NJIA 6 ZA KURUDISHA HESHIMA KWA WANAOKUDHARAU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 56

  • @hillaryaugustine7141
    @hillaryaugustine7141 5 лет назад +6

    Hakika nimepata kitu, thanks allot broo,god bless you,unakuta mtu mnafanya naye kaz lkn ukijishughulisha na Mambo mengne inayokuingizia pesa ukifanya kosa kidgo Ni kukoromeana kisa wivu tuu.

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  5 лет назад

      Shukrani sana ndugu kwa kusikia hili kutoka kwako....uzidi kubarikiwa sana na usiache Kualika na wengine pia katika channel hii🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @julianahermes1061
      @julianahermes1061 4 года назад

      Tumekuelewa sana endelea utuhabarisha

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 4 месяца назад +1

    Good work keep doing!

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Год назад +1

    Ahsante nimejifunza kitu kaka kutoka kwako. Mngu akubariki❤☑️🙏📌

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  11 месяцев назад +1

      Amina ubarikiwe sana pia…Usiache kujifunza

  • @ElArjunPrince
    @ElArjunPrince 3 месяца назад +1

    Asante Sana,mimi piya nataka kuwa mwandishi,Nina vitabu nileviandika Ila sijuwe ginsi yakkufanya ili nianze uza vile vitabu

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  Месяц назад

      Tuwasiliane INBOX wa.me/255678010334

  • @khammykisenga1364
    @khammykisenga1364 5 лет назад +5

    Safi sana, hii kitu ilinitesa sana nilipokuja kugundua nikapuuza na mm nikaona kawaida tu.

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  5 лет назад

      Naimani sasa utakuwa umejifunza kitu cha kufanya

  • @shimenikavira6431
    @shimenikavira6431 4 года назад +3

    Unasema mzuri kaka Mungu akuzidishie maarifa🙏🙏

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 8 месяцев назад +1

    Safi sana

  • @herimailo5350
    @herimailo5350 2 года назад +3

    Brother. Asante maana saiv ndio kipindi ninachopitia.

  • @nickynickson1200
    @nickynickson1200 2 года назад +3

    Hakika mimi nlikua nayafanya haya yoteee kabla ya kukutana na hili somo na ukwl n kuwa yanafanya kazi sana haya mambo yoteeee nmefurah sana kiukwli

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 лет назад +1

    kweli kabisaa Coach, be blessed.

  • @mwangubilionea8503
    @mwangubilionea8503 2 года назад +1

    Asante

  • @nickynickson1200
    @nickynickson1200 2 года назад +1

    Nmeamua ku subscribe kabisa nisipitwe tena na somo

  • @ShonyangaAbdoulrashid
    @ShonyangaAbdoulrashid 10 месяцев назад +1

    Nimekupata kaka

  • @muddyadinani3145
    @muddyadinani3145 2 года назад +1

    Wewe safi sana

  • @ayubumushi7030
    @ayubumushi7030 4 года назад +1

    Sana kk

  • @ngogemuhammed4081
    @ngogemuhammed4081 4 года назад +2

    Nimeikubali sana hii

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  4 года назад

      Shukrani sana ndugu ubarikiwe sana

  • @abdulrahmanhassan3334
    @abdulrahmanhassan3334 4 года назад +1

    Good

  • @piusgiringa409
    @piusgiringa409 5 лет назад +2

    kwel kabisa brother

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  5 лет назад

      Karibu sana ndugu....Endelea kushare na wengine zaidi

  • @DianaAgustino-kd4yh
    @DianaAgustino-kd4yh Год назад +1

    Asant

    • @DianaAgustino-kd4yh
      @DianaAgustino-kd4yh Год назад +1

      Kaka samahani Mimi ndo nataka kuposit biashara lakini sijajua jinsi ya kufanya tafadhari unaweza kunisaidia

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  Год назад

      Tunaweza wasiliana kupitia link hii wa.me/255678010334

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 2 года назад +3

    Yani unafundisha Vizuri Kaka angu yani Toka nianze KUFATILIA VIDEO ZAKO SIJAWAHI JUTIA MB Zangu hata Muda pia hata kwenye Midia Zingine kama Redio Upo Vizuri Mungu Asimame nawe

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  2 года назад +1

      Shukrani sana kiongozi kwa appreciation zako...Mungu akubariki sana pia...!

  • @msafilimashuhulitozi933
    @msafilimashuhulitozi933 5 лет назад +2

    100 100 sana

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  5 лет назад

      Karibu sana ndugu na karibu tena 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @tabithaerastoshukrani.90
    @tabithaerastoshukrani.90 5 лет назад +2

    Asante🙏

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm 5 лет назад +2

    Kweli kabisa 🙏🏻🙏🏻

  • @darenymsham2467
    @darenymsham2467 4 года назад +2

    Ila somo nimelipata vema

  • @focusnyigu3818
    @focusnyigu3818 2 года назад

    Truu

  • @mcbabayo4424
    @mcbabayo4424 4 года назад +2

    Hili somo ni la kiwango cha hali ya juu

    • @LazaroSamwel
      @LazaroSamwel  4 года назад +1

      Shukrani sana ndugu...Ubarikiwe sana

  • @darenymsham2467
    @darenymsham2467 4 года назад +1

    Jammaani sauti kama sio ya Joel uwiiii

  • @emmanuelmeela3065
    @emmanuelmeela3065 4 года назад +1

    You

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 лет назад +3

    kweli kabisaa Coach, be blessed.