HOTUBA YA UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2024/2025.
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe.Erasto Mpete amefungua mkutano wa baraza la Waheshimiwa madiwani unaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya mji Njombe.
Katika mkutano huo wajumbe watajadili taarifa za kamati mbalimbali kwa maendeleo ya Halmashauri kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025.