angalia physical fitness iliyotumika , unadhani ni mazoez kiasi gani yamefanyika? kushika bunduki ni zoez dogo sana, kilichofanyika hapo wapo ma askari kibao hawawezi, na likija suala one on one fight vitani hao ndio wahusika, usibeze jitihada za watu bna
Hongera sana vijana tegemezi la kesho nguvu ya taifa
Honger sana kea mazoezi hay tutafanikiwa katika ulinzi nausalama
Ningekuwepo kila mmoja angekula 10,000. Nimependa sana vipajì vyenu. Mungu awalinde.
Wapi vizuri Sana, kwakweli wameiva. Hangera kwa wakufunzi wao, Mungu aendelee kuwa tia nguvu na uvumilivu katika haki.
Hao vijanaa wabaki ukouko kikosini wameiva 🇹🇿🇹🇿🙌🙌
Nakubali hakika vipajibadotunavyo hongerenisana
Safi sana hongereni kwa kazi nzuri unayofanya na Mungu awabariki mzidi kwenda mbali zaidi
Wapewe ajira
Aisee,safi sana wadogo zangu! 821kj mpaka 823kj 2008 Hadi 2010 juu sana kwa maadili.
Jamani mwanangu yuko dalasa la 5 lakni ananiambia anataka akasome shule ya jeshi sababu anapenda kuwa mwanajeshi alafu sijui ni wapi shule iliko
Swali hivi wanapewaga kipaumbele kwenda Jeshi la wananchi kwani wanafanya vizuri sana
Kijana sam umeonesha juhudi na ugali umeupata🫡🫡 hongera 👍👍
Mungu anifanikishe na mm jaman napenda San jesh
bint Jw moja kwa moja
Noma sana ni ngumu kumeza iyo💪💪
Viziri vijana,hongereni sana,
Wooow 👍
Hongera sanaa Tanzania 🇹🇿
Vzr cn wapo wangepewa kipao mbele ni walimu wazuli WA baadae
Amazing thumbs-up
ukomandoo unawafaaa hawa vijana
Dada umetixha ingawa n wote
Jeshi nawapongeza kwajina lajamuuri ya muungano kaziiendelee
Daaah Yaan hakuna watega mabom na kutegua twaona wanajinyonga nyonga tu 😂😂😂
Tanzania Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Nchi yangu mungu akulinde
JKT mnachukua lini tena wakujitolea maana kila siku ni mujibu washeria2 je na wakujitolea nao lin Afande
Tena wanawake jmn jhaaaa
Hongereni Wadgo zangu
Hao wabak huko muwape ajira wakikosa Kaz wakija mtaani tutakabwa wengi wazurulaji wa usiku🤣
Talented guys
Nataman sana kujiunga aisee
👋👋👋👋🇹🇿 good good
Moyo wa pongezi kwenu.
Vijana wapo vizuri sana
Waoooooooooo
Mmetisha sanaa
Fantastic
Safi sana ikovizuri iyo
Nadhani mkuu wa kikosi awatazame kwa jicho la 3
Aseeee Tanzania tunawatoto wetu, ongeleni walimu
Nice
Bahti
Mko vizur makamanda mmetishaa👏👏👏
Hakuna kitu kinaeza kunishinda hapo labda hivyo vitu msichana aliefanya tu
Kazi ni wito
Mmetisha sanaas
Vitani kwani kuna boringo
Jamani mlikumbuka kuajili
Wako vizuri
Wameuwa wiiiiiiiiii
Nchi ipo salama 🇹🇿🇹🇿
Kuvu moja tz jeshi na wanaishi tutashinda maadui zetu wanasiasa ndio vivuluge nchi kwanza tz juu zidi tuilinde yakwetu hii
Hongera
Talent, hongereni sana
Da wametish
Poleni sana
Good sana
Fantastic show
Safiiiii sanaaaaaaa
Safi ujichanganye sasa utawatambua
Kweli jeshi letu linavijana wepesi na wakakamavu
Hongera Sana vijana wetu mmeifa kweli
Mngu awabaliki kwmazoezi mema❤😂😂😢😅😅😅
Noma sana
God people
Mr. Bayo
Mahafari Ya form four
Wapewe heshima zao 💪💪💪💪💪🖐️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️
Havazi
Lazim tujue kutofautisha vipaj na mazoez uwezo
Khaaaa hata kuwatunza t mnashindwa
Nc
Makin sana
Hawa wanasarakasi,wanajeshi wa mchongo
Matukio
Naomba jeshi liwaajili kama nadhamu yaoimejitosheleza.
Nimeisoma makamanda
Safi sana
safe sama
Twaha kiduku
Summons
Michezo hiyo hata watoto wanacheza hakuna kitu hapo
unakuta mtu anasema jeshi limekamilika kumbe hayo ndio yanakamilisha jesh
Natamani ila sijui nitafikaje hapo
Respect
Liminatt yubahwe😂😂😂
Mkuu wa majesh tz
Amna kitu apo tushafanya miaka iyo
Nakubali sna
Msiwarihusu hawa vijana waje mtaani huku jamani wape ajira wakae huko kaahaaa
Duuuuuu!!!!!!Allah awape nguvu zaid
Dj afro
Somchezo kwakwer hongeren
Kazi kubw
nice
Sasa jamani tuongee tu ukweli navitani watakataga viuno hivi😂😂😂
angalia physical fitness iliyotumika , unadhani ni mazoez kiasi gani yamefanyika? kushika bunduki ni zoez dogo sana, kilichofanyika hapo wapo ma askari kibao hawawezi, na likija suala one on one fight vitani hao ndio wahusika, usibeze jitihada za watu bna
@@jumanzige9644 kabisa awa ndio wale wasio takia wenzao mafanikio
Vijana wako vizuli
Hahahaha nimewaona polisi wakichungulia 😂😂😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🔥
Njyewe mumfashye munsobanurire igihugu bakomokamo
Mahafat
Siwezi kutoa lugha ya matus
Wananikumbusha enzi mambali
Nimeamini Tuko makamanda wa kulinda Taifa letu jkt muko vixuri
Ila ajira ndiy hakuna