PENZI HASARA EPISODE 20 ❤️ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 101

  • @RomanKahindi
    @RomanKahindi Месяц назад +7

    Lina na sefu wananogeshaa hii tamthiliaaa😂

  • @JescaLoi-h4s
    @JescaLoi-h4s Месяц назад +1

    Wanaomkubali na tina gonga like hapa🎉🎉🎉🎉

  • @REBECCAMBULI
    @REBECCAMBULI 15 дней назад

    Weeh kweli uku ni hasara tu

  • @FanjaFanja-n1g
    @FanjaFanja-n1g Месяц назад +4

    Wamwisho mm nipen like yang Moja kutoka oman 🇧🇬😢

  • @Fah-pz8of
    @Fah-pz8of Месяц назад +1

    Shukulani kwenu nawapenda sana penzi hasara episode 21 hasante sana nawaomba msichelewe kuitoa

  • @DorisFatima-d3n
    @DorisFatima-d3n Месяц назад

    Seif na lina ndio wananigesha move sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @milkahmachana
    @milkahmachana Месяц назад

    Hii ofisi nayo na mapenzi 😂😂😂😂😂 kizunguzungu tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana

  • @Hilderkarema
    @Hilderkarema Месяц назад +9

    Wa kwanza team strong gather here❤❤

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu Месяц назад

    Leo nimecheka mpka koo yangu imekauja jameni sef n Lina😂😂👏

  • @JescaLoi-h4s
    @JescaLoi-h4s Месяц назад

    Wanawake wa ally sio kushea wanaume jmn😂ally hao hawakufai owa tina ndo mukalim jmn tina mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 Месяц назад

    Team penzi hasara piga kelele🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ahmed5Mambo
    @Ahmed5Mambo Месяц назад +4

    Huyu milly mpya , Tina na Fetty mnajua sana kuigiza mko vizuri sana napenda mnavyojiamini , Na hapa kwenye sehemu ya milly tunaona hivi kwasababu kila mtu na vionjo vyake huyo dada ni mzuri zaid aki act kama mtu mwenye msimamo na u serious fulani hiv🖐

  • @SlyviaJohn
    @SlyviaJohn Месяц назад

    Jmn mwendelezo vp

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya Месяц назад +5

    Jamani Ali amuoe Tina na sio hao wake zake maana Tina ana heshima❤️❤️❤️

    • @Ahmed5Mambo
      @Ahmed5Mambo Месяц назад +1

      Naona huko ndo kunakoelekea 😅 maana fetty kazingua tena kumpe da huyo dogo na Zena kwa sasa moyo wake hauko kwa Ally kwhy watajikuta ugomvi wao unahama kwa hali unahamia kwa Zein

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas Месяц назад +1

      Kweli kabisa maana Tina yuko n msimamo

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад

      Sana Zena wanuna nn ww unalala na Mwanamme wake Ucku na mchana na yy hajui huogopi

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад

      ​​@@Ahmed5Mambo😂😂😂😂 Wivu wa nn Zena Na zein wawatu Muache Msimvuruge na nyege zenu Mmeacha Mume Wenu Mnahangaika na wanaume wa wenzenu Hamuogopi

    • @JaneBinyanya
      @JaneBinyanya Месяц назад

      @jamilashabani8580 hata Hana aibu ety anataka talaka

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he Месяц назад

    Kazi tamu

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j Месяц назад

    Filamu Ina mautamu hii ❤🎉

  • @TightnotChome-fn2jy
    @TightnotChome-fn2jy Месяц назад

    Huyu Ali kweli ni mcheza filamu kweli hako makini kabisa 😂😂😂angekua mwanajeshi angefika ofisini aangalie chooni aangalie kila hali kwa ofisi yake ndio akae aanze kazi 😂😂😂yeye sasa anaigia tu nakukaa mara pap ekta anatoka chooni anamaliza movi 😂sisi je tutaangalia nini 😂 🔥 ❤❤❤❤

  • @HasnaN-x7y
    @HasnaN-x7y Месяц назад

    😂😂jamn kweli hii penzi hasara

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali Месяц назад +1

    Sefu na lina vituko shooo

  • @tabithanzisa9755
    @tabithanzisa9755 Месяц назад

    Mbn umembadilisha emilly uyu amepoa sana

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x Месяц назад

    Milly wa kelvin yupo vizur tuuh

  • @TechStock77
    @TechStock77 Месяц назад +1

    Sasa tina anaulizwa na seif kwa amemkosea sana fauna but still anajibu sivyo😡😡😡😡

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 12 дней назад

    Milango itieni mafuta inakelele jamani 😂

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x Месяц назад

    Milly wa kelvin yupo vizur

  • @MR.DIESEL-i7z
    @MR.DIESEL-i7z Месяц назад

    Huyo miry mmetudanganya😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 Месяц назад

