SHEIKH KIPOZEO Afunguka MTOTO ATAKUA SIO WA MARIOO/HARMONIZE AITWE AHOJIWE/AMEKOSEA SANA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 41

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 Месяц назад +5

    Watu wangapi hawana elim na hawajamkufuru mwenyezi Mungu msimtete .mwinjaku kamwambiya ukweli na akabisha kaambiwa atubie na hakufanya hivo .mnateteya maovu kwa sababu yakula .

    • @ramadhanihudhaifani4376
      @ramadhanihudhaifani4376 Месяц назад +2

      Swadakta kabsa! Yule jamaa kakusudia kumtusi Mola wake. Hakuna kumtetea kabsa! Mshenzi kabsa yule.

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 Месяц назад +5

    Kuna muda inabidi watu tuongee yaliyo kweli bila kupindisha mambo. Hivi wataka kuniambia kuwa Harmonize haelewi kuwa ni KOSA na HATIA kumfananisha Mungu na kiumbe au kitu chochote kile!? Kwamba amekuwa na akili ya kitoto sana kiasi cha yeye kushindwa kabsa kujitambua kwa kiasi hicho!? Mimi mwenyewe tu mtu akinifananisha na mwanamke naweza nikavunja mbavu kabsa. Hata yeye Harmonize akilinganishwa na mwanamke lazima atajihis ovyo sana tu. Iweje leo hii amfananishe Muumba wake na Mwanamke??? Alafu watu wanasema kuwa aitwe ahojiwe? Achanane nae na Mola wake. Atapata alichokitaka!

  • @user-yv1gj2zn4z
    @user-yv1gj2zn4z Месяц назад +1

    Weye sheikh kwanini huongei laukweli huyo laana anajuwa vizuri Sana kama nimakosa

  • @user-bk2de8ov6c
    @user-bk2de8ov6c Месяц назад

    Atahilimishwa nayeye kishasemayeye nimtoto wa sheikh inamana kahilimishwa ila babayake japonisheikh akumfuza kujuwa allah nakumuhongopa huezi kufananisha mungu nachochote nilaan tullah

  • @shariffomar
    @shariffomar Месяц назад

    Dah sheikh umepewa nn na huyu mpuuzi waislaam wa dunia mzima wanalaani kitendo hicho

  • @DeBoy-oy2jg
    @DeBoy-oy2jg Месяц назад +2

    Ombi letu kwenu nyinyi waandishi wa habari muwatafute wazazi wa harmonize muwahoji kuhusu huyu mtoto wao ili na sisi tupate majibu kutoka kwao

  • @MartinMwombeki-kr5iz
    @MartinMwombeki-kr5iz Месяц назад +1

    Akisema uyu kila kitu kitakaah sawa

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed7057 Месяц назад

    Imani kupanda na kushuka ni kawaida kwa mja yoyote

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 Месяц назад

    Kwenye mtoto wa nje ya ndoa ni sawa ila kwa Hamo kakosea sana,aombe toba halafu aombe msamaha kwa jamii.

  • @DeBoy-oy2jg
    @DeBoy-oy2jg Месяц назад

    Kwa akili yangu naamini kuna watu wengine watasema hizi sababu zote za makosa ya Harmonize yametokana na mkono wa Diamond alipomfata na kumsalimia

  • @nadeemadams-mr3bs
    @nadeemadams-mr3bs Месяц назад

    Naam shekh Ebtehak

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku Месяц назад

    Maneno mazuri apewe naswaha atajirudi mwenyewe ajue hakusema vizuri ila si kukufurishana

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 Месяц назад +1

    HILO NDIO TATIZO LA WAZAZI WAKIWA WANAFANYA TENDO BILA KUSEMA BISMILLAH SASA MATOKEO UNAZAA MITOTO YA HOVYO. KUNA UGUMU GANI KUOMBA MSAMAHA. MAISHA NI MAFUPI.

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 Месяц назад

    Huyu sheikh , hamna kitu , Kama mnakumbuka huyu huyu ndie aliyemsapoti mzee yussf Arudi mjini .......!!!!??

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp Месяц назад

    Hakuna shehe alokosea ila kila mmoja na uzito alio chukua maana ni maneno yayayo kera hasa kwa muislamu

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 Месяц назад

    Mambo ya Mario Wewe wapi na wapi

  • @mkomwahassan6384
    @mkomwahassan6384 Месяц назад

    Uislam wenye kuweka lakini baada ya kweli wemesahau usiongeze wala usipunguze dini imetimia !!! Lakini lakini hiiii !!!!!????

