Safi braza unajua kutufahamisha Cha kufanya bro we zingatia sisi tunaokuzingatia brother kazi nzuri sana Tena sana usichoke kutuletea details zaidi na zaidi wewe djsma ni Engeeneer 🤛🤛
Tumekuelewa bro watakaokupinga ujue wafanya biashara wa izo cm wameshajibebea mizigo mingi baada ya elimu uliotupa kinachofuata mapovu tu wanahisi umeshawarushia wateja watatulia hawatokurupuka tena 👍🤝
@@djsma255 we muongo sana 😢...eti cm zinazotoka USA ni Fake Iphone 14 nchi zingine bad azijafik lkn Tz eti zipo ...kwaiyo Tz inauchumi wakuchukua wakwanza!!! Wanazotumia tz ni Fake kutoka China Ck zote vitu vyeny ubora hua vinaenda kufatana na uchumi wa nchi..ndomana Kuna Gred USA izo cm bad kufik ila nashangaa ati Tz tayar
Very good content bro you nailed this one I would like to disagree on one thing . Exynos processor imeimprove sana these past two years and it’s used in Europe not only in Africa . Nakubali swala la iPhone za bongo nyingi ni fake na kuna watu wengi kama nengatronics wanapiga hela sababu baadhi ya wabongo are so naive and wanapenda kudandia treni
China are not authorized producer for iPhone or Samsung since 2019 , if you found any mentioned product beyond that year and manufacturer is China then buy it at your own risk .
Naomba nijue huko tanzania unaziuza je nijuze kaka mana na Samsung galaxy j5 nilinunua 2013 bado iko fresh ila nishabadili hapa kama mbili ziko hovyo 2 zinasumbua yenyewe sasa hivi bette ndio inasumbua
iPhone US na UK kwenyewe wataanza kuzipata October,tena kwa walio order. Hawa waliopata hapa waulize vizuri. Apple wametoa kalenda ya kila nchi zitapatikana by lini. Afrika bado kabisa.
Ni fake tu iPhone nia usa 🇺🇸 bro usa ukitak iPhone 14 utaipata next month sasa nyinyi mnaipatage kuliko wenye nazo kama sio fake Mimi niko nasubir yangu Hadi October 😅😊
kisha IPhone OG huwezi kuuziwa 2 kwa cku 1 MD lazima ununue 1 than nyengine ununue cku nyengine au masaa yapite ndo ununue nyie watz munapigwa hizo sio OG
ruclips.net/video/pJaEMzAh9gs/видео.html KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH, HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ,.*#*# ruclips.net/video/pJaEMzAh9gs/видео.html
ruclips.net/video/pJaEMzAh9gs/видео.html KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH, HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ,.*#*# ruclips.net/video/pJaEMzAh9gs/видео.html
Tutaongelea wakitoa product mpya, aivi iphon 14 imetoka so tunafahamisha watu jinsi yakujiepusha na fake,ila ikitoka new product za samsung tutaiongelea
Nakukubali kazi nzuri bro...hakuna mtu mwingine anatengeneza video Kama hizi TZ well done keep up👏👏👏
🙏
Upo sawa hata nguo kutoka China UK tunapata grade one and very quality
Hii Ni kweli kabisa nimewahi kuona set up ya iphone 📲 kwene camera Ni tofauti kabisa na ya marekani
Safi braza unajua kutufahamisha Cha kufanya bro we zingatia sisi tunaokuzingatia brother kazi nzuri sana Tena sana usichoke kutuletea details zaidi na zaidi wewe djsma ni Engeeneer 🤛🤛
🙏
Tumekuelewa bro watakaokupinga ujue wafanya biashara wa izo cm wameshajibebea mizigo mingi baada ya elimu uliotupa kinachofuata mapovu tu wanahisi umeshawarushia wateja watatulia hawatokurupuka tena 👍🤝
🤝
Mnatumiya sana mchina
Tunapenda dezo jamani bora ununue khali ila iwe nzuri
Nakupata vip mzee niagize na mm
Thanks nmeangalia yangu ni M so sijapigwa. Pia nmecheck serial iko valid kwa Apple 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Umeamua kujitolea kuwasaidia watu ili wasiingie mkenge kaka,MUNGU akubariki sana na kukutunza.