    Ka jingaaaaaaa 😂 ila seifu

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y Месяц назад

    Sefu kichapo jamani nakuhurumia ww😂😂😂😂😂❤❤❤❤kazi nzuri sana guys

  • @NeemaRobina-bk7tm
    @NeemaRobina-bk7tm Месяц назад +1

    Jamani na mm leo wa kwanza

  • @Timehamad-o1j
    @Timehamad-o1j Месяц назад

    Zena ukovizur sanaa🎉🎉

  • @olicej7837
    @olicej7837 Месяц назад

    Kwahyo mnaiga jua Kali kutubadilishia wasanii ndo nini iki milli mpya kapowa kama uji😂😂😂😂😂😂😂

  • @TechStock77
    @TechStock77 Месяц назад +1

    Mmi naona baada tina kupewa kazi ya reception inamletea jeuri sana🤔🤔

  • @ShamilaShamy-f2p
    @ShamilaShamy-f2p Месяц назад +1

    Uyo mirr mpya ata awezi

  • @RasskinongoKinongo-ig1wd
    @RasskinongoKinongo-ig1wd Месяц назад

    huyo so miry tulie mzoea bun achen kudanganya iyo kalata ya miry haiwezi mpole sana

  • @winniegesare2905
    @winniegesare2905 Месяц назад

    Wenye tunakubaliana Tina waoane na boss Ali gonna like😂😂

  • @ShamilaShamy-f2p
    @ShamilaShamy-f2p Месяц назад

    Kazi nzur ila mnachelewesha sna

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 Месяц назад

    Haya ni maajabu xx nyinyi mko na nn haba munanijanganya mjue watatu watatu hizi ni gani team kumbwa team strong jamani like tukingoja mavuno ya haya tunayo jionea haba xx 😮😮😮mm niko mdomo wasi mwezenu

  • @Naima-v6v
    @Naima-v6v Месяц назад

    Waah leo nmewahi ❤❤🎉🎉

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤0yooooooo mambo nimoto

  • @SyproseOkumu
    @SyproseOkumu Месяц назад

    Kwani Milly wa zamani kaenda wap maana twaona Milly tofauti 🤔

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt Месяц назад

    Good job ❤❤❤

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 Месяц назад

    Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t Месяц назад

    Jmn dayana amefika huku🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls Месяц назад

