IJUE SIRI HII KUBWA ILIYOJIFICHA NYUMA YA NISSAN DUALIS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025
  • Tofauti Na Vile Watu Wanavyozizungumzia Vibaya NISSAN DUALIS Ivyo Basi Leo Tunataka Tukufungue Ubongo Wako🤯 Kuhusiana Na Gari Hizi

Комментарии • 6

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 Месяц назад +1

    Vp kuungua

    • @darautobroker
      @darautobroker  Месяц назад

      @@bbclondonulimwenguwasoka6126 Kwa Sasa Hazina Shida Kabisa Maana Ile Cover Iliyokuwa Imepita Kwenye Manfold Mafundi Wetu Wamezijulia Namna Ya Kusikia

  • @ashambakari1928
    @ashambakari1928 25 дней назад

    Ukiendelea hvyo hvyo kutupa maelekezo mafupi mafupi utatupata wengi kuangalia video zako.

    • @darautobroker
      @darautobroker  21 день назад

      @@ashambakari1928 Mbona Iyo Ni Short & Clear Boss Wangu. Au Ulikuwa Unatakaje?

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 6 месяцев назад +1

    ULICHOONGEA NDIO SAHIHI KABISA ! MAFUNDI WETU WAKO NYUMA YA TECHNOLOGY MAMBO YAKIWASHINDA WANAKIMBILIA KULAUMU NISSAN!

    • @darautobroker
      @darautobroker  6 месяцев назад

      @@habibnjowele7751 Naam! Uko Sahihi Kabisa Kaka👊🏽