Sumu ZOTE ni bora ndugu. Hutegemea aina ya tatzo lako. Ushauri wetu MUONE mtaalam wa pembejeo umuoneshe aina ya ugonjwa ktk Mimea yako tu naamini atakupa Tia dawa nzuri tu🙏🏿🤝✍️
@@AGALUSTV kwenye video yako ya mazao matatu,kuna mboga zinazopandwa kwanza ili kupata kitalu,hivyo unafanyaje ili kupata kitalu na kwa muda gani unahisi kitalu kiko tayari?
Ok mbegu kwenye kitalu mboga nyingi ni wik 3 hadi 4 then miche upelekwa shambani 🙏🙏Pia kuhusu kitalu ni mbegu za mboga husika zinauzwa ndyo unaenda kuotesha kwenye kitalu naomba kama hutaelewa jinsi ya kuwatika kitalu niambie tutaelekezana
Masoko ndiyo kikwazo kaka mimi issa rajab
Ngoja tuzid kutafuta masoko zaid
Tango likiwa tiyar kulichuma utajuaj mkuu
Vipele vidogo vidogo itaanza potea.
Hongera nimehelea soma
Thnx kaka utekelezaji mwema
Ahsante kwa video nzuri
Amina
good keep it up dear
Thanks
Asante maelekezo ni mazuri
Pa 1🤝🙏
Asante nashukuru kwa ujumbe
Barikiwa sana🙏🙏🙏
Nawezaje kujua kama tango limekomaa
Apo ni kwa kubonyeza tu ukiona gumu ujue limekomaa , pia tango teke lina vinundu kama vipele Ivi lililo komaa inakua soft
Namba za cm vipi
TUNAKUTUMIA
Good work
Good too🙏🤝
Habari
Nzuri Karibu🙏🙏🙏
Naweza otesha zao gani sehemu kama SAME pls
Mazao ni mengi ndugu kwani uko hakuna wanaolima ndugu
@@AGALUSTV mimi sikai uko ndo maana sijui ni mazao gani yatakayo vumilia ukame
Mihogo, mtama, mahindi pia wanalima ndugu
Napenda kulima Sanaa natafuta shamba lakin bdo sijapata
Upo wpi
@@AGALUSTV Niko dar pugu
OK tafuta kaplot tu Ata robo heka tu miche 1000
@@AGALUSTV nashukuru Leo nimepata robo heka ivyo kesho naenda kulifanyia usafi
Karibu sana
Habar kaka nahitaji kuanza kilimo cha matango naomba mawasiliano yako tafadhali
0765467484
Barikiwa kaka nitakupigia
Vipi kama nikiweka mbegu ya chainizi Kwenye tuta moja kwa moja bila kuotesha kitalu?
Sawa tu waweza
Changamoto gani unaweza kutana unapolima kipindi cha masika?
Magonjwa y ukungu, mbolea kupotea na soko uweza kua si zur maana mengi yatakua sokoni🙏🤝
mbegu .za. bamia. kwa. dar .es. salam. nazipata. maduka. yp
Mbegu zinapatikana maduka ya Pembe jeo. Aina ya mbegu mchek tu muuza duka
Mimi matango yangu yanashambuliwa na wadudu. Je natakiwa nitumie dawa ngani
Au ni sumu ngani mi bora
Sumu ZOTE ni bora ndugu. Hutegemea aina ya tatzo lako. Ushauri wetu MUONE mtaalam wa pembejeo umuoneshe aina ya ugonjwa ktk Mimea yako tu naamini atakupa Tia dawa nzuri tu🙏🏿🤝✍️
Nzuri
Asante
Mbegu nzuri ya Tango na yenye soko ni ipi??
Hydrid yeyote
Je Ni kwenye udongo wa Aina gani?
Tifu tifu unaopitisha maji
Asante sana Kwa somo
Asante nawe Barikiwa🙏🙏🙏
Kiswahili ngumu
🤔🙏you may ask by English where you would not understand
Jamani ningekuwa na shamba.
Ningekimbia na kuanza kilimo papo hapo.
Shamba Ata la kukodi ndugu
Hongera sana kazi nzuri
Asante Sana
Weka namba yako taf
Tunapatikana pia facebook kwa page Agalus Tv
Shwari
Pa1🙏🙏
Je matango kwenye baridi yanakubali?
Na daw ya ukungu napaswa kupigia kwa mda gani?
Yana kubali tena vizuri tu. Ukungu hutegemea hali ya hewa yaweza kua mara 1, baada ya wiki 2 pia mara 1 kila wiki na hata mara 2, kwa wiki
@@AGALUSTV asante mkuu npo manyara-mbulu kuna baridi sanaa nkahofu kuw inaweza kuyadhuru je ni mbegu gani itafaa? Kwenye ukanda huu wa manyara mbulu
Kaulize mbegu za hybrid f1, za matango zinazouzwa ukanda wa uko
@@AGALUSTV asante boss
Je matango yana msimu kama vile eti mda fulan ukipanda yanasumbu kutoa matunda ?
Ivi masoko Yapo kaka kwa.ajili.ya tango?
Yapo ndugu yategemea mazingira unayoishi
@@AGALUSTV iringa ndoo home kaka, na ndoo nitalima huko.
Ok 👌 good mazingira ya iringa yanaruhusu
@@AGALUSTV na soko pia iringa lipo??
Matango kila eneo yanaliwa kuna vitu tu utatakiwa kujua ili. Utime soko tutashirikishana ndugu
Mazingira ya baridi je VP matango yanakubali? Mfano tukuyu
Yanakubali ila zingatia dawa za ukungu
Naomba no yako boss
Noted
0765467484
Mambo sf
Pamoja ndugu
Je mboga za kwenye kitalu ,unafanyaje ili upate kitalu?
Sijakuelewa ndugu ili upate kitalu
@@AGALUSTV kwenye video yako ya mazao matatu,kuna mboga zinazopandwa kwanza ili kupata kitalu,hivyo unafanyaje ili kupata kitalu na kwa muda gani unahisi kitalu kiko tayari?
Ok mbegu kwenye kitalu mboga nyingi ni wik 3 hadi 4 then miche upelekwa shambani 🙏🙏Pia kuhusu kitalu ni mbegu za mboga husika zinauzwa ndyo unaenda kuotesha kwenye kitalu naomba kama hutaelewa jinsi ya kuwatika kitalu niambie tutaelekezana