MAHARAGE JESCA SULUHISHO LA UDUMAVU NA NGUVU ZA KIUME - IRINGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 сен 2024
  • #udumavu #lishe #maharagejesca
    Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamepata hamasa ya kulima zao la maharage aina ya jesca maharage ambayo yana madini aina ya zinc na chuma.
    Zao hilo la maharage ya jesca lina linalolimwa kimkakati kwa lengo la kuimarisha lishe na kukabili tatizo la udumavu mkoani humo ambapo takwimu za hivi karibuni zinaonesha asilima 56 ya watoto chini ya umri wa miaka mitano wamedumaa.
    Maharage jesca yamepata umaarufu mkubwa katika wilaya ya Mufindi Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha viini lishe na yanatajwa pia kuongeza nguvu za kiume
    " maharage jesca yamepata umaarufu mkubwa katika wilaya ya mufindi Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha viini lishe na yana uwezo mkubwa wa kumuongezea mtoto uwezo wakufkiri pamoja na nguvu za kiume"
    DR.MARRY NDIMBO-Mtafiti wa maharage TARI Uyole.
    Aidha Ndugu LUCAS THOMAS- Afisa masoko CARE WWF amesema Serikali na wadau kupitia CARE INTERNATIONAL na Mfuko wa Uhifadhi wa Mazingira Duniani wanaamua kuhamasisha kiimo hicho kwa wananchi wa vijiji 21 vya wilaya ya Mufindi na kuanzisha mashamba darasa hayo ili kuketa suluhisho la kudumu na kukabili tataizo la udumavu

Комментарии •