Roho Ambaye ~ F.E NYANZA (Official Video Music)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 52

  • @benedictbuberwa3943
    @benedictbuberwa3943 2 года назад +2

    Nikirudi Kahama itabidi niungane na ninyi katika kumuimbia Bwana wetu Yesu Kristu..

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 2 года назад +3

    Hongereni Sana kazi mungu safiiiii Sana mungu awape nguvu ya uinjilishaji mwema

  • @justinamichael3483
    @justinamichael3483 2 года назад +2

    Kazi nzuri sana kawimbo katamu hongera sana cesilia wawajawahi kuferi popote pale

  • @irenejohn6343
    @irenejohn6343 2 года назад +1

    Waoo hongera Sana munguatukuzwe kwa kazi nzr muliyoifanya ya kuhubiri neno la Mungu kupita uimbaji wenu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @yungegeorge6115
    @yungegeorge6115 2 года назад +1

    hongeren sana nawapenda mungu awabariki sana

  • @milkamorris3299
    @milkamorris3299 2 года назад +3

    Waooo hongerenii sana kwa kazi nzuriiiiiii piaa mmependezaa piaa sana sana💕

  • @rainedamongo6699
    @rainedamongo6699 2 года назад +2

    Hongereni Sana mungu awabariki Sana

    • @kmckahama
      @kmckahama  2 года назад

      Asante nawe ubarikiwe, tukuombea neema na baraka ww na familia yako

  • @stevenkalenzo6457
    @stevenkalenzo6457 2 года назад +1

    Ooooooooooo waooooooooooo safiiiiiiiiiiiii mnooooo mambooooo Moto Kahama tamuu Sana

  • @thomasmsofe9662
    @thomasmsofe9662 2 года назад +2

    Bravo🤙
    Nyimbo ni nzuri, sauti zilizochangamka na kutoka kwa utulivu👏👏Namuona na rafiki nyng @Rafael Jonas Karama hakuwa mbl na kamera..

    • @karamajonas
      @karamajonas 2 года назад

      Asante sana mkuu

    • @kmckahama
      @kmckahama  2 года назад

      Asante sana, tusaidie kushare kwa watu wenginee

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 3 месяца назад

    Bravo wana Kahama. Mko juu sana. May the Almighty God bless you so much.

  • @philipolupagaro8479
    @philipolupagaro8479 11 месяцев назад

    Pongezi nyingi kwenu Wana kmc kahama mjni. Ninawapata vyema kutoka kahama. Kazi nzuri.

  • @stellasiwingwa9389
    @stellasiwingwa9389 2 года назад +2

    Hongereni St. Cesilia kwa kazi nzuri Mungu awabariki saan

  • @buffgofficial9849
    @buffgofficial9849 2 года назад +2

    🕊🙏safiiii hongereni sanaa

  • @daudiwilliam1971
    @daudiwilliam1971 2 года назад +1

    Vocal🗣️ Organist🎹 composer🎼 Sound🔊 video 🎞️ are very good 💯✅. Congrats 👏

    • @kmckahama
      @kmckahama  2 года назад

      Asantee sana ubarikiwe, tafadhari kama bado hauja subscribe tunaomba u subscribe, na ku share kwa wengine ili nao wapate baraka ya ujumbe wetu

  • @innocentdorylockisin5210
    @innocentdorylockisin5210 2 года назад +1

    Mbalikiwe sana ,wimbo mzuli wenye ujumbe mzito

  • @cosmasgalanda4572
    @cosmasgalanda4572 2 года назад

    Kazi njema saan aisee
    Mungu awabariki saan

    • @kmckahama
      @kmckahama  2 года назад +1

      Asante sana Mwl nawe ubarikiwe

    • @justinkihongo7254
      @justinkihongo7254 2 года назад

      @@kmckahama hongereni lakini quality imepungua kwenye video

  • @anthonywillbrord5188
    @anthonywillbrord5188 2 года назад +1

    Hongereni sana Kwaya ya Mt Cecilia kutoka Kahama kwa utume wenu mzuri, Nyimbo zenu zinafundisha jamii kwa kiasi kikubwa sana, Kep it up

  • @catherineemmanuel3215
    @catherineemmanuel3215 Год назад

    Hongereni Sana Wana KMC wote, hakika mbarikiwe kwa utume

  • @bibiannamhangwa4171
    @bibiannamhangwa4171 2 года назад +2

    Hongereni sana cesilia Niko pamoja na ninyi nawapenda wote mzidi kubarikiwa

  • @frolaChikubati-yy5di
    @frolaChikubati-yy5di Год назад

    Hongereni saana Kwa uinjilishaji mzuri Kwa njia ya nyimbo. Mzidi kumtumikia MUNGU Katika maisha yenu yote.

  • @FelisterKasmil
    @FelisterKasmil 10 месяцев назад

    Hongereeeeni sana KMC

  • @bernadethansanzugwanko7789
    @bernadethansanzugwanko7789 2 года назад +2

    Barikiweni sana na Mungu

  • @bonaventuretesha1039
    @bonaventuretesha1039 Год назад

    hongereni sana!!!!!!!!

  • @marypirian4236
    @marypirian4236 2 года назад +1

    Wooow, Mungu wetu Atukuzwe Milele na Milele. Amina. 🙏🙏🙏

  • @LIGHTNESSBONIFASS
    @LIGHTNESSBONIFASS 11 месяцев назад

    Mungu awabariki sana

  • @alfonsmchalo4500
    @alfonsmchalo4500 Год назад

    Mbarikiww kwa kazi njema Sana ya kumtukuza Mungu. Hakika inapendeza sana

    • @kmckahama
      @kmckahama  Год назад

      Sifa na utukufu ni kwa Mungu

  • @stevenkalenzo6457
    @stevenkalenzo6457 2 года назад

    Baraka kwenu jamani

  • @gloriasospeter2988
    @gloriasospeter2988 2 года назад

    Mungu hakika anatukuzwa ipasavoo bg up

  • @mondisitta7078
    @mondisitta7078 2 года назад

    Hongeren Sana kaka

  • @vincentkabigwa1159
    @vincentkabigwa1159 11 месяцев назад

    Aminaaa

  • @kusudihalisi9537
    @kusudihalisi9537 2 года назад

    sawa kabisa.

  • @josephmarco3702
    @josephmarco3702 2 года назад

    Hongereni Sana kazi nzuri Sana

  • @benedictbuberwa3943
    @benedictbuberwa3943 2 года назад

    Nyimbo tamu sana hii.
    Asanteni sana kwa kazi nzuri..