Kompyuta yangu nikiuanza kutype kwa kutumia ms word ukiandika setensi moja inzima inanipa shida sijajua tatizo ni nn na kwa chini imeandika this window is not ginie
Vizuri, tukianza na Windows is no ginuine inamaana windo yako sio Original. Ama kuhusu Word piga picha word yako, tutumia kupitia Wasap, au ingia kwenye App yetu ututumie link zote zipo juu hapo.
Naomba kujiunga na masomo ya computer nifanyaje kujiunga?
KUJIUNGA NA KOZI ZETU mbalimbali au kuwasiliana nasi ingia hapa: myurls.co/nk
Shukran Sana teacher umenisaidia sana
Shukran nawe ndugu, karibu sana
Naxhukuru sana maan umenitoa zero kimasomaso
Nataka kujifunza computer from zero naomba utaratibu na ada
Jaza fomu
Ada zipoje?
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali za Computer ingia hapa : myurls.co/nk
0763336007
Shukran
Shukrani sana akhy
Shukran nawe ndugu
I learn very well
Thank you 😊
Napenda tu unavyo fundisha yani nacheka sanaaa, alf still unaeleweka unaongea lugha ya vijana short and clealy
Hongera sana
Asante
Asante
Good
Pc Yang nikiweka phon aito xauti tatizo nin?
Kompyuta yangu nikiuanza kutype kwa kutumia ms word ukiandika setensi moja inzima inanipa shida sijajua tatizo ni nn na kwa chini imeandika this window is not ginie
Vizuri, tukianza na Windows is no ginuine inamaana windo yako sio Original.
Ama kuhusu Word piga picha word yako, tutumia kupitia Wasap, au ingia kwenye App yetu ututumie link zote zipo juu hapo.
Mimi nataka kufungua library sehemu niliopo je kwa ushauri wako mwalimu nisomee kozi gani? Ili nisichanganye mambo🙏
Somea ICDL jaza fomu
Adobe photoshop
Napenda sana unavofundisha Yan huchoshi kukusikiliza still unafurahisha sanaa😅😅
Asantee
Good brother
Pamoja
Asantee
Mnapatoikana wap?
good day
Nawezaje kuhandika herufi@ kwenye laptop hambayo kwenye kibodi hip lakn nikibonyeza kwenye hiyo Haram hinaleta ' sas naomba usaidz
Bonyeza SHIFT nayo.
Mwalimu muzuri kabisa yani unaeleweka kabisa
Asantee
Tufundishe jins ya kuandika barua kuifadhi kam imelewa
Haya masomo yashafundishwa peruzi channel yetu.
Kwann keyboard zingne hazina namba kama hizo au nazo zina matumiz mengine?
Kutokana na kazi zake hazihitaji Function Keys, hivyo vitufe vinaitwa Function Keys ambavyo ni muhimu katika ushushaji wa windo.
Hellow
Nahitaji kujifunza computer programming. Nina maswali yangu ningependa kujifunza.
Comment namba yako ya Was.
❤
Nikihitaji masomo utaratibu ukoje
Jaza fomu ipo kwenye discreption.
Nikitaka unifundishe Mara kwa Mara naweza kukupt ht wasap au
Yeah sisi tupo WhatsApp, tazama description kujua unatufikaje.
@@nk-computertraining sawh
Natk kujiunga nipe nmba
Tazama Description.
na wekaje program
Tazama somo la program ndo nini?
Niunge kwenye group la masomo yako
Fungua Description utatufika.
Naomba kujifunziaa online teacher
Jaza fomu.
@@nk-computertraining naipata wapi
Kuanzia F6 Hadi F12 zinafanya kazi gan
Zina kazi mbalimbali jiunge na kozi ya Ufundi au subiri tutaandaa somo hilo.
Number ya WhatsApp 0765818478
How join in wassap
Najiungaje whatsap
Naomba lujiunga whatsapp
Link iko kwenye Descriprtion, juu ya comment hapo
no ya whatapp
Jaman nawezaje kujiunga kwenye Hilo darasa Kwa watsap
Naomba kujiunga na group la computer
❤