Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Wapi likes za wakenya jamani❤
Mbarikiwe mno, nyimbo zenu zimejaza simu yangu.😊
Amina. Mpango wa Wokovu lazima utakamilika siku moja hivi karibuni.
Kutoka Kenya Nakuru ninasema mbarikiwe sana , naomba mnihesabu kuwa mmoja wenu
🎉🎉 Amen nyimbo zenu zinanivutia xna nimekua nimesikiza, sp honger nayo tenor pia bess barikiwa watu wa mungu keep on
Mungu awabariki sana mawaziri wa mfalme wetu Yesu,kwa wimbo wenye ujumbe mzuri,na pia mumeimbia kwenye mazingara ya kuvutia ( Background good)
Amina,nyimbo zenu nyimgi huwa inanisogesa mbele za mungu mbarikiwe sana na BWANA
Deus continue abençoando esse coral! (Bahia-Brasil).
Amina; watu wa Mungu mbarikiwe sana kwa kazi nzuri nasi tunabarikiwa!
Mungu awatangulie mzidi kuliinua jina la Bwana
Nyimbo nzuri kweli mbarikiwe sana...kutoka hapa Kenya sisi ni mafans wenu sana
God bless sana I really love this group from kisii Kenya. I would like to know your teacher kindly. otherwise much ❤❤❤❤
Mungu awabariki kasulu. Nyimbo zenu ni bora sana..... Eldoret......
Amen Amen Hopefully waiting for the d day
Truly we are all waiting for that day AMEN
❤kazi nzuri kabisa habari matumaini
Mbarikiiwe..na.mwende..mbari
Mungu azidi kuwabariki
kenya tuko apo kwa kwaya yetu kasulu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana nyimbo yote location moja na nguo moja mjitaid kubadilisha badilisha kidogo
Jaribu kusikiza massage, zingine achana nazo
Ujumbe mzuri uliokamilika, Music usio na makelele na una vionjo vya original Adventist choirs; uimbaji wa kuhubili, msisitizo na neno lililokamilika katika ujumbe mzima. Hakika ndiyo uinjilist tunaouhitaji. MUNGU AZIDI KUWAPA NGUVU ZAIDI
Barikiwa
Tunashukuru kwa mahubiri kupitia nyimbo na magazine menu Mungu awabariki.
Hakika barikiwen
Amina saana
Mbarikiwe sanaaa 🎉
Glory to God
Hii nyimbo ni mot
Amina
Barikiweni Sana
Amen
Aaaaaamin
❤❤❤
AMEN
H9ngereni kwa huduma naomba kuuliza vop ina account ngapi RUclips
Kuna sehemu nyingine umeona wamepost official videos za nyimbo zetu????
Mpo vizuri but naona video zote ni location moja
Ujumbe ndio muhimu, location haina maana
Nyimbo iko sawa lakini badilizeni mazingira ya shooting video zenu.
Mazingira yako safi sana.
This background is the best
Wahubiri mtakao nipeleka Mbinguni ni nyie nawaelewa sana