Lyrics📌 Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe Niko sure na huyu mzee Kanitendea Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent
Alirejesha yale tulioibiwa, tukatabili na tukabariki,, sas yote yaliyolejeshwa na kutabiliwa na kubalikiwa leo yamekuwa PERMANENT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watu wa maana kabisa hawa kutoka kwa Mungu aliye juu.......❤❤❤
Wale wa gitaa la solo safari hii hawaja leta mambo yao sana, this time naona ilikuwa kwa pianist na bassist, na drumers . Wimbo mzuri edit nzuri, light engineer yuko vzr, stage sound yuko vzr pia.
The calming sound of this song forces you to paying attention by default. and listen to the great words with no interruption. Edit: Well done Neema Gospel Choir for blessing us. Praised to the most high God.
Shetani na watu wake kimya, Mungu aendelee kuwaweka permanent, Kila kitu kipo sawa kizazi muhimu Sana Cha AICT KWAYA, Kuliko vipindi vyote nimevisikiliza, muwekwe kwenye kumbukumbu ya kanisa mmekuwa mfano wa kwaya zote za AIC Hilo halina kupingwa, Hakika mnaweka jiwe la ushuhuda kila mmoja anaona na kusikiliza, Mtu akiona Ni rahisi ajaribu kufanya. Hakika nimeamini Uwezo na bidii vinaanza ndio pesa inafata.🙌🙌
Naona km jeshi la mbinguni liko hivyo hivyo. Mungu wa mbinguni azidi kuwainua. YESU yuko njiani anarudu msizimie moyo. Zidini kumpazia sauti huyu YESU wetu.
You're of next generation , kubwa na la msingi kazi isiwe bure mbele za Mungu maana ndo lengo kubwa watu wafurahi na nyinyi muuone ufalme wa Mungu , kama yupo mmoja wa wanakwaya nina soda ya wapiga mziki kuipata tuwasiliane siku moja mkiwa mazoezini amin
Mmh. Shetani hivi hivi tunaendelea kumkaribisha ndani ya makanisa yetu. Binafsi najiuliza sijui maujuzi yamekuwa mengi sana,umjini au kuonekana ukisasa zaidi.mmh sitaki kusema mengi lakini tunakoelekea hiiii sidhani Kiukweli mapigo ya huu wimbo sija........ni vile tu kuzifuhisha nafsi za watu ila si kwa utukufu wa Mungu
Nyimbo zakuumiza vichwa kutunga ndo zinatakiwa saivi biashara yakua navinyimbo mserereko haitakiwi... wana wa Mungu tunatakiwa tuliteke soko lahuko mitandaon,sio kitu rahisi lakini kwakaz kama hizi naamini inawezekana....
Lyrics📌
Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea
Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe
Niko sure na huyu mzee Kanitendea
Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent
Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka Ni Permanent
Mm balikiwe saba
Continue with the same spirit guys
Samahani sana,😂saba,ni sana
Mbarikiwe sana kuendelea kuwanamoyo huohuo❤
Number 1 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania me your like now please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 soon My song it's enjoy your day for song neema gospel choir come like
Alirejesha yale tulioibiwa, tukatabili na tukabariki,, sas yote yaliyolejeshwa na kutabiliwa na kubalikiwa leo yamekuwa PERMANENT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watu wa maana kabisa hawa kutoka kwa Mungu aliye juu.......❤❤❤
Amen
Ameen Sana 🙏
Amen
Amen
Umesomeka
Tuliobarikiwa , sasa baraka zetu zinaenda kuwa PERMANENT.Gonga 👍 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼
Hakika mungu katutendea mambo permanent hakuna waku tunyang'anya💥💥baraka ni permanent
Greetings from Germany 🇩🇪 Siku moja mtakuja kwetu❤
Hakika utukufu kwa Mungu
Freddy Kuna namna ameumbiwa kuwa fundi wa muziki aisee, mwanamasanja ulemhola saana bhabha 🎹🎧🎸🎸
Ilikuwa Temporary and now is PERMANENT. MWAMBA NI Yule yule i really like this creativity. God bless You
Nakeshaa nasikiliza nyimbo zenu kila siku....zinanibarikii sanaa MUNGU AWATUNZE🙏🙏
Utukufu kwa Mungu
Aseee hamjawahi kukosea hata siku moja nyie watu,,,,NEEMA GOSPEL CHOIR 🥰🥰🎉
Utukufu kwa Mungu 🙌
Wale wa gitaa la solo safari hii hawaja leta mambo yao sana, this time naona ilikuwa kwa pianist na bassist, na drumers . Wimbo mzuri edit nzuri, light engineer yuko vzr, stage sound yuko vzr pia.
