STUDIO: Diamond alivyorekodi 'colours of Africa' na Mafikizolo South Africa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 май 2016
  • Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz sasa hivi anapita sana kwenye TV na kwenye Radio kupitia single mpya aliyoshirikishwa na kundi maarufu la muziki kutokea South Afrika... Mafikizolo, Reporter wako Millard Ayo alikuwepo studio kwa Oskido Johannesburg South Africa siku hii kolabo inarekodiwa

Комментарии • 122