RECAP: DIAMOND ampeleke MARIOO, ZUCHU kimataifa, JUX amshukuru DIAMOND 2024, SHOW TRACE na DUBAI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

Комментарии • 36

  • @EmmanuelduseigneurEmmanuelduse
    @EmmanuelduseigneurEmmanuelduse 17 дней назад +3

    Bien sûr que Félicitations Diamond Platnumz Boss des boss 🇨🇩🤏🇨🇩

  • @kenrifambi
    @kenrifambi 18 дней назад +7

    Zuchu ameperform Mayotte, Comoros na Kenya mara mbili hiyo si kimataifa kweli

    • @kenrifambi
      @kenrifambi 18 дней назад

      Zuchu pia aliperform Blu club Dubai

    • @MaulidmtajiMaulid
      @MaulidmtajiMaulid 17 дней назад

      Rwanda show na Kendrick Lamar ,pamoja trace award Nigeria show kubwa kama 3

  • @kitengediedonnee5190
    @kitengediedonnee5190 18 дней назад +3

    Rayvanny na Harmonize walimuvunja sana moyo Diamond .... Wala simlaumu..

  • @DernolLeonard
    @DernolLeonard 18 дней назад +5

    Tutakuwa wazuri kimuziki kama tutaendelea kukosoa na kusahihisha makosa yaliyopo

  • @Kaske-bleumartin
    @Kaske-bleumartin 18 дней назад +2

    Iyo ni kweli kaka mkubwa from merekani

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 17 дней назад +1

    Akiwapandisha baadae wanamkimbia halafu hawana shukrani Bora awaache tu wapambane wenyewe

  • @Minister_Kassaa
    @Minister_Kassaa 17 дней назад +1

    Wasanii wanao weza kupaform Uganda ni diamond harmonize reyvanny Saida karoli, na Alikiba wengine bado sana kusema ukweli mi ninayeongea ni mganda anayekaa Kampala mjini kwa sasa🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @AbdoulAziz-p7r
    @AbdoulAziz-p7r 18 дней назад +4

    Huyu kila kitu anajuwa ila hasongei mbele 😂😂😂

    • @ramamabinda5063
      @ramamabinda5063 17 дней назад

      Acha roho mbaya, na chuki za kijinga.
      Kwani akijua kila kitu, wewe unateseka? Na wewe jifunze kila kitu.

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 18 дней назад +1

    Safi broo ,unaongea fact

  • @RukiaMwadiga-si3fo
    @RukiaMwadiga-si3fo 17 дней назад +2

    Iko wazi hiyo uki umwa na nyoka hataa majani yaki kudara washtuka

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 16 дней назад

    Afadhali MBOSSO, marioo tutajuta , yule dogo ni noko sana 🚶🏾🚶🏾🚶🏾

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 17 дней назад +2

    Kwa nini diamond ampeleke Marioo kimataifa na sio Zuchu? Zuchu alisema ana mpango wakumaliza Africa mwanzo! Watu wako na mipango bwana

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 17 дней назад +2

    Yaani show mbili basi ndio unamwambia ameanza? Yaani Zuchu amepiga show nyingi kuliko hamo!

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 17 дней назад +3

    Yaani wewe Elmando vitu huelewi ni mataifa inahitaji md a sio rahisi vile unafikiria bro!!!!

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 17 дней назад +1

    Diamond anamshika mkono chino siku hizi 😅😅😅😅

    • @LidyaJoctan
      @LidyaJoctan 17 дней назад

      Diamond hawez kufanya huo ujnga tena kashalipwa ubaya na kina konde hawez hata kwa uyo chino tu manake anaona kilichopo kat ya chino na marioo yy atawa support tu lakn sio kuwapeleka kmataifa

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 17 дней назад

    Kwa kifupi diamond ameamua kuziba masikio yake kwa kuambiwa ameishiwa mashairi, anazidiwa na Marioo, harmonize nk. Ila diamond aliona ulitegemea kusifiwa kwa tungo za kibongo hutoboi kimataifa, na ndiyo maana akaamua kuanza kuimba nyimbo za kuchezeka clubs, matamasha ili hata wasio elewa kiswahili basi wacheze nyimbo zake.. Angalia wanao sifiwa kutoa nyimbo za mashairi Mazur wako wap

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 16 дней назад

    Shida Ya zuchu nyimbo za umbea zimekuwa nyingi tatizo kutokujiamn kapata nafasi ye cha msingi afanye makolabo ha nje na ajitaidi ngoma zake ziwe internationally kama mondi anavyo Unga Unga kiroho mbaya had kaenda sauti Ya aryastar sio kuwa ni nzuri hapana aliamn anaweza akafika mbali.

  • @m___ck799
    @m___ck799 17 дней назад

    Nilichogundua this guy likes Harmonize alot. Kwahiyo tusimchukie 😅

  • @SavamoDayog
    @SavamoDayog 17 дней назад +1

    Diamond kuwa level za akina Burny boy in Africa bado, nimefatilia data nmeonaa , maana kwenye big three hayko. Rema, Asake seyvibe omalay hii nayo ni level nyengine mond nimeona nmwekee level ya akina Mr flavuor ,Rude boy na patoranking akina Tyla ,Terms ,Ayrtar hawa n big three upanda wa wanawake.

    • @arnaldo7319
      @arnaldo7319 17 дней назад

      Kaangalie list ya iliotoka ya African fact zone, jibu utalipata

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 16 дней назад

    Jux ni kama kasharidhika siku hizi Yuko kimya

  • @arnaldo7319
    @arnaldo7319 17 дней назад

    African fact zone imetoa list ndo tumejua wasani wakubwa Tanzânia

  • @SalmaLigeni
    @SalmaLigeni 17 дней назад

    Auna ishu saivi tumeshakuzarau bro unajifanya mchambuzi kumbe ujui kitu

  • @MusaJona
    @MusaJona 17 дней назад

    Watoto wana dharau sana mondi baki na msimamo wako mwanetu

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 17 дней назад

    Diamond na chino

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 17 дней назад +1

    Wewe unaongea Upuuzi Tu CHA bhan ukiambiwa imba wewe CHAWA WEWE

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni 18 дней назад +2

    Chawa wa WCB mnafiki ww unachochote fala2 ww

    • @JuliusWilly-ii7yl
      @JuliusWilly-ii7yl 18 дней назад +2

      Acha roho mbya mbwa wewe

    • @JuliusWilly-ii7yl
      @JuliusWilly-ii7yl 18 дней назад +2

      Tafuta ela acha makasiliko kenge wewe

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 18 дней назад +1

      Anaongea vitu vinakuuma kweli..😂😂😂 utazoea tuu don't worry dear...komaa nayo!!!

    • @svt3
      @svt3 18 дней назад

      @HamisiMwazikeni: ukweli huwa unaumiza saana kuliko hata uwongo na unavyo onesha kuumia saana basi ukweli umesemwa