Amen utukufu kwa Mungu
Mwanangu kwa amapiano kama hii solo inabidi wasikilizie kidogo.
Goooooood song 🎵 ♥️ ❤️ 💕 👌 😍
Nlikua naisubir san kwa mara kwanz ilkua pale kijitonyama lutheran🎉🎉🎉🎉🎉 musicians Mungu awabariki🎉🎉🎉🎉
Amen
Ilikuwa TEMPORARY ila sasa ni PERMANENT
May God greatly bless his servants and bless the works of your hands NEEMA GOSPEL CHOIR 🙏
Mnajua kuufurahisha moyo wangu kila nikisikiliza nyimbo zenu huwa nafurahi tu
Amen
Baba kasema nisihofu yuko nami Tena, nisifadhaike Mkataba wa Baraka ni Permanent.🎉❤😂
Kenyans, where art thou?🇰🇪
Wimbo Mzurii Sana, Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Jumbe Zenu Nzurii Kila Kukichaa🙏🙏👏👏
The calming sound of this song forces you to paying attention by default. and listen to the great words with no interruption.
Edit: Well done Neema Gospel Choir for blessing us. Praised to the most high God.
Shetani na watu wake kimya,
Mungu aendelee kuwaweka permanent,
Kila kitu kipo sawa kizazi muhimu Sana Cha AICT KWAYA, Kuliko vipindi vyote nimevisikiliza, muwekwe kwenye kumbukumbu ya kanisa mmekuwa mfano wa kwaya zote za AIC Hilo halina kupingwa,
Hakika mnaweka jiwe la ushuhuda kila mmoja anaona na kusikiliza,
Mtu akiona Ni rahisi ajaribu kufanya.
Hakika nimeamini Uwezo na bidii vinaanza ndio pesa inafata.🙌🙌
Ila nyie watu kuna huyu mtu anaitwa *Titus Alfred* Najua kuandaa Editin zake mazeee aisee sio kitoto ni vibao vya nguvu and they are very generous 😊
😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Utukufu kwa YESU
Kabsa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Bwana asifiwe neema gosple Mungu awabariki sana❤
Love from burundi🇧🇮🇧🇮Ampiano is good vibe
God is Great to us . Napenda sana this Choir 🙏🇹🇿🇹🇷🇸🇸🇱🇾
Getting blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Naona km jeshi la mbinguni liko hivyo hivyo. Mungu wa mbinguni azidi kuwainua. YESU yuko njiani anarudu msizimie moyo. Zidini kumpazia sauti huyu YESU wetu.
