga😀😂😂😂mmetishàaa!
Hongereni sana Paul na Anna ila dj umezingua
Dj ana pepo aliona atuharibie.
for sure nyimbo hzo zimenipa kichefuche.
Naimagine hio TUMBOGERE hapo mwishoni kwa sauti ya Paul....😄😄😄
Mungu awalinde kwenye safari yenu
Bibi Harus nimempenda hajaweka manywele ya bandia kichwani.
Bi harusi nimemwelewa very simple style amedamshi hatari natural is the beautful
Daaah DJ hajafuata maelekezo hata kama hao wajukuu ndo wamechagua hizo nyimbo angekataa maana hio sio sehemu yake..binadam furaha zikizidi hua tunajisahau sana..MUNGU atusaidie sana.
Hongera my bro
Huyo DJ ajafanya Fair kabisa sijajua hakupewa maelekezo au
Ila Kwa kuwa mlianza na Bwana Mungu awape amani na upendo mkafanikiwe sana
Jaman hii mizik vipiiiiiii????
Hongera sana Mr and Paul Mungu awabariki
Congrats Mr and Mrs Paul,Mungu atangulie Ndoa yenu.
Twakupenda sana kaka,sasa pamoja na your Madame
#Personally DJ alinidissapoint,Nani hajui kaka Paul is a minister of Gods word and a great servant of God?
The least you would have done ni kueka nyimbo za injili,mngecheza songs zake basi.
Ukiskia
disappointments ndio hizi sasa.
Nway no hard feelings, moo love.
From Mombasa Kenya
sw ila dj mizk gani hio anacheza
hongeren sana Mungu awapiganie na kuwaimarisha siku zote😇😍
Ongela, namuona babaangu mzazi mchungaji Aligawesa
Seriously!! Yaan hatuna nyimbo za kumpa Mungu utukufu mpaka tunapiga nyimbo zisizoeleweka?? So sasa kabisaaa.....
yaani ni maajabu
ni tatizo la dj
@@Ralianstyle154 , kuna issue ya kamati na mhusika mwenye harusi. Mc na DJ wanakuwa guided na kamati ilowaajiri so hawawezi kupiga nyimbo ambazo hazijulikani na kamati & maharusi....
imenisikitisha kiukweli
nyimbo za gospel zipo nyingi mno
Tulia wwww
Ila wahusika wa sherehe ndo walitakiwa wamdhibiti dj
kumbe nyakyusa peoples hongereni
Kama hamjawah kwenda kune harusi jmn???? Kikundi kikitaka kutoa zawadi si wanachagua wenyewe nyimbo stop blaming
Izo bongo fleva za nini sasa??
Nimeona lipstick plus nyama
Dj nyimbo za kidunia kwa mtumishi wa Mungu za nn? Umeboa
Inaelkea hao wwajukuu ndo wamechagua
Wanaonekana charukoz
Mmmmmmh mahaba nusu
nyimbo za gospal ziliisha jaman mtumishi umetia aibu sana
Mmmmmmmh jibebe tens kanisaniii?????, nomaree
Bibi harusi yuko faster mpaka raha
Hapo knsn ukumbuni???
Huyu wimbaji ila hizo bongo Flava za nn
DJ kahalibu
vibaya mnoooo...sijui walimtoa wapi
Wozaaaaaa nice
Shoga angu upo...DJ kazingua japo kafata maelekezo ya watoa zawadi
@@judyhimiri2999 hihiiii
is Paul a Tanzanian?? or Kenyan??
He is tanzanian
thought he is a kenyan
@@marrivinnthashlintoe7870 na he is not but he has sang with guardian angel who is Kenyan. So that is probably why you probably thought he is Kenyan
Nyakyusa people from mbeya Tz