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

    Aelimishwe kwani ajui nakasemakusuditu nyue nae mashehe ubwabwa. Mbonakasomana.katafsili

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 Месяц назад +2

    Yaani
    Ninyi mashekhe tuna waeshimu sana lakini kunawakati tunashindwa kuwaelewa yaani mpo kama wana siasa kila shekhe na mtu wake akikosea hua analeta kupoza kidogo akiwa sio mtu wake anawaka
    Sasa hapo unasema aitwe aulizwe alikua anamaanisha nn, yaani mtu aseme mfano nguruwe ni halali , halafu unasema aitwe yaani hujaelewa nn?
    Kwanza mtu kasema kua amefanya utafiti yaani mtu aliofanya utafiti maana yake amegundua na ametafakar jambo hilo kwa muda mrefu
    Pia aliposema sipingani na vitabu vya dini kua mwenyezimungu hafananishwi na kitu chochote ila kutokona na utafiti wake huenda mwenyezimungu akawa mwanamke sasa hapo utasema ametamka kwa kuto kujua au kwa bahati mbaya?
    Yaani hii inamaanisha hakubaliani na vitabu vya dini ila hawezi kupinga kwa kua hana ushahidi kamil au wa waziwazi , lakini kwa utafiti wake anaona kua huenda mungu ni mwanamke ( yaani kitalamu tafiti kama hizi tunazita ideological theory) na kisha katoa hizo point za kusapoti hoja yake
    MMASHINDWAJE MASHEKH KUPAPAMBANUA MADA
    AU NDO MNALETA UCHAWA KWENYE DINI?
    NI WAZI AMEKUSUDIA NA ANAMAANISHA ALICHOSEMA

    • @ramadhanihudhaifani4376
      @ramadhanihudhaifani4376 Месяц назад +2

      Mashehe wetu baadhi ni tatizo tu sana! Nakumbuka Afande Sele walimshambulia sana kipind kile aliposema kuwa Hakuna Mungu baada ya Magufuli kufa. Yule walimshambulia maana hakuwa na pesa! Harmonize wanampamba kwa kuwa wanaona ana pesa. Njaa tu za mashehe wetu hawa!

    • @user-su7np6sn7s
      @user-su7np6sn7s Месяц назад

      Yeye kasoma Na akaitafsiri Sasa atafutwe Nini Na we kipozeo mbona unazengua
      Embu mwambie Sasa aache bongo fleva Na amtumikie ALLAH kama wewe hapo
      Tuone kama ataweza
      Huyo mtumishi wa Shetani amonaise kama angekua anaishi kwenye hii nchi tunayoishi huku wangelishamchinja
      Mana wanatuuliza huyu kijana amesema Nini huko kwenu Tanzania tunawajibu Kua amemfananisha ALLAH Kua nikama mwanamke
      Basi woote wametaharuki nakueka mikona kwenye midomo Yao
      Pia wakisema mbona anasoma suurat ihlas Sasa
      Tukawajibu he knows wot he was saying kama Mungu Ni mmoja Na hafanani nakiumbe chochote
      Basi wakatuambia Angelikua hapa kwenye nchii hii ingelikua kashachinjwa Kwa kumkata Shingo alafu kichwa kinawekwa pembeni ya mwili wake upande wa kushoto
      Angalie wenzetu wanavyokua Na msimamo juu ya kumchezea ALLAH
      Lakini hapo bongo masheikh wanatofautiana wengine wanaona poapoa Tu Na wengine wanasema eti aitwe apewe ilimu
      Mnatutia mashaka Sana Hawa masheikh wengine au ndo hizo posho kwenye bahasha
      Yeye amonaise angeliwatafuta masheikh kwanza kabla hajasema upumbavu wake
      Fas'ahhludhikir in'kuntum lataalamun
      Kama Kuna Jambo hamlijui au hulijui
      Basi waulizeni Wana wazuoni
      Sasa huyu amonaise (Mungu) hatomuacha Salama ipo siku tutakuja kuyarudia maneno humu humu kwenye mitandao
      Eti ametubu tunauhakika Gani kama katubu Kweli
      Aache music wa bongo fleva aache kumtumikia Shetani
      Aanze kumtumikia ALLAH kwenye Mambo ya khairat
      Aende Macca Na Madina
      Tuone kama ataweza kufanya hivyo
      Na asipofanya hivyo hiyo Toba yake Ni yakujikosha Tu mitandaoni
      Na huyo anasema eti pale Macca alkaaba Kuna uchawi
      Uchawi mliueka nyinyi mayahudi kitambo Tu
      Na Mtume wetu Muhammad S.W.A
      Alipokwenda Macca akaamrisha jeshi lake litoe masanamu yote uchawi wote pale Macca ndani ya alkaaba.
      Unatakiwa uulize Wana wazuoni wakuelimishe kama Kuna Jambo unamashakanalo sio uropoke Tu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад

    Lakini Harmo c alishafanya utafiti akahskikisha?,mbona mnamsumbua tens.

