NJOMBE TC
NJOMBE TC
  • Видео 193
  • Просмотров 22 201

Видео

MEDDA: AJIRA MMEPATA ZINGATIENI UADILIFU ,TARATIBU NA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA.
Просмотров 247 часов назад
MEDDA: AJIRA MMEPATA ZINGATIENI UADILIFU ,TARATIBU NA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA.
MAFUNZO YA GoThoMIS IDARA YA AFYA YAFUNGWA UADILIFU WASISITIZWA.
Просмотров 199 часов назад
MAFUNZO YA GoThoMIS IDARA YA AFYA YAFUNGWA UADILIFU WASISITIZWA.
MEDDA:MIKOPO SIO SADAKA /ZINGATIENI MALENGO YENU NA MKAITENDEE HAKI.
Просмотров 519 часов назад
MEDDA:MIKOPO SIO SADAKA /ZINGATIENI MALENGO YENU NA MKAITENDEE HAKI.
BILIONI 1.8 ZATOLEWA KWA WANAWAKE ,VIJANA NA WALEMAVU NJOMBE TC
Просмотров 179 часов назад
BILIONI 1.8 ZATOLEWA KWA WANAWAKE ,VIJANA NA WALEMAVU NJOMBE TC
MAHENGE:NENDENI MKAZITUMIE FEDHA HIZI KUBADILI UCHUMI WENU
Просмотров 379 часов назад
MAHENGE:NENDENI MKAZITUMIE FEDHA HIZI KUBADILI UCHUMI WENU
WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA 10% NJOMBE TC WAISHUKURU SERIKALI
Просмотров 269 часов назад
WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA 10% NJOMBE TC WAISHUKURU SERIKALI
TUNAUZA MAENEO YA UWEKEZAJI NA MAKAZI,MITA MOJA YA MRABA INAANZIA TSH.700.
Просмотров 24014 часов назад
TUNAUZA MAENEO YA UWEKEZAJI NA MAKAZI,MITA MOJA YA MRABA INAANZIA TSH.700.
KUPANGA,KUPIMA NA KUMILIKISHA ARDHI NI ZOEZI ENDELEVU,KLINIKI ZA ARDHI ZINASOGEZA HUDUMA KARIBU YAKO
Просмотров 30116 часов назад
KUPANGA,KUPIMA NA KUMILIKISHA ARDHI NI ZOEZI ENDELEVU,KLINIKI ZA ARDHI ZINASOGEZA HUDUMA KARIBU YAKO
DC SWEDA ASHIRIKI IBADA KKKT NJOMBE,ASISITIZA WANANJOMBE KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA BIDII.
Просмотров 9619 часов назад
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Juma Sweda,Tarehe 2,Februari 2025 ameshiriki ibada katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini, Usharika wa Kanisa Kuu Njombe, ambapo alipata fursa ya kujitambulisha rasmi kwa waumini na viongozi wa dini kama kiongozi mpya wa wilaya hiyo. Katika ibada hiyo, Mhe. Sweda alieleza kuwa amehamishiwa Wilaya ya Njombe kufuatia mabadiliko ya...
TUMEANZA VIZURI USIKOSE HII KILA IJUMAA.
Просмотров 249День назад
Watumishi wa makao makuu ya halmashauri ya mji Njombe leo baada ya muda wa kazi wamejumuika kufanya mazoezi ya pamoja ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuboresha afya za watumishi kwa kufanya mazoezi kila ijumaa na jumamosi ya mwisho wa mwezi ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukizwa kama magonjwa ya moyo na uzito uliozidi.
HOTUBA YA UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2024/2025.
Просмотров 235День назад
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe.Erasto Mpete amefungua mkutano wa baraza la Waheshimiwa madiwani unaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya mji Njombe. Katika mkutano huo wajumbe watajadili taarifa za kamati mbalimbali kwa maendeleo ya Halmashauri kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025.
TUMEJADILI KWA KINA,TUENDELEE KUSHIRIKIANA KUHAKIKISHA MIRADI INAENDELEA KUTEKELEZWA KATIKA UBORA .
Просмотров 54День назад
TUMEJADILI KWA KINA,TUENDELEE KUSHIRIKIANA KUHAKIKISHA MIRADI INAENDELEA KUTEKELEZWA KATIKA UBORA .
UTEUZI WA MKUU WA IDARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI H/MJI NJOMBE WAPITISHWA.
Просмотров 90День назад
UTEUZI WA MKUU WA IDARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI H/MJI NJOMBE WAPITISHWA.
WANANCