ALIEMSAIDI HAJRA ASEMA MAZITO HOSPITALI WAMESHINDWA UPASUAJI TUMWOMBEE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 32

  • @MohdMchezo
    @MohdMchezo Месяц назад +4

    ALLAH akubariki dada ukuzidishie zaidi moyo wa upendo InshaAllah

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 Месяц назад +3

    Wewe dada na mume wako mubarikiwe sana Mungu amijalie maisha marefu na ndoa yenu iwe na maisha marefu hadi muzeheke pamoja

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u Месяц назад +2

    Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu. Uwe na moyo huo huo. Ubarikiwe Sana kwakujitolea kumlea Hajra

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Месяц назад +4

    Mungu akupe imani zaidi wewe Dada Rehema, akupe tarajio la moyo wako. Usimtupe mpaka mwisho wake na wako.😢

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th Месяц назад +7

    Kaka fabii naomba mnunulie mafuta ya habat sauda ajipake mwili mzima mpaka hivyo vidonda na pia mtafutie habat sauda za kusaga au unga ulio sangwa akoroge na uji au achemche hiyo habat sauda anywe,aya tul qursyu kila wakat, Allah atampa shifaa ishaallah 😢😢

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f Месяц назад +4

    Mungu atakulipa dd Pepo itakua makazi Yako🤲

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 Месяц назад

    Mungu atakulipa fadhila yako Dada wala usimuache pekeyake Mungu atakupa Subira🙏🙏🙏

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 Месяц назад

    Mungu hashidwaki na kitu Lincoln shindikana kwa binadamu Mungu anaweza fabiano mwarikishe ku maombi

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 Месяц назад +3

    Waah kwaiyo pesa zimeenda hivyo jaman bila kumtibu 😢😢😢😢

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 Месяц назад +3

      Wanafanya vibaya wanaomba pesa ya oparetio alafu baadae wanasema haiwezekani na pesa hairudi maajabu

    • @Zuuh107
      @Zuuh107 Месяц назад +2

      @hawakiza6067 hii inafaa imfikie mama yetu samia walai sio sawa walivyofanya fab akinyamazia hili bs watakuwa wanafanya hivyo

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 Месяц назад +1

      ​@@Zuuh107kweli kabisa
      Sio tabia nzuri

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid Месяц назад

    Uwe na moyo uwowo dada kwa kuishi nae mungu atakulipa

  • @AminaSaid-o9r
    @AminaSaid-o9r 29 дней назад

    Kaka Fabi naombeni mumpeke hajira Kwa kuhani Musa. Kimara temboni. Atapona

  • @amina3925
    @amina3925 Месяц назад

    Mungu hakubaliki San

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c Месяц назад

    Yarab mponye hajra na umzidishie subra dada wa hiyari wa hajra azidi kuwa pamoja nae wema wake aukute mbele ya haki

  • @shamzone388
    @shamzone388 Месяц назад +1

    Sickle cell disease subhana allah akianza kufanya operation itakuwa kila mara afanyiwe ya mgongo mabegA magoti
    Tunao wajukuu wa dada wangu wapo kigamboni mwaka mara 2 wanasafiri india thailand weshafanya operation zaid 5 na ndio kwanza

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 Месяц назад

    Fabiano kisaka tumia Imani mpeleke kwa kuhani Musa Richard Mwacha kimara temboni atapokea uponyaji kwa bure bila malipo

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli Месяц назад

    Mola akuzudishie uwe na moyo huo huo dada kwa huruma zako na upendo wako wa kumsaidia hajira

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 Месяц назад +1

    Upingamizi uko mkubwa yeye hana msahada nondenominational kwa maombezi kwa mwalimu kuhani Musa Richard Mwacha kimara temboni atapokea uponyaji Fabiano mufanye wepesi .utampoteza Hajira

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Месяц назад

    Mtihani jamani

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад

    Mmh mtihani huu mbona uyu binti anapitia magumi

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Месяц назад

    Na huo ni mtihani wa kuwa kila aendapo kuna daktari mwengine hana daktari maalum

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 Месяц назад

    Mbadilishen hospital jaman hata agakan mpeleken

    • @MohammedSaleh-t5h
      @MohammedSaleh-t5h Месяц назад

      Toa mchango Acha kuandika upuuzi

    • @aishaomary230
      @aishaomary230 Месяц назад

      Wee unaufinyu mdogo wa kufikiria inaonyesha,,, angehamishwa hospital hizi kubwa nyingine za private pengine ngepata suluhisho,,, sasa ataishije na maumivu ma kali miaka yote hiyo Kama hato weza kufanyiwa upasuji unaiamin sana muhimbil,, madoctor wa muhimbili unawajua kwa nyodo zao akikuona ww ni maskin pengine suluhisho lipo angeenda hospital kubwa za private ,,,acha makasiriko pengine ww ndo hata mia huku wah kutoa😅

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад

    Fabii nikupe namba mmpigie aje aombew dua jaman duuh

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад +1

    Wanakula pesa tuy mungu wangu duuh mtihan madoctar mbon wajinga hivo

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 Месяц назад

    Fabi mpe Unga wa mabuyu kijiko kikubwa asubuhi najio mchanganyie kwenye gilas ya maji ya vuguvugu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад +3

    Kwahiyo zilepesa mlixo lipid mliludishiwa. ? Nakwanini msimpeleke kwa Hostazi akaonbewe Dua huyo si Muislam. Mbonamnamchanganya. Msifanye hivyo mpelekebi kwamatabibu wa kisuni

    • @safiyaalmaamari4991
      @safiyaalmaamari4991 Месяц назад

      Mungu akupe Pepo mdogo wango wangu utajitolea kwa ajili ya Allha

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 Месяц назад

    Fabi mpe Unga wa mabuyu kijiko kikubwa asubuhi najion mchanganyie kwenye gilas ya maji ya vuguvugu