SHEIKH NURDIN KISHKI : AMPIGA MARUFUKU MWIJAKU MATUMIZI HAYA | AFUNGUKA KUHUSU ABAYA | EID NI MOJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 39

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 9 месяцев назад

    Kwanza kabisa ,Mimi nakuwa pamoja na wasanii Kwanza HONGERENI SANA,Kwa kuheshimu mwezi mtukufu wa RAMADHANI naamini mungu atawalipa Kwa Hilo Kwa sababu tofautisha waliosoma na wasiosoma hawa hawajasoma dini ,lakini pia msanii anaweza kusoma Quran akawa na ushawishi mkubwa sana tofauti na shekh ambae sio maarufu yeye akawafanya watu wakaipenda Quran bila kutumia nguvu ,kwahiyo msiwakatishe tamaa watumieni hawa wasanii KUFIKISHA dini mbali msiwe ni watu wa kupaniki paniki ovyo nawapenda sana wasanii wote ambao mnapenda dini yenu bila kujificha ❤❤❤❤❤❤❤

    • @DeBoy-oy2jg
      @DeBoy-oy2jg 9 месяцев назад

      @Bigboss,,Hakuna point ya maana yenye umeongea,
      Kusoma Qur'an sio kama kuimba Gospel au nyimbo ya Zuchu ukaijuwà kwa siku moja

  • @abusahil5527
    @abusahil5527 9 месяцев назад +2

    MashaAllah❤️ Allah amlipe kwa elimu

  • @husseinhamis1428
    @husseinhamis1428 9 месяцев назад +2

    Masha Allah ametoa darasa

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 9 месяцев назад +4

    Huyo mjinga kazingua na Kiki halafu sijui kama atafika mbali ,mwijaku...Imani za kweli hazichezewi..

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 9 месяцев назад

    Uislam ni ujinga ngoja baada siku 90 hijaomba msamaha utapata jibu kwa ALLAH

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 9 месяцев назад

    Mwezi wa Ramazan ni muujiza wa mungu kwa watu wenye akili. Kama una macho ya moyoni uta ona muujiza wa mwezi huu

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 9 месяцев назад +1

    vazi la kiislam utalifanyia ujinga wa uchawa allah atamfundishaa upo beach unagalagala eti mwana f.a sijui ww kiboko unabusara kwnye dini ata hao gsm kukupeleka umra heri wangesaidia yatima izo hela

  • @IssaMbaru-qw6ug
    @IssaMbaru-qw6ug 9 месяцев назад +1

    Nikweli kabis

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 9 месяцев назад

    Usilmaunu Mwijaku, laumu katokea katika taasisi ipi ya bidaa au usio ya bidaa

  • @jumannemaoka2964
    @jumannemaoka2964 9 месяцев назад +4

    Sasa uo mnziki wa nini wakati mnaongea manbo ya dini ?

  • @hamzahussein4493
    @hamzahussein4493 9 месяцев назад +1

    mungu muweza wa yote, kwa nini asimfunge minyororo shetani milele? yaani kamfunga mwezi 1 tu?

    • @tahiyasaeed
      @tahiyasaeed 9 месяцев назад +1

      Kasome dini. Iblis (shetani) alipofukuzwa peponi alimuomba Mungu abaki mpaka mwisho wa dunia. Nafkiri ndo akutane na watu km nyinyi msioamini Mungu awashawishi mpate kuingia nae motoni. Allah akuongoze ktk njia za kheir in shaa Allah, aameen

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 9 месяцев назад

      Mbona hushangai kwamba Kwa Nini MUNGU asingepoteza Shetani duniani kuliko kumuacha apoteze watu.....unashangaa Kwa Nini anafungwa mnyororo mwezi wa ramadhani..?
      Kwa mwenye akili na aliyesoma anatambua kwamba mwezi wa Ramadhani ni mwezi mtukufu ambao unawataka watu wawe wacha MUNGU wa kweli.....!...ndugu kasome

  • @shahamzanda5857
    @shahamzanda5857 9 месяцев назад +1

    sasa unamuuliza sheikh mambo ya Uislam huku unasogeza pad ya sauti ya muziki.

  • @suhaylaabdullah4261
    @suhaylaabdullah4261 9 месяцев назад

    Ukimuona mtu anatukana dini za watu ni shettani na mjinga kabisa jiheshimu na uheshimu dini za watu dini zoote zinafundisha kuheshimiana

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 9 месяцев назад

    KILA MTU AISHI MAISHA YAKE NA NDIO MANA WATU WANATUFAUTIANA KIFEDHA WANGINE MATAJIRI KABISA WENGINE MASKINI KABISA ILA KWENYE DINI WANAJIFANYA WANAFANANA

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 9 месяцев назад +2

    Ndo ubaya wa dini. Viongozi wa dini wanata kila mmoja afiate mambo ya warabu na waisrael. Kanzu ni tamaduni za warabu. Hata kabla ya Muhammad walikua wanavaa kanzu

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 9 месяцев назад +4

      Wekiazi kibovu nyamaza mpagani wewe

    • @hafidhimayunga5615
      @hafidhimayunga5615 9 месяцев назад +1

      We nyamaza hakuna kitu unajua

    • @islamnjama9
      @islamnjama9 9 месяцев назад +1

      Akili yako haiko sw kijan

    • @tahiyasaeed
      @tahiyasaeed 9 месяцев назад +2

      Sasa ww ndo umeongea utumbo gani? Tuwacheni… “Lakum deenukum walyadeen” nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu

    • @neponova8988
      @neponova8988 9 месяцев назад

      Kaka Dini ni adui wa UTU na UBINADAMU

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 9 месяцев назад +1

    Uislamu ni ujinga tu

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 9 месяцев назад +1

      Pole yako sisi tunafata uislam katika kur'ani Mwenyezi Mungu anatuambia ndio dini ya haki sasa ww icho kitabu unacho fata tuambie wapi pameandikwa ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu?

    • @SheikhYussuf-iv6lo
      @SheikhYussuf-iv6lo 9 месяцев назад +2

      Mungu akuongoe ktk njia ya sawa

    • @BH-vs8iq
      @BH-vs8iq 9 месяцев назад +2

      mjinga wakwaza ni unae kwenda kwa choo bila kunawa

    • @shahamzanda5857
      @shahamzanda5857 9 месяцев назад +1

      INNALILAH WAINNA ILAYHI RAJIUN.

    • @BalkissMuhammad-c5o
      @BalkissMuhammad-c5o 9 месяцев назад +1

      Lanatullah