  • @richardedward3937
    @richardedward3937 Месяц назад

    UKOSEFU AU KUKOSEA AINA MTU FRAN YEYE MWANADAM AELIMISHWE

  • @hussenihamisi2862
    @hussenihamisi2862 Месяц назад +1

    Kipoozeo umekosea sana wew
    Ilewa jambo lamtu kumtukana mungu halifungamani na ujinga wamtu hiyo inakua ni makusudi, kilamtu anajua mungu hafanani na kitu chochote hata kiakili inafahamika hivo

    • @hussenihamisi2862
      @hussenihamisi2862 Месяц назад

      Kwahiyo mtu kumtukana mungu huyo unakua ametoka ktk uislam sawa awe anajua ama hajui

  • @Jumasalumumembajumasalumumemba
    @Jumasalumumembajumasalumumemba Месяц назад +1

    Kipozeo tunakupenda sana lakini hapo umefili sana yani mungu kufananishwa kuitwa mwamke na wewe umeridhika shenzi kabisa

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 Месяц назад +1

    Harmo dawa abadili dini tuu..

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 Месяц назад

    Mbona alivo kuwa ana soma Surat Ikhlas alikua anafahamu na ana elewa anacho soma na alafu hi si mara ya kwanza kua anasoma Quran na zaidi ya hapo kalelewa kwenye mazingira ya dini kwa upande wa baba ake, mimi naona akumbushwa na hasa baba ake atoe neno na mama ake aombe msamaha adharani kama alivo kufuru uku akiwa kisha piga toba kwa mola hiyo ni upande wake na Allah nilazima ,kazi hasa inotakiwa ifanyike wazazi ndo wa kwanza na wanafutaia masheikh

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 Месяц назад +1

    Shekh unakoseya .huyu kaongeya akisema alofanyiya kazi myala 30 kwanza anamyala mingapi nikitu kaongeya anajuwa anacho kiongeleya.na hauwezi kumuelewesha mtu kasha fyatuka kichwa kwa bangi hawezi kumuelimisha elimisha mtu lama mlevi mzinifu na mengine maasi siyomtu kichwa kisha haribika na bangi.

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q Месяц назад

      Ndio mjue bangi iliyoongea na siyo yeye mwenyewe ana miaka mingapi mpk aseme kalifanyia risachi kwa miaka 30 wakati kipindi cha nyuma chote alikuwa machinga anauza nguo sijui viatu mbagala akahamia kuuza kariakoo zile ni bangi na mipombe mikali

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Месяц назад

    KWANZA NI UNAFIKI MSISEME NI MUISLAM AKIMKANUSHA MUNGU AMESHATOKA KWENYE DINI NA YEYE KWA SASA NI KAFIRI TUU UKIRITADI HAKUNA MAPAMBO UNAKUA KAFIRI TUU HUYO SHOGA MVAA VIPINI PUANI AMERIDADI MSENGE HUYO .MSIMPAMBE NI KAFIRI .WEWE KIPOZEO UNASEMA ATAFUTWE ATAFUTWE WAPI UTAMPATA HUYO NA ANAKIMBRI NGRUWE HUYO

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 Месяц назад +1

    Manyanya zetu hawa kusoma dini.lakini haja mtukana MWENYE ENZI MU'NGU !

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Месяц назад

    KWANZA NI UNAFIKI MSISEME NI MUISLAM AKIMKANUSHA MUNGU AMESHATOKA KWENYE DINI NA YEYE KWA SASA NI KAFIRI TUU UKIRITADI HAKUNA MAPAMBO UNAKUA KAFIRI TUU HUYO SHOGA MVAA VIPINI PUANI AMERIDADI MSENGE HUYO .MSIMPAMBE NI KAFIRI .WEWE KIPOZEO UNASEMA ATAFUTWE ATAFUTWE WAPI UTAMPATA HUYO NA ANAKIMBRI NGRUWE HUYO