#NK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 44

  • @mrdominik7533
    @mrdominik7533 2 месяца назад +1

    NK ni zaidi ya Chuo.

  • @farajajackson1
    @farajajackson1 Месяц назад

    Nmeamua kuhamiaa huku,...❤❤❤

  • @zedikazi7708
    @zedikazi7708 2 месяца назад +3

    Niko live kusubiri knowledge kutok NK

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 2 месяца назад +1

    CTRL + ALT + DELETE = TASK MANAGER
    CTRL SHIFT + ESC = TASK MANAGER
    Very easy

  • @JOLSONSON-t2q
    @JOLSONSON-t2q 2 месяца назад +1

    kaka ahsante

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 2 месяца назад

    Shukrani snaa mwalim

  • @esajackjack3032
    @esajackjack3032 2 месяца назад

    Safi sana❤❤❤😂

  • @BarikiKamara
    @BarikiKamara Месяц назад

    Unaweza kuitumia program/software hii kwenye computer za MacOS

  • @mohamedmafursa5222
    @mohamedmafursa5222 22 дня назад

    Kuna haja ya kudonate maana kwa Tanzania computer haichambuliwi viral hivi najikusanya kwajili ya darasa hii ni nk tunalenga uwe more than professional

  • @mohamedmafursa5222
    @mohamedmafursa5222 22 дня назад

    fundisha pia usable kwenye ram

  • @akontzmichael
    @akontzmichael 2 месяца назад

    sauti yako inakuwa ndogo sana

  • @surekingu5719
    @surekingu5719 2 месяца назад +2

    Inahitaj kuwa online

  • @j-phety3158
    @j-phety3158 Месяц назад

    Nk,hii inafanya online?

  • @idrissamuhina6499
    @idrissamuhina6499 2 месяца назад

    Mwalimu mm ni kirun naambiwa hivi ' to find a version for your PC, check with the software publisher '

  • @gmaxtv1661
    @gmaxtv1661 2 месяца назад +1

    Mwalimu inatumia Gb ngp had kukamilika hii peogram?

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  2 месяца назад

      Kikawaida ni chini ya MB 500 ila hiyo .net ndo kidogo inaweza ikazidisha ukubwa kama huna.

  • @jacksonmajula3515
    @jacksonmajula3515 2 месяца назад

    Teacher ukimaliza kuinstall unarusiwa kuifuta kweny desktop

  • @bahatiluck8640
    @bahatiluck8640 2 месяца назад

    Asante Sana mwl. Sasa baada ya kukamilika Kwa mchakato wote mzima naweza kufungua Tena defender au haina haha Tena?

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  2 месяца назад +1

      Usijali. Bilashaka unaweza kuifungua bali ifungue iendelee na kazi.

    • @ezam255
      @ezam255 2 месяца назад

      ​@@nk-computertraining Hello Ile video ya kupata 1GB per second siion imefutwa ama?

  • @JAMHURI_IMARA-dl4ln
    @JAMHURI_IMARA-dl4ln 2 месяца назад

    Hii program inafanya kazi kwenye sim nakama hapana je? ni program ipi inaweza fanyakazi kama hizi kwenye sim?

  • @dismasthadey2979
    @dismasthadey2979 2 месяца назад

    Duh? ASANTE SANA MWALIM
    NINA SWALI KIDOGO HAPO JUU YA HII PROGRAM JE INAWEZA FANYA KAZI KWENYE MAC?

  • @michaelmsouth45
    @michaelmsouth45 2 месяца назад

    Kaka mim Pc yangu nikifika kwenye hiyo link ya https aingii

  • @jimmyrama248
    @jimmyrama248 2 месяца назад

    dh leo live kaka shida namba yako

    • @nk-computertraining
      @nk-computertraining  2 месяца назад

      Ingia kwenye group letu WhatsApp au Fungua fomu yetu utatupata.

  • @keytwoTZ
    @keytwoTZ 2 месяца назад

    program tulio zima mwazo tulivo maliz kaz apo tuna lusiwa kuwasha au tuachanenayo

  • @mronline2914
    @mronline2914 2 месяца назад

    Kiongozi computer yangu ina disk mbili moja inasumbua ina speed ndogo na pia ina TB 3 ila zinazofanya kazi ni kama TB 1.5