Masomo ya kompyuta kwa Kiswahili
HTML-код
- Опубликовано: 18 янв 2025
- Jifunze computer software na Hardware kwa kiswahili, Microsoft Office, Website, Graphics Design, Network, Programming nk:
video ya introduction kwa channel yetu kuelezea vitu ambavyo tutavifundisha katika swahili computer.
miaka mingi iliyopita nilitafuta channel ambayo inaweza kunielewesha kuhusu Computer kwa undani lakini sikupata, channel nyingi za computer kwa kiswahili zinafundisha na kuhama topic kuingia kwenye vichekesho laki chanel hii Haiatabadilisha topic zake na kuhakikisha inafundisha vyote vilivyo viongelea kwenye video hii apa.
Tafathali like na subscribe kama wewe ni mdau wa maswala ya Technolojia na computer. hakika utafurahia masomo yetu
Biggerp sana Imekaa poa Hiyo.
Baraka tele ziwafikie Kwa Kutagawia Maarifa Inshaallah 🙏
Big up bro for sharing your knowledge with us...God bless you
Nataka Sana kujifunza hivi vitu
Nimekubali kazi yako iko poa sana may God bless you friend
Natamani Sana kujua hivo vitu nimependa sana
Hongera kijana! Ahsante utatusaidia wengi
Kusema kweli nimependa sana mafunzo yako, natamani nipate namba yako kwa mawasiliano zaidi kwa maswali mbalimbali naitaji nijifunze kutoka kwako
Hii nzuriii sana
Keep de🔥🔥 burning
Asante sana kwa hili course
Tupo pamoja nitarudi nakufundisha vyote nilivyo ahidi kwa Sasa nipo busy kidogo ila soon tutakwenda pamoja..
Kumbuka kusubscribe nathamini uwepo wenu Sana.
Good job
Nirikua nauriza. Masomo yanaanza. Saangap
Nice sir .
Safi sana mkuu nipo tayari kujifunza
Karibu sanaaaa
nimependa sana
Vizury saana mkuu
Kazi kubwa mkuu
Nakaza mkuu!!
@@swahiliComputer Yani uko vizur boc pata Pepsi kwa mangi hapo nalipa
Safi
Habari za Leo mwalimu nipotayari kwa masomo
New subbie here bro . Asante kwa masomo haya
Karibu sana. Nitauoload masomo mapya karibuni.. kaa mkao wa kujifunza zaidi. 😜
Kwani hili somo halina group whatsup
Nice
Mambo vipi
Iko poa
Nashukuru
Kaka ongera kwa uwezo mkubwa wa kufundisha ubarikiwe ila kama utaweza kuandaa somo angalau kila wiki mara mbili ingekua vyema unatusaidia sana 🙏
Asante sana kwa Comment yako.. Nimefurahi kujua Kuna watanzania wanao itaji kujifunza kuhusu computer kiundani zaidi nitaifanyia kazi pendekezo lako nakujitaidi kila nipatapo nafasi kufikiria namna nitaweza kuwasaidia wote wenye uhitaji wakutaka kujifunza computer..
I Appreciate ,👏👏good job , we r together
Hi! Miss
Nataka kujifunza networking ,hapo inakuaje mwalimu,
Una channell whats app😢
Mimi natamani hiyo engineering network
Naitaji kujua mengi kuhusu computer Yani namna ya kuitumia.
Mwalimu sasa masomo unaweza kifundisha live kama tunalipa au utuambie
Brooo mawasiliano yako please
Nikihitaji masomo utaratibu ukoje
Nakukubali Sana bro! Mafunzo ya computer vip mwendelezo tangu nisubscribe, kimya SANA. Au una channel nyingne?
nimependa unafundisha unaeleweka
🔥🔥 🔥🔥 🔥
computer language boss tundelee
Mimi natka kujifunza
Saf
Kuna vingi vya kujifunza kwako
Nahitaji kujifunza
Kujadili misingi mikuu ya kujifunza computer
Naomba namba ya wasap tufanye biashara
AWS unafundisha?
Hapana.! Sio kwa karibuni
Jinsi yakufungua sauti nimeshindwa
TEACHER AYA MASOMO TUNAYAPATA WAPI?
Swali zuri. Kwasasa sijaandaa masomo yoyote maalumu labda kwa ajili ya kuwauzia watu laah!! Nitafundisha vyote hapa hapa RUclips. Na vyote nilivyo ahidi nitavifundisha bila kuacha hata kimoja. Subscribe na usubirie kupata mafunzo apa APA ila kwa Sasa Nina majukumu kidogo ya muhimu yamenibana nikiyamaliza jitawarudia kuwapatia elimu bure.
Inakuaje Kama mmambae aijawhi kutumia
Kaka nashida na python
Asante kwa kuchangia nimeelewa ombi lako. Natafakari namna ninayoweza kuwaelekeza sio we tuu Bali wote wanaohutaji SoMo hlo la python lakini nilazima niwatengenezee misingi Kwanzaa ya computer kabla hatujaanza programming
Sawa kaka tupo pamoja
Mimi mbonanapata somojatu
Naomba msaada ilinipatekujuazaid
Window is loding file ploblem
Wakati wakupiga windows ndio umepata tatizo hili??
Sijaelewa swali lako..!!