Mungu azidi kuwainua kwa utumishi kwa ajili ya kumtumikia yeye
Amen 🙏 🙏
Mungu awabariki sana kweli tunabarikiwa sana nyimbo zenu
Amen
🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 absolutely holy spirit is on me ❤❤❤
Amen
Hii ni Kubwa na Nusu,nina mwanangu hapa alikuwa anaipenda Temprary,ila kwa huu wimbo,namuona kauelewa zaidi,tumeurudia kuusikiliza zaidi ya mara Nne
Waaaw,You are a blessing to this generation. Everything on point, likes from KENYA
🙏 Amen
You're of next generation , kubwa na la msingi kazi isiwe bure mbele za Mungu maana ndo lengo kubwa watu wafurahi na nyinyi muuone ufalme wa Mungu , kama yupo mmoja wa wanakwaya nina soda ya wapiga mziki kuipata tuwasiliane siku moja mkiwa mazoezini amin
Hiii niii motooo permanent neeemaa mmetisha
Mmh. Shetani hivi hivi tunaendelea kumkaribisha ndani ya makanisa yetu. Binafsi najiuliza sijui maujuzi yamekuwa mengi sana,umjini au kuonekana ukisasa zaidi.mmh sitaki kusema mengi lakini tunakoelekea hiiii sidhani
Kiukweli mapigo ya huu wimbo sija........ni vile tu kuzifuhisha nafsi za watu ila si kwa utukufu wa Mungu
Sijui unaishi wapi.. Jitahidi usitoke🙌 maana utakayokutana nayo huko utaacha wokovu huo ulionao
KIJANA MZIKI WA MBINGUNI UNAUJUA UTAKUWA WA AINA GANI...
@@Jojojojojo-w4y hapn lakini maandiko yanaeleza wazi kwamba tusiifatishe dunia
Tumekuwa watu wa kuwafata watu wa mataifa pamoja na miondoko yao.
Why
Unajifariji kwamba muziki wa mbinguni haujulikani ile hari umepewa akiri ya kujua mema na mabaya @@Jojojojojo-w4y
Sasa kivipi
Huu Wimbo Ni Wa Kimataifa Ikiwezekana Uwekwe Kumbukumbu Ya Kizazi Kijacho ❤
😃 😀 😄 😁
Vous êtes ma chorale préférée . Que Dieu vous bénisse. Je vous à partir de Beni en république démocratique du Congo. Soyez bénît
Beautiful people you never disappoint! I love how you praise God He Is A Great God And He's Greatly To Be Praised 👏 🙌 🙏 ❤️ ♥️ 💖🎉👏 🙌
Tuliyorejesha saiv ni permanent BABA Kasema🔥🔥🔥🔥
What a hit song. Nyie watu wa Mungu mmebarikiwa. Tumerejeshewa baada kutabiri, na tukabarikiwa. Sasa zile baraka zimekuwa ni za permanent 😊
Choirs nyinginezo zijifunze quality ya Recording kutoka kwa hawa jamaa, Mixing, Mastering ☑️
I'm really blessed.... 🙏🙏🙏 Kuanzia kwa intro, sijui kama Kuna mwengine amehisi vile nimehisi.... These guys are heavenly singers, salute... 👏👏👏
Amen
Asante Yesu kwa ajili ya Maono ya Watumishi hawa
My best favorite song of August 2024❤
Baraka ni permanent❤
Mbarikiwe sanaaaaaa.ila.angalien nhuo zinabanana.sanaaa.ma.nyinyi ni.barua...
Nashukuru leo nimepata zawadi nzuri sana ya brithday yangu.....Naimba wimbo huu tu leo
Amen
Eiiiiiiish those tunes🔥🔥
Family your amazing 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Mkataba wangu na BABQ wa Mbinguni n PERMENENT ❤❤❤❤aiiiih❤❤
Hakika 🔥 🔥 🔥
Drummer umeua vaibu kama lote👍👍👍👍
🔥
Kazi nzuri sana,tunafuhia sana, Asante
Nyimbo zakuumiza vichwa kutunga ndo zinatakiwa saivi biashara yakua navinyimbo mserereko haitakiwi... wana wa Mungu tunatakiwa tuliteke soko lahuko mitandaon,sio kitu rahisi lakini kwakaz kama hizi naamini inawezekana....