    Nilijua wa kwanza

  • @DianaDiana-ej6fn
    @DianaDiana-ej6fn Месяц назад

    Mshaanza kuharibu movie jamani ,,,,mbona mlete mtu ambaye siyo Mili 😢😢

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 Месяц назад

    Kwel mapenz n game 😂😂💔💔mambo pinchi pinchi

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas Месяц назад

    Good Tina Kwa majibu yako

  • @KhadijaKingamko
    @KhadijaKingamko Месяц назад

    Jamaniii mbn kwenye cm yangu nikiaangalia hii muvi inagomagoma nin shid

  • @FatherofBrightRoshan
    @FatherofBrightRoshan Месяц назад

    wakwanza🎉🎉🎉

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t Месяц назад

    Jmn penzi hasara kwel 😂😂😂

  • @AminaKidare
    @AminaKidare Месяц назад

    😂😂😂kiroba cha mkaa+ maji ya jioni haya sas kaz ipo

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano Месяц назад

    Much love 💕💕

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana Месяц назад

    Asant san boss muow tina njo sahih kwako

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g Месяц назад +1

    Wewr dafa unawanawake wangapi

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k Месяц назад

    Kumbe nmi huwai aya bsi wenzangu wq penzi hasara karibuni

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Месяц назад

    Yani umundzni nivurugu za mapenzi tu ndozimejaumu 😂😂niatari

  • @RelisBoniphace
    @RelisBoniphace Месяц назад

    Mili gan huyo sasa na nyie

  • @RebeccaLongo-oi3po
    @RebeccaLongo-oi3po Месяц назад

    Zein badilishag hzo nguo

  • @IgnasiaNathanel
    @IgnasiaNathanel Месяц назад

    Mily kubadilishwa wangap wameona

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 Месяц назад +1

    Na huyu mkaka mwenye pensi ya pink na tishert jeusi jamani abadili nguo😅

    • @Mimah866
      @Mimah866 Месяц назад

      😂😂😂𝕟𝕒𝕤𝕙𝕒𝕟𝕘𝕒𝕒 𝕒𝕥𝕒 𝕞𝕞.𝕨𝕒𝕟𝕒𝕙𝕒𝕣𝕚𝕓𝕦 𝕞𝕠𝕧𝕚𝕖 𝕙𝕒𝕨𝕒

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 Месяц назад

      @@Mimah866 🤣🤣🤣nguo zina wiki sijui mwezi khaaa

    • @HidayaNzunda-f3f
      @HidayaNzunda-f3f Месяц назад +1

      😅😅😅😅😅😅😅😅 jaman

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 Месяц назад

      @@HidayaNzunda-f3f 🤣🤣🤣

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r Месяц назад

    Lina bana eti marioo msingi kiuno😂😂

  • @UriaRobert
    @UriaRobert Месяц назад

    Nimekuwa wasita leo

  • @PeninahKiema
    @PeninahKiema Месяц назад

    Bona wamebadilisha mirry

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx Месяц назад

    Kazi safi🎉🎉🎉❤

  • @janethnyigo5925
    @janethnyigo5925 Месяц назад

    Na we tina badilisha nywele khaaaa

    • @KulwaAndrew
      @KulwaAndrew Месяц назад +1

      Na hicho kigaun ka mpka anakelaa

  • @CelestineJoseph-n7e
    @CelestineJoseph-n7e Месяц назад

    Lina unatisha

  • @ZiadaNiyinkuru
    @ZiadaNiyinkuru Месяц назад

    ❤❤❤❤🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @CRESENSIAKANDIDUS
    @CRESENSIAKANDIDUS Месяц назад

    Waooooh

  • @SaidaKimea
    @SaidaKimea Месяц назад

    Tina badilisha nywele izo

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 Месяц назад

    𝐁𝐞𝐬𝐭 𝐲𝐤𝐞 𝐧𝐲𝐞😂😂😂𝐳𝐞𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐚𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚😅😅😅 𝐚𝐧𝐣𝐢𝐟𝐧𝐲𝐚 𝐧𝐚 𝐧𝐠𝐞𝐥𝐢😅😅😅𝐭𝐢𝐧𝐚 𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐦𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐚😅😅

  • @Cutte-l3f
    @Cutte-l3f Месяц назад

    Tina anamajibu nyie mh

  • @MaryamIsmaeel-v3i
    @MaryamIsmaeel-v3i Месяц назад

    Mpenzi mpya wa feti,kanifurahisha anamsimamo demu wake kaenda kumuomba msamaha kamtimua,nawapenda sana woteeee❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Magi-vz4vz
    @Magi-vz4vz Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @AishaAishayahaya-e3w
    @AishaAishayahaya-e3w Месяц назад

    Jamn mbna wamembadilish mili?

  • @FatherofBrightRoshan
    @FatherofBrightRoshan Месяц назад

    wa ine munipe lik ata tatu bas

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g Месяц назад

    Tina badilisha nguo

  • @AishaAli-i7j
    @AishaAli-i7j Месяц назад

    Mnunue lie

  • @AshaMahede-e1x
    @AshaMahede-e1x Месяц назад

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka Месяц назад

    Mbn Mily kabadilishwa huu uchoko kwel

  • @NeemaHamos
    @NeemaHamos Месяц назад

    Kwani Mili Yuko wapi

  • @SaidaKimea
    @SaidaKimea Месяц назад

    Tina badilisha nywele

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k Месяц назад

    Alafu tina badilishq

  • @PasAnto-r8x
    @PasAnto-r8x Месяц назад

    𝐵𝑒𝑛𝑦 𝑘𝑎𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑐ℎ𝑖𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑎𝑙𝑖𝑘𝑢𝑤𝑎 ℎ𝑎𝑧𝑖𝑛𝑔𝑎𝑡𝑖𝑖 𝑘𝑎𝑧𝑖 𝑝𝑖𝑎 𝑏𝑒𝑛𝑦 𝑎𝑡𝑎𝑎𝑐ℎ𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑛𝑎 𝑡𝑖𝑛𝑎ℎ 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑗𝑖𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑦𝑢𝑝𝑜 𝑏𝑖𝑧𝑒 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑎 𝑧𝑒𝑛𝑎☹️☹️

  • @ShamilaShamy-f2p
    @ShamilaShamy-f2p Месяц назад

    Uyo mirr mpya ata awezi

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v Месяц назад

    ❤❤