Asante Kwa maelekezo Mazuri sana ninaswali namna ya kuweka mbolea ya matunda maana umesema unaziweka zote Kwa pamoja ya kupandia na kuzalishia zote tatu
Maharage ni zao la muda mfupi Sana. Ukipanda uje UWEKE mbolea apo lazima utaachana na ukuaji. Pia mbolea za Chumvi izi zitaunguza mche wako. Ndyo maaana kama mbolea tutatumia za maji yaaani booster. Ivyo ni vizur uchanganye mbolea na uo ni uzoefu ndugu
Ndugu yangu majina ni mengi Sana ya mbolea sasa naona Kama tutakuchanganya tu. Ni vizur ukaenda duka LA Pembe jeo lililo karibu nalo atakupa alizo nazo maana zipo za matunda, majani n. K
Kazi mzuuuri kaka safi saana. Nilipenda kujua je Mbegu za Soya beans zinapatikana ktk maduka ya Mbegu TZ ? na taratibu za kulima hizi Soya beans ni sawa na hizi beans za kawaida ulizoelezea. Nashukuru❤❤❤
Waoo nimependa mnavoreply kwa kila mmoja mmoja,,mbarikiwe mnoo,, sorry namm niko na swal kdg et,, vip mbegu n lazima ninunue kwenye maduka ya kilimo au hata mbegu za nyumbni zaweza kutumika na mavuno yakawa mengi??? Asant nasubiria jibu lako
Si lazima. Mbegu Ata izo za sokoni AU nyumbani, ila ziwe nene yaani umbo kubwa, zile ndogo ndogo hazifai kwa mbegu, yaani chambua vizur, pia ziwe zimekauka vizuri
Si lazima. Mbegu Ata izo za sokoni AU nyumbani, ila ziwe nene yaani umbo kubwa, zile ndogo ndogo hazifai kwa mbegu, yaani chambua vizur, pia ziwe zimekauka vizuri
Jee ni Mbegu ghani ya Maharage iliyozuri kwa kupata mavuno mengi? Jee maharage napaswa kupanda mwezi wangapi na kuvuna mwezi wangapi ??? By Utenga naomba unijibu
Sawa ndugu Elizabeth Asajile ila sababu si ivyo unavyo FIKIRIA. Sababu kubwa ni za kibiashara.....TUKIANZA kutaja majina ya mbolea umu tutakua tunafanya matangazo ya iyo mbolea. Nafikiri umetuelewa vizuri ndio maana tunajiepusha na Hilo kwa kuwa waambia watu watembelee dukani
Zipo kwa ajiri Ya matunda, kukuzia na za kupandia. Pia zipo zinazo fanya Kaz zote 3 apo. Kwa msaada zaidi tembelea duka LA pembejeo na Umwambie unahitaji mbolea ya maji kwa ajiri Ya kazi gani
Me na swali umesema tunaweza kuweka mbolea zote kwenye mahalage yaani shimo moja swali langu ni kwamba nawaka mbolea za dokana peke take au nachanganya zote na za asili
Mbolea za chumvi chumvi zina tabia za kuunguza miche Ni vzuri kuoandia zote au kama utaweka baadae kua makini weka kw kiwango kidogo na uweke mbali na mche kdogo miche isiungue
Unavyo tumia njia y kuchora mistar uwa tunakadiria tu bt mstar kw mstar sm 30 adi 40 shimo kw shimo apa hatupigi mashimo uwa tunarusha mbegu 2 au 1 kw kadirio la umbali sm 2 adi 5
@@AGALUSTV kuna kipindi kile wanakamata kamata wacheza pool ilipendeza sana wangeandaliwa mashamba yanayohodhiwa na wanakijiji bila kuyaendeleza hata kwa kilimo wapewe hawa wasiokua na kazi wayalime. Hivyo kwakua hawakuwafanyia hivyo tungefikiriwa wengine wenye nia ya dhati ya kulima kwa condition ya misimu si chini ya mitatu palimwe mbona tanzania tungelisha mataifa ya nnje
Hakuna majigambo hapa,picha ni nzuri,hujionyeshi,na unaongea kinaga ubaga tunaelewa,unatuonyesha shamba yenyewe,kila kitu kizuri asante sana
Asante sana ndugu ✍️🙏 tuendelee kusukuma eleimu hii ifike mbali zaidi
Asante kwa somo Zuri nmelielewa sana, naomba kuuliza katika shimo Moja unaweka Mbegu ngapi za maharage
Tunashukuru kwa ushirikiano wako bt katika shimo ni mbegu 1 hadi 2 .
Barikiwa🙏🙏🙏
Kwa uzoefu wangu na utaalamu ni vema kuweka mbegu 2 katika shimo
Pamoja🤝
Somo la leo ni zuri sana Niko pa1 nanyi had mwisho wa kipind
Barikiwa Sana ndugu
Asante Kwa maelekezo Mazuri sana ninaswali namna ya kuweka mbolea ya matunda maana umesema unaziweka zote Kwa pamoja ya kupandia na kuzalishia zote tatu
Na za matunda utakua umeweka pale pale. Maharage ni zao la muda mfupi saana ndugu so itafanya tu Kaz Wala ucjali
Asante sana ndugu nimekuelewa
Asante kwasomo rako sas minikama umeniacha nyuma kido Koo inatakiwa upande vyote kwawakati mmoja marage uchanganye namborea uwezi kuweka mborea wakati marake yameotaa arafu ukatumia mborea mojaa tuu can kunatatizo
Maharage ni zao la muda mfupi Sana. Ukipanda uje UWEKE mbolea apo lazima utaachana na ukuaji. Pia mbolea za Chumvi izi zitaunguza mche wako. Ndyo maaana kama mbolea tutatumia za maji yaaani booster. Ivyo ni vizur uchanganye mbolea na uo ni uzoefu ndugu
@@AGALUSTV saw Koo zamaji unaweza kutumia naizo nikama zipii
Ndugu yangu majina ni mengi Sana ya mbolea sasa naona Kama tutakuchanganya tu. Ni vizur ukaenda duka LA Pembe jeo lililo karibu nalo atakupa alizo nazo maana zipo za matunda, majani n. K
Asante sanaa Kaka angu ,,mungu akubariki sanaa
Amina ndugu 🙏🏿
assant kwa somo zur swar je kwa eka moja mbolea kiasi gani niweke
Mfuko mmoja na nusu Hadi 2 utegemea na njia upandaji
Tqfadhal naomba kujua tarehe nzuri za kuanza kupandaa
Utegemea na eneo ulilopo maaana Hali ya hewa hutofautiana eneo moja na lingine
@@AGALUSTV iringa
Apo uliza wenyeji mara nyingi uwa tuna panda mvua zinapo enda kuisha
Asante, very beneficial.
Pa 1 bt kama hujasubscribe naomba ufanye ivyo usipitwe na masomo yajayo
Kazi mzuuuri kaka safi saana. Nilipenda kujua je Mbegu za Soya beans zinapatikana ktk maduka ya Mbegu TZ ? na taratibu za kulima hizi Soya beans ni sawa na hizi beans za kawaida ulizoelezea. Nashukuru❤❤❤
Zina fanana ndugu . Mbegu waweza pata madukani japo SI rahisi sana . Waweza nunua pia sokoni ambayo ni Bora na ukafanya mbegu
Asante Kwa SoMo nzuri Mimi nmepanda Kwa kurusha natayali yameota naomba kuuliza vp naweza kurusha mborea ya dapu
Hapana tumia Mbolea za kwenye majani
Kilimo cha maharage haswa katavi kuna udongo mzuri sanaa nafikili waliwahi fika katavi watanielewa
Hakika sana ndugu
Asante kaka
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Barikiwa kwa maelekezo
Amina ndugu nawe pia
Asante sana kwa somo
Barikiwa pia
Nashukuru kwa somo zuriii sana, naomba kuuliza inatakiwa kupanda punje ngapi za maharage?
Mbili mbili Hadi 3 hutegemea ubora WA mbegu
Nashukuru kwa somo zuri,lakini naomba kujua namna ya kutambua magonjwa kwenye maharage na mazaoengine pia
Video ya magonjwa kwenye maharage na dawa zake
ruclips.net/video/KDz9T3DhAKg/видео.html
Asante unatoa elimu nzur
Pamoja bro
asanteeeee
Barikiwa sana
Naomba kufahamu nafasi za upandaji
Sm 15 kwa 15 na sm 40 mistari kwa mistari
Jambo Mimi ni mkulima inchini Congo mupakani n'a Uganda hatuna mbolea uku
Okay poleni sana Tuzid wasiliana
Great great somo ,
🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪
Asnte san mimi ni Franc nipo Mkowa warukwa wilay yankas naomba kuuliza naona yamepandwa kwamistar sas hiy mistar upan wamstr namstr ni sm ngap?
Pia nakuhu dawa zakupulizia maharage yasiathilike nahatua zake. Nap naomba maelekezo
Sm 15 shimo na shimo na sm 30 mstari kwa mstari
Dawa zipo nyingi aina tofaut kulingana na wadudu, na za ukungu. Tembelea duka la pembejeo
Asante
@FRANSIscoJASTNI tupo pamoja
Me nko morogoro na sijawah kujiingiza kwny kilimo nahitaji zaid masomo yako je maharage morogoro yanakubari.
Yes Tena vizuri tu ndugu
Good idea for agriculture
Your welcome
@@AGALUSTV mbegu gani nzuri ambapo Ina chukua muda fupi,sehemu yenye vua chache
Mfano mikoa ipi
@@AGALUSTV kaka naomba kuuliza shamba lenye.harithi.ya.mchanga.linafa.kulima maharage?.
Linafaa TU .ni huduma TU
Kiasigani cha mbolea ya matunda kinatosha kwenye hecre 1?
Nusu mfuko yaaani 0.5 kg japo Itategemea jinsi ya KIPIMO chako kwa njia ya mistari mbolea hadi mfuko 1 waweza tumika
Naomba kuuliza je naweza kupanda mahalage pamaja namahindi nikapata mavuno mazuli
Hapana Usifanye ivyo
@@AGALUSTV shimo moja la inafaa kuweka punje ngapi za mahalage
Waoo nimependa mnavoreply kwa kila mmoja mmoja,,mbarikiwe mnoo,, sorry namm niko na swal kdg et,, vip mbegu n lazima ninunue kwenye maduka ya kilimo au hata mbegu za nyumbni zaweza kutumika na mavuno yakawa mengi??? Asant nasubiria jibu lako
Si lazima. Mbegu Ata izo za sokoni AU nyumbani, ila ziwe nene yaani umbo kubwa, zile ndogo ndogo hazifai kwa mbegu, yaani chambua vizur, pia ziwe zimekauka vizuri
Si lazima. Mbegu Ata izo za sokoni AU nyumbani, ila ziwe nene yaani umbo kubwa, zile ndogo ndogo hazifai kwa mbegu, yaani chambua vizur, pia ziwe zimekauka vizuri
Yani Kaka nawapenda Sanaa bando langu litakua linaisha vizuli
🤝😁😁🙏🏿Pamoja ndugu
Ekari moja inahitaji mbegu kg ngapi
Debe 2 ivi uwe nazo
Dawa zinazohitajika katika kilimo cha maharage ambazo unaweza kutumia ?
Ni za wadudu na ukungu hizo ndyo muhim
Mbolea huwekwa mara ngap? He yanapotoa maua yanaitaj mbolea? Na niaina gan yambolea?
Mbolea ni wkt wa kupanda tu.mbolea zingine uwa zile za maji za kwenye majani.kipindi cha maua hapana maana unaweza pukutisha maua
Mbegu nzuri nitapataje ? Mm Niko Arusha!! je sehrmu za kabuku (Tanga) maharage yatakubali?
Mbegu Ata sokoni. Ila YAWE ya mwaka jana. Uko waweza lima
Umbali wa kupanda shina Hadi shina, mstsri hamstari ni centimita ngapi?
Sm 15 ni shina kw shin na sm 40 ni mstar kw mstar
Naomba kujua kati ya shimo nashimo na inakuaje
Shimo na shimo ni sm 15, na Kati ya mstar na mstar ni sm 40
Ni mbolea gan ya matunda kwa maharage inafaa
YA, CHUMVI CHUMVI AU YA MAJI KWENYE MAJANI
Mbolea za maji jinsi ya kuchagua
ruclips.net/video/iDKZc0-mO2I/видео.html
Mbolea za maji zote
ruclips.net/video/iDKZc0-mO2I/видео.html
Je umewahi kutumia mkojo wa sungura kama mbolea na kukinga wadudu?
Yes ndugu
Hekali moja ya shamba la maharage ikitunzwa vema inatoa kilo ngapi?
Zaidi ya gunia 15++
Ikiwa tayar mmea umeota nitumie mblea gan kwa ajili ya mavuno bora
Mbolea y matunda ya majani
Naomba kujua mbegu za maharage ambazo ni zenye mavuno bora nazpataje
Maduka ya pembejeo
Mie natakakupanda maharage kwakuanda vituta .nifahamishwe umbali wa tuta natuta
Kwenye shimo moja unaweza kuweka mbegu ngapi??
Mbegu 2 tu
Naomba kujua mbolea hizo zoteyaani ya kupandia na ya matunda zote kwa pamoja
Yes kwa pamoja maana maharage yana chukua siku 3 tu kuanza kuota hivyo mbolea inabid iwepo mapema
Mbolea gani nzur kupanda
Ya chumvi chumvi au
Asante
Barikiwa sana
Spacing kati ya mche na mche
Sm 3/5 mche kw mche kwa sm 15 mstari kwa mstari🙏
Safi sana
Tupo pamoja ndugu
Kwa makadirio heka moja inaweza toa kilograms ngapi za maharage???
Waweza vuna zaidi ya Kg 400
Je maharage ya soya yanapatikana kugoma?
Ngoja tuulize zaidi
Je namna ya upandaji wa mbegu upo VP??
Upandaji na mbolea somo ni hili
ruclips.net/video/Dd4ECqyDXK4/видео.html
Je mbolea ya kubebea inawekwa wakati fan?
Apo wkt w kupanda
Je unaweza kutumia mbolea ya samadi
Iwe ya kuku AU nguruwe. Maaana Samad ya ng'ombe Inachelewa kufanya Kaz wkt maharage yanakua kwa haraka sana
Naomba kujua kama eneo la tarime litafaa kwa ajili ya maharage
Yes linafaa tu ni huduma tu
Samahan naomba ushauri nataka nipande kilimo mseto yaan maharage na alizeti je inawezekana?
Yaaah japo mahindi weka mbali mbali 🙏🙏
Asante kwa video nzuri. Ukilima kwa kufuata hatua zote za kitaalamu, mavuno yanaweza kufika gunia ngapi kwa eka moja???
Gunia 3 hadi 5 ni gunia za debe 6
Kipimo Cha upandaji cm ngp?
Sm13/15 kwa sm 60/70
Haya ahsante!
Je ardhi inayofaa kwa kilimo cha maharage inaweza kufaa kwa kilimo cha soya?
Ndyo inafaa
@@AGALUSTV
Na kipindi cha kuotesha maharage ndo kipindi sahihi cha kuotesha soya? Na je mbolea za maharage ndo hizohizo za soya?
Jee ni Mbegu ghani ya Maharage iliyozuri kwa kupata mavuno mengi? Jee maharage napaswa kupanda mwezi wangapi na kuvuna mwezi wangapi ??? By Utenga naomba unijibu
Kwa eneo la wapi yaan upo wapi
Katika kila shimo unaweka mbegu ngapi na kutoka shina moja kwenda jingine ni umbali gani
Mbegu 1/2 umbali ni sm 15/15 ni shimo kw shimo na 40 AU 60 mtari kwa mstar
Je? Mbolea za booster za kupinga kwenye majani za resho ya 19:19 10 Npk
, apo Sasa twende tu dukani ndugu🙏
Shimo moja unaweka mbegu ngapi za mahalage?
2
Hapo kwenye mbolea ya kuku nakubali mwamba duh yaani shina moja unaweza toa kilo moja
Oooh sawa sawa Tupo pa1🙏🏿👏🤝
Umbali kati ya mstari na mstari halafu shimo na shimo ni ngapi?.
Shimo kw shimo sm 15 na kw umbali ni 30 had 40
@@AGALUSTV asante
Umbali wakupana na ni weke punje ngapi kwa kila shimo
Sm 15 kwa 40
Mbolea gani inatumika kuzalisha maua kwenye zao la maharage
Mbolea kama CAN ni nzuri kwa matunda,pia zipo mbolea ZA MAJI NYINGI TU KWA AJIRI ZA MAUA Na mtunda
Mm nimexhambanda tayar nina kama wk naweza kuweka mbolea?,na kama uwezo wng mdogo naweza kuweka mbolea moja t ya keni
Kama ulipanda mbalimbali waweza weka lakini kama ni karibu sana kua makini waweza umguza miche yako
*mohamed* umewahi panda Tena? Je soko lipo?
Suala langu: kwa hali ya hewa Zanzibar inawezekana kilimo cha maharege?
Inawezekana tu🙏🤝
@@AGALUSTV nashukuru
Na kipindi gani kinaweza kuwa bora kwa upandaji wa maharage huku kwetu Zanzibar?
Mmmmh kwa uko ngoja tuzid kufutilia maana sisi tupo mbeya 🙏
Mbole unaweka weka je maana watu wengine wanasema usichanganye mbolea na mbegu
Kwa maharage haina shida. Mbona mahindi tunaweka
Je gharama mpaka mavuno ni shingapi
Fuatilia video hii itakusaidia ni bajet makadirio
ruclips.net/video/VUrDSBs_QCY/видео.html
Kwa ukunda wa pwani kama wilaya ya kisalawe inafaa kupanda mwezi Gani?
Mvua inaanza kuisha tu ule UNYEVU nyevu. Sasa apo waweza fuatilia ni mwez gani
Mbolea za maji je?
Unapiga
Alaf mmesema wakat wakupand tunachanganya mbolea yakupandia nayakubebeshea matunda kwawakati mmoja au tofauttofaut
Ni sahihi ndugu
Mim bad sijakwelewa hapo yan nachanganya hiyo mbolea kwawakati mmoja.
@FRANSIscoJASTNI ndio ndugu
Je maharagwe yatafanya vizuri maeneo ya bungu, bungu ipo pwani waweza itizama kwa map, halafu soko la maharagwe lipo?
Nashukuru kwa taarifa 🙏🙏
Mbolea ya jamii ya keni, no mbolea kama gani hio? Usaidizi hapo kidogo kiswahili imenipitia. From Kenya.
Kwa Tanzania 🇹🇿 ni mbolea ina itwa CAN cjajua kwa uko Kenya 🇰🇪 ndugu
Kenya pia ni CAN
Hatujajua kwa uko ila iyo ni mbolea ya Matunda tusaidiane jina la iyo mbolea kwa uko🙏
Vp naomba kujua mbolea ya n, gombe yanafaa naomba mwenyekujua anjb jmn
Inafaa japo iwe imevunda vizuri🙏
Heka moja ya maharage unapata gunia ngapi?
10+ japo hutegemea vitu vingi sana
Nashukuru sana, je nimaharage gani ambayo yanasoko sana na yanapendwa
Soya
Hakuna mbolea za maji unaZoweza kuzitumia Kwa Kupulizia kwenye majani ya maharage kama hukutumia mbolea hapo awali
Zipo ndugu cha msingi tembelea duka LA Pembe jeo WATAKUPA walizo nazo
Ni kama zipi mtaalam@@AGALUSTV
sema huzijui ruhusu ubongo wako ujifunze
Sawa ndugu Elizabeth Asajile ila sababu si ivyo unavyo FIKIRIA. Sababu kubwa ni za kibiashara.....TUKIANZA kutaja majina ya mbolea umu tutakua tunafanya matangazo ya iyo mbolea. Nafikiri umetuelewa vizuri ndio maana tunajiepusha na Hilo kwa kuwa waambia watu watembelee dukani
Zipo kwa ajiri Ya matunda, kukuzia na za kupandia. Pia zipo zinazo fanya Kaz zote 3 apo. Kwa msaada zaidi tembelea duka LA pembejeo na Umwambie unahitaji mbolea ya maji kwa ajiri Ya kazi gani
Ogera sana
Barikiwa pia
Naomba namba zako za whtsap
0765467484
Tunaomba kujua vipimo kiasi gani Cha mbolea wakati wa kuchanganya kati ya Dap na can
1:1
Heka moja unahitaji kg ngapi za mbegu ya maharage!?
Uongo
@@emanueladamayubu9940 ukisema uongo ni vizuri utoe jibu sahihi kama huna pita hivi
@@AGALUSTV mkuu Mimi nimepanda heka 1 ni Debe 3
Sawa tu Hutegemea urushaji wa mbegu ukirusha karibu karibu utatumia debe nyingi
@@AGALUSTV yes, nimefanya hivyo ili kupata magunia mengi
Je ukiotesha maharage ndo ukaweka mbolea inakuwaje?
Kwa mbolea za kupiga kwenye majani unaweza fanya. Ivyo ila kwa zile za chumvi chumvi unaweka zote kwenye mashimo na mbegu
Je udongo ukiwa mwekudu unaweza kutumaia mbolea gani vile
Udongo haupimwi kwa rangi yake. Ukiitaji kupima udongo na Aina y mbolea Muone mtaalam wa Kilimo aliye karibu nawe
niaina gan ya mbegu inatoa mavuno kwa wingi
Mbegu zote ni nzuri hutegemea na eneo na matunzo yako
Makadilio kwa heka mtaalam
Si chini ya gunia 6
Hekamoja mbegu kiasi gani? Na mavuno kiasi gani kwaheka
Fuatilia somo hili👇 mtaji na faida ktk heka 1
ruclips.net/video/VUrDSBs_QCY/видео.html
Me na swali umesema tunaweza kuweka mbolea zote kwenye mahalage yaani shimo moja swali langu ni kwamba nawaka mbolea za dokana peke take au nachanganya zote na za asili
Wewe tu kulingana na rutuba ya shamba lako. Kama Unatumia za dukani peke Yake sawa tu
Ni kipimo gani cha mbolea kili shimo
Kisoda 1 kwa mbolea za kisasa mikono miwili
Naomba kuuliza hizo mbolea nachanganya kwa ratio gani (ya matunda na ya kawaida)
Kupandia kg 50. Matunda kg25 na kuku zia kg 12.5
@@AGALUSTV hizi zote tatu zinawekwa wakati wakupanda?
Ndyo zinachanganywa ndudu 🙏
Ahsante kwa somo zuri
Pa1🙏🤝
Wakati una weka mbolea pamoja na mbegu unatakiwa kuweka mbolea kiasi gani kwenye shimo mfano dap
Kifuniko 1 cha maji AU soda AU juice
Je urea inafaa kukorogea kwenye maji alafu utumie kwa Bomba kunyunyuzia shambani?
Inafaa japo c njia nzuri. Ni vizur ukatumia mboles za maji
hekamoja ya mahalange unaweza kutoa.junia ngap
Utegemea vitu vingi ndugu
Mbole aina ya DAP na CAN ukishachanganya unaweka kiasi gani katika shimo la mbegu moja na pia kwa shimo la mbegu mbili
Kifuniko cha maji/soda
Samahani naweza nikapanda maharage halafu mbolea nikaweka baada ya zao kuota au kuna madhara
Mbolea za chumvi chumvi zina tabia za kuunguza miche
Ni vzuri kuoandia zote au kama utaweka baadae kua makini weka kw kiwango kidogo na uweke mbali na mche kdogo miche isiungue
Mbengu gan nzur za mahalage
Zote nzuri hutegemea na uhitaji wa soko lako . soko lako wanapenda aina gani ya maharge
Sumu ya kuua wadudu inapigwa wakati gani
Asubuhi au Jioni
Heka 1 unapanda kilongp za maharage
Wastani WA kg 40
Hivi hekarr moja ya maharage inatoa kipato cha kiasi gani
Debe 15 had 30
Shina na shina na msita kwa msitali kiss gani?
15 shina kw shina na 30 AU 40 mstar kw mstar
Nifahamishe umbali kati ya shimo hadi shimo na mstari hadi mstari
Unavyo tumia njia y kuchora mistar uwa tunakadiria tu bt mstar kw mstar sm 30 adi 40 shimo kw shimo apa hatupigi mashimo uwa tunarusha mbegu 2 au 1 kw kadirio la umbali sm 2 adi 5
Kama tutapanda kwa mstari hivyo. Je mbolea zinazo takiwa tutaweka kwa mfumo gani?
Nimependa naomba kujua backup ya Serikali inatusaidiaje wannachi tuweze kuingia shambani
Sijajua
@@AGALUSTV kuna kipindi kile wanakamata kamata wacheza pool ilipendeza sana wangeandaliwa mashamba yanayohodhiwa na wanakijiji bila kuyaendeleza hata kwa kilimo wapewe hawa wasiokua na kazi wayalime. Hivyo kwakua hawakuwafanyia hivyo tungefikiriwa wengine wenye nia ya dhati ya kulima kwa condition ya misimu si chini ya mitatu palimwe mbona tanzania tungelisha mataifa ya nnje
Ni kweli kabisa
Ekari moja inaweza kutoa magunia mangapi ya kilo 100
@@AGALUSTV Acha masihara mjomba
🤝🤝🤝🤝
2/3 nikias kidogo sana nawakati sisi tunalima bila utaalm wowote tunapata gunia 5/6 we mtihan
Ata mimi nililima Hekari moja Nkapata Gunia 7 na sijaweka mbolea@@yusufusudusudu3173
Je Mimi nalima kwenye harizi ya kichanga manyara je harizi I inakubali maharage na kitaka kupima udogo napeleka wapi kuupima
Tumekujibu kwenye swali lako la awali
Tumekujibu kwenye swali lako la awali