The product quality is the same,benz ya UK na SA same,companies manufacture products from different areas to export to a different market
Jembe unajua kinyama 👏🇴🇲🇹🇿✈wabongo wanapenda mteremko
🙏
@@djsma255 we muongo sana 😢...eti cm zinazotoka USA ni Fake
Iphone 14 nchi zingine bad azijafik lkn Tz eti zipo ...kwaiyo Tz inauchumi wakuchukua wakwanza!!! Wanazotumia tz ni Fake kutoka China
Ck zote vitu vyeny ubora hua vinaenda kufatana na uchumi wa nchi..ndomana Kuna Gred
USA izo cm bad kufik ila nashangaa ati Tz tayar
@@ginimbifamily3995 tuliza akili utamwelew km umevuta huwez elewa
Good lesson
Mnatuambiaje wateja wa makumbusho😊
Nakubli bro
Quality, quality, quality,,,bado vitu vinavyopelekwa third world country tofauti na developed country, ingawa jina ndio hilo hilo
Mimi nina Galaxy Note 9 n960f snapdragon
Smart man🫡
Thanks big time bro ✌
Nimeikubali kazi yako big up👍💯
TECNO IS ALWAYS THE BEST, MILION 3 ALAFU SIMU INATUMIA LINE MOJA, WHY, NOT ME!!
Eti spelling error😂😂
It's true..kwa mfano utatumiaje iphone version sawa na anayotumia Jay Z?
Oa broo nawez kupat site ambao nawez nikanunua iphone og
Mm nisiyejua Simu nkitaka kununua lazma nmtafute anayejua dah ni huzun kwakweli
😂
Watu wanatengeneza android kuzipa muonekano wa iphone ndo maana zikawakuta wengi wasiojua sasa lazima waseme iphone fake
Nakumbuka iPhone 13 nilisema bilnas anauza fake watu walikua na mdomo sana leo mumepata ufafanuzi mzuri
Very good content bro you nailed this one I would like to disagree on one thing . Exynos processor imeimprove sana these past two years and it’s used in Europe not only in Africa . Nakubali swala la iPhone za bongo nyingi ni fake na kuna watu wengi kama nengatronics wanapiga hela sababu baadhi ya wabongo are so naive and wanapenda kudandia treni
Sawa ila jiulize kwanini Samsung wenyewe wamesitisha kutengeneza exynos, kwanini qualcomm, mediatek wamecha kutengeneza chip zao kwa Samsung!!!
@@djsma255 yeah thats true but its much better than it was before mkuu.
@@tommyegan3000 ofcoz ime improve kuliko mwanzo
How do we authenticate iPhone?
🙊🙊🙊🙊
Mwamba yuko NONDO
You can't say iPhone fake you need to be educated on authentication
I phone 14 nyinyi mlisha zipata sisi tukiwepo California huku atujazipata duu big up to chine😅
kabisa hao ndo watz
Tanzania simu wanazopelekewa nyingi ni fake
China are not authorized producer for iPhone or Samsung since 2019 , if you found any mentioned product beyond that year and manufacturer is China then buy it at your own risk .
Bro hongerea jinsi yakuagiza mizigo
Naomba nijue huko tanzania unaziuza je nijuze kaka mana na Samsung galaxy j5 nilinunua 2013 bado iko fresh ila nishabadili hapa kama mbili ziko hovyo 2 zinasumbua yenyewe sasa hivi bette ndio inasumbua
Sio mtu wa value hatuna pesa watanzania
Sio hatuna ni wewe ndio huna acha mhemko.
UnatuHaribia Biashara ya Upigaji wetu kaka 😄😄 sio poa... wachezea ugali wetu bana
iPhone US na UK kwenyewe wataanza kuzipata October,tena kwa walio order.
Hawa waliopata hapa waulize vizuri.
