Aiseeeh wimbo mzuri, mtamu, umejawa na ujumbe mahususi kabisaaa! Bwana awabariki sana Sisi tulioko mbali tunasubiri Hii Album ya 6 iwekwe Yu-Tube ndio tuipate! Nasubiri na nyingine piaaa Aidha; tuko pamoja saaaaana na V.O.P Kasulu. Bwana awabariki sanaaaaaaaaaaaaaa! Amen!
Alléluia Alléluia Alléluia. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Kila nikiwafuata, nabarikiwa na ujumbe kupitia nyimbo zenu mbalimbali. Muende mbali sana. Naendelea kuwafuatilia vizuri sana kutoka GOMA-DRC 🇨🇩.
Natamani kuwa msabatho na niwe naimba namna hiii kwa YESU raha🙌🙌🙌
Karibu
Usihofu dada karibu uianze safari hii,uwe miongoni mwa watakao mlaki Yesu anaporudi mara ya pili. Waeb 4:9-10
wimbo mzuri na ujumbe wa ajambu
Mumependeza sana mung awabarik.muzid kusonga mbele
Hamjawahi kuwa na show mbovu! Nawapenda mno nanyi mwajua hilo! Ingekuwa ni uwezo ningewasajili kama timu ya mpira
Natamani kua miongoni mwa wadhamini wa kwaya hii. Mungu anijarie uzima na kuzidi kunifungulia milango. Mbarikiwe sana. Mshiriki SDA.
Zidi na kudumu kwenye maandiko nyie watunzi
Naisubiri asubuhi njema tutakapoimba kwa pamoja wimbo wa musa na mwana kondoo
oooh halleluyaaaaa
Jamani mbarikiwe Sana kwa nyimbo zenye mguso
Jesus is same yesterday ,today and forever🙏
Aha hantambula nsansabhije amabega kukamwemwe kalikumtima.
Akagasumo kalansokoye umtima wulabhelejwe mfike mbali ktk huduma.
Barikiweni mnaimba vizuri
Balikiwa sana kasulu kigoma mende mbali Amen
Bonjour bonjour mais cher merci beaucoup que Dieu vous bénisse abondamment
merci
I love you my dear sister s and my dear brothers God bless you very nice 👍🙂 songs
Ooohhhhhh waooooooo!!!!! Be blessed V.O.P Choir, mwende mbali muinuliwe katika viwango vya juu.
I like your music from Zambia
Mungu awabariki
Nabarikiwa Sana na uimbaji wenu
mnanibariki sana,Karibuni Morogoro
MUNGU awabariki Sana tunabarikiwa sana
Calming and restoring. May your ministry grow to always draw many to christ.
Mbarikiwe sana
Aiseeeh wimbo mzuri, mtamu, umejawa na ujumbe mahususi kabisaaa! Bwana awabariki sana
Sisi tulioko mbali tunasubiri Hii Album ya 6 iwekwe Yu-Tube ndio tuipate! Nasubiri na nyingine piaaa
Aidha; tuko pamoja saaaaana na V.O.P Kasulu. Bwana awabariki sanaaaaaaaaaaaaaa!
Amen!
muda simlefu itaruka hewani
Thanks for a good message. Special blessings to the choir!
Amen and Amen
Wow congratulations
Be blessed good song's
Mungu awabariki sana
Mbarikiwe sana watu wa Mungu kwa uimbaji bora wenye mguso wa kipekee hakika barikiwa sana na nyimbo zenu
Amina mtitu,ubarikiwe saana
Big up!!!!
Ujumbe wa Yesu unapenya kwa njia ya uimbaji mbarikiwe VOP
Those guys there doing good I love them
It's a spirational. Song
Mungu awabali waimbaji mzidi kubeba maadili ya kanisa la masalio
Mumgu awabaliki
Kazi Bora Sana. Mungu awe nanyi siku zote
Great work. Amazing
Indeed
amen
Alléluia Alléluia Alléluia. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Kila nikiwafuata, nabarikiwa na ujumbe kupitia nyimbo zenu mbalimbali. Muende mbali sana. Naendelea kuwafuatilia vizuri sana kutoka GOMA-DRC 🇨🇩.
Hongereni kwa kazi Bora na uzinduzi makini najivunia uwepo wa VOP Mungu aendelee kuwainua zaidi.
Vop choir Nice song mungu awabaliki
Asante sana wito wenye hisia na tumaini kuu kwa Bwana wetu
Aminaaa
Mbarikiwe sana watu wa Mungu ninaguswa sana na uimbaji wenu, songeni mbele hadi Mbinguni.
Edwini bhetese ubarikiwe hukopia uriko
Very beautiful
Mbarikiwe Sana watu wa Mungu.
amina mr samwel mwita
Mbarikiwe kwa kazi nzuri
Am not an sda but nawapeda bure ....halafu dame wa saprano natamani we meet....when u come to kenya pliz let me know
Aminaaa mbarikiwe sana nimewamiss sana
God bless you my great choir.i like how decency you are.God fearing choir.Barikiweni siku zote
Aminaaaaaaa Aminaaaaaaa barikiwa sana
Nimebarikiwa sanaaaaa, Mungu awabariki VOP
amina
Loo! Wimbo ni mtamu jamani. Mbarikiwe sana V.O.P
amina
Mungu aendelee kuwatumia VOP🙏
Very nice, hi those dresses are truly showing the love of God, be blessed all.
Lots of Love for your inspiring music full of Message
Wonderful God bless you.
Nice voices God bless all of you ubandantly
Amina
Kongole Kwa kazi nzuri mnayoifanya, MUNGU BABA aibariki kazi yenu,
mungu awafikishe mbali
Bwana awabariki sana msonge mbele.
Great work 🙏🫂
Kasulu barikiweni Sana,nawaomba mkuje huku kenya one time
Amen . I should wait with patience God is in control . You have healed my bleeding wound . Naendelea kusubili na sirudi nyuma . God bless you
Jesus never fails, anajibu kwa wakati jipe moyo mkuu na amini atatenda.
Amen
Ameen and Ameen, be blessed abundantly.
Restoration of God's gospel music
Amen be blessed
🎉
The best song ever. I love you VOP
Nice song
Welcome again pipeline Adventist church Nairobi
Welcome back to Kenya next, ningependa kualika kanisa la nyumbani kitale chebarus nitawapataje mnisaidie namba yenu
Nyimbo zenu zinabariki sana na wenye mguso
Very inspiring. VOP one of my best blessing songs. May God empower you more in proclaiming the three angels message.across.the whole world
Praise be to God
Wow, so sweet
Miaka 38......,
Amen
Amina