BILLNASS AMUOMBA MSAMAHA NANDY KWA KUCHEZA NA MWANAMKE JUKWAANI WASAFI FESTIVAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2023
  • BILLNASS AMUOMBA MSAMAHA NANDY KWA ALICHOKIFANYA WASAFI FESTIVAL
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 22

  • @user-wf2is8nm8y
    @user-wf2is8nm8y 6 месяцев назад +3

    Very proud of you Bill nenga....for being grateful to nandy..❤

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 7 месяцев назад +5

    Nenga ww msomi afu unaskili Mungu akutunze bro

  • @adventinalaurent3999
    @adventinalaurent3999 5 месяцев назад

    Big up nenga❤❤❤ role model❤❤❤

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 месяцев назад +2

    Asanteee billnass kwa kujielewa

  • @MariaNdole-sw4ze
    @MariaNdole-sw4ze 6 месяцев назад +1

    Bora umetambua kuwa musamaha ni kitu kizuri ktk maisha ya wanadoa

  • @Veni584
    @Veni584 7 месяцев назад +6

    Mbona nandy anaigiza na wanaume tamthilia ya huba

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 7 месяцев назад +4

    nandy kwenye Huba hushikwi??? wote hapo mpo kazin.. Ukiona nenga kaja kuomba radhi mtandaon ujue kimenuka😜😜

  • @JoyceAlly-rq1zy
    @JoyceAlly-rq1zy 6 месяцев назад

    Ila watu wa mtandaoni mnapenda kuchochea mambo jmn 😏😥

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 7 месяцев назад +2

    sasa si kazi ama ni makubaliano yao😅😅😅

  • @Feysal-uv6pc
    @Feysal-uv6pc 11 дней назад

    Jamaica mi nimewagombanisha we na nandy bac nandy samahan kwa yote niliyofanya pale jukwaani

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 6 месяцев назад +1

    Nenga akili kubwa napenda sana anavyojieleza msomi msomi tup

  • @herrwin.
    @herrwin. 7 месяцев назад +2

    the moment umekubali lile ni kosa na ukaomba msamaha, ndio umeamsha yaliyo lala,, sikuingine we kataaaa tu mwamba hata iweje 😂

  • @user-ql7ss1vq5t
    @user-ql7ss1vq5t 3 месяца назад

    Bola umetambuwa kos lakoo we ndo mme wa kuigwaa

  • @user-lm3he5eg4g
    @user-lm3he5eg4g 6 месяцев назад +1

    Mbona And unacheza na wanaume????? Acha wivu.

  • @user-qb3hx2ku9v
    @user-qb3hx2ku9v 7 месяцев назад +3

    Ungemuomba msamaha nyumbani au mbka yafike hapa alfu kingine mpo kazini😅

    • @mkaamwinyi
      @mkaamwinyi 7 месяцев назад

      L

    • @khadijayusuph2634
      @khadijayusuph2634 6 месяцев назад +1

      Wachochezi ni hawa waa mitandao

    • @user-qb3hx2ku9v
      @user-qb3hx2ku9v 6 месяцев назад

      @@khadijayusuph2634 umeona ile ni kazi bila ivo pesa haiingii🤷

  • @mwezzireen17
    @mwezzireen17 7 месяцев назад +1

    😂😂😂😂aiya nenga kumbe divyo uliimba weee kwni ulikuwa mlevi au😂😂

  • @mrtallentsgp2623
    @mrtallentsgp2623 7 месяцев назад +2

    Nyie nyie 😂

  • @agnesgeorge6818
    @agnesgeorge6818 7 месяцев назад +3

    😅😅😅😅😅 ndoa! ndoa! ndoa! una hofu ya MUNGU mtazeeka pa21!