Apple wametoa kalenda ya kila nchi zitapatikana by lini. Afrika bado kabisa.
ebu fatilia wanasema hizi iphone 14 zina tatizo ya camera.Camera inacheza cheza ukichukua selfie
Zina tatizo ukitumia na 3rd party apps, yani ukitumia na apps kma insta, snapchart, na zingine ambazo hazijaja na sim
Uongo hakuna iPhone face bali kuna iphone copy lkn feki hakuna kama mwabisha Muangalieni Snash RUclips ndo mtaelewa
Kumbe natumia sim Og bhaaana 😁🤣🤣
Ni fake tu iPhone nia usa 🇺🇸 bro usa ukitak iPhone 14 utaipata next month sasa nyinyi mnaipatage kuliko wenye nazo kama sio fake Mimi niko nasubir yangu Hadi October 😅😊
Right that's what I was saying lmfaooo fake big time.
Kupigwa ni kupigwa tu hata ulie agizwa utapigwa tu hamna namna utapigwa tu
Vitu vyote fek tu sio América wala jpan
Sijawahi kuikibali camera ya Iphone, labda kuna settings zaidi, anaejua anisaidie, maana mimi huwa sipati picha Nzuri kabisa kwenye IPhone 13 pro max
IPhone haina camera nzuri
una iphone fake
@@virendavictoria5174 hapana inaweza kuwa sio fake,,,lakini i phone haina camera nzuri
If it is a fake iPhone with a "correct" serial number then it will not run iOS and it will not have a functional Touch ID
Hapana si kweli iPhone za Marekani ni tofauti kabisa na za kwetu hichi kitu nimekishudia kwene camera qualitatiy
kisha IPhone OG huwezi kuuziwa 2 kwa cku 1 MD lazima ununue 1 than nyengine ununue cku nyengine au masaa yapite ndo ununue nyie watz munapigwa hizo sio OG
Ivi na iPhone zenye line mbili no fake au original!?
💣 hilo 😂
Twerezeye samsung
“ Tuelezee “ 😊
How come Africa has iphone 14 while in here USA 🇺🇸🇺🇲 waiting till October 🤣
Everything in tz it’s fake bro
No bro in USA we received this September
that’s what i said
Sasa kaka..!!! Mbona umetuchanganya watu!!😰.. Sawa na mtu anasema natabiri mechi halafu anasema..”natabiri draw au mmoja anafungwa”😰😩😆
Samsung vipi ungelei kwa nini ????🗣🗣🗣🗣🗣🗣
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️
Tayar zishatoka uk mm nime order kutoka EE juzi
Ume order juzi, lini itakuwa delivered kwkao?
Leo Jana ilikua hamna kazi
Mimi nimepigwa inasoma A kwenye model
😂
ruclips.net/video/pJaEMzAh9gs/видео.html
KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH, HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ,.*#*#
ruclips.net/video/pJaEMzAh9gs/видео.html
Samsung rifabu tuna ijuwajee
China always ni fake 2 hizo iphone za china nawasi wasi nazo Bora tubaki na android tu KULIKO kupoteza m4 Bora nitumie Canon tu
Yaani mimi kisim changu ni fake hadi so vizuri duh!
😂😂😂
Unazengua sijui uwezowako umeishia hapo? Tofautisha soko la america na africa america akuna maduka km kariakoh marekani
kabisa IPhone tuna maduka special america na huingii bila ya appointment
Chek kitu original acha kuibiwa ruclips.net/video/r7WDo1TRF9A/видео.html
Ata watu wa Uk 🇬🇧 wanatafutaga iPhone za usa 🇺🇸 sasa hapo Uk 🇬🇧 hakuna iPhone Og zaid Ya usa 🇺🇸 hakuna iPhone 14 ipo inje kwa mda huu
Acha uongo bro 😮 uku tuko na Apple Store where people buy phones bro stop lying bro
anadanganya huyu mjaluo wa SNS
@@zuleikhakhamis3303 😂😂 kwakweli
Acha ku danganya watu sim zenu ni FAKE from Paris
Jibu kwa hoja mzee...otherwise huna unachokifahamu binafsi natumia simu fake kulingana na achokksema
Kila kitu kiliopo Tanzania ni fake hata nguo zako zooote!!!!
kabisa
Acha kudanganya watu Tanzania tuwe na iphone Og afu USA wawe na iphone fake bro akilizako zime wrong
Hujamuelewa alichokisema
@godopetza