Mungu awatie nguvu muendelee kusonga mbele❤❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏 🙏 🙏 ❤️
Amen amen, Hakika ni Permanent blessings🎉❤
Hakika nimefunga mkataba na huyu mzeee kwa kweli
Ameeen from temporary to permanent 👌👌👌👌
Ooh Glory to God🙌🙌🙌🙌🙌
Powerful 🙏🙏 MUNGU AZIDI KUTUKUZWA KWA MAMBO MAKUU ANAYOTUTENDEA
Mkataba wa baraka ni permanent
Mungu atupe uzima nami siku moja nihuzulie kwenye record yenu kwenye kizazi hiki hiki🙏baraka zake mungu kwetu ni parmenent🔥🔥🔥♥️🙌
Amen
Mkataba WA Baraka Ni Permanent 😘
Afu ctep safar hi ndo kama za chino duh 😮😮😮😮 jitahd kubadilsha kdogo lakn yote Kwa yote MUNGU AWABARIKI SANA Kaz yenu n njema sanaaa❤❤❤❤🎉🎉
🙏🙏🙏🙏 mnajua kuubariki moyo wangu kwakweli
❤️ 😍
Mnanibari sana sasa hii nyimbo everything is good jamani mbarikiwe sana sana
Amen utukufu kwa Mungu
Such a wonderful song, bless up guys 🙏
❤❤❤ mna sehemu yenu mbinguni
Mungu tazama wanao❤
Waaw congratulations 🎉🎉🎉 Neema Gospel choir.
Nimesikiliza zaidi ya mara Tano na nasikiliza na haiishi utam haya Asante I mko vizuri nawapenda sana
Best gospell for realll🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
God is Great to us . Napenda sana this Choir 🙏🇹🇿
Mzidi kubarikiwa sana nyie watu nawapenda, Yesu awatunze na kuwazidishia😘😘😘😘🙏
Amen
Nyimbo inanibaliki Sana nikisikiliza mbalikiwe Sana mlioitengeneza
Mungu kanitendea❤❤❤neema gospel perma nent
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki
Hii kali sana.... Gen Zees well represented.... look at those dance moves wueeeeeh💃👯💃👯💃👯
Waooohhhhh hiii nyimbo kaliiii balaa hongereni sana Mungu awabarikin sanaa🔥🔥🔥
This song was arranged by a scientist💯❤️
The convenant of blessing permanent 🎺🎸🎤🎹🎧 Permanent to the World Permanent
What a song!! My prosperity is permanent
Permanent ni firee,hao kastyle km kawimbo wa big God mmekawezea❤
Nawapenda bure nyimbo zenu huwa zinanibariki mubarikiwe
Eeeish🎉🎉🎉 Si I love you guys...🥰
❤❤❤❤ nawapenda saana
Beats iko sawa kabisa. Inakaa amapiano❤❤❤
Amina
Mbarikiwe Sana
Hakika Mmekuwa Safi Sana
Can't get enough of it..
Nimependa zaidi mlivyorap
Merry umetisha!
Amen
love you all, May God Bless you forever more 🙌🏾🙏🏾❤️❤️
Powerful praise song 🔥 🎵
God is always greatful💥💯
Great Job,
Mbarikiwe God is blessing❤❤❤
Waooooo jaman mungu awabariki Kazi nzur sana❤❤❤❤❤
Ellice Ume fanya vizuri sana from Leandra
Eiiyy jameni mbarikiwe kwa nyimbo huu🎉❤
Amina hakika baraka za Mungu wetu ni za kudumu mbarikiwe sana ❤
Thanks for creating quality gospel
I love this song 💯💯
Love ❤ from the 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kuna mahali ninawaona zidi ya hapa mlipo
mtafika kwa neema ya Mungu.
HAMNA BAYA
Kwangoma hii daaaah .... yaaan alivyovinyang'anya shetan lazima virudi kwawana wa Mungu ngoma hiz zinatakiwa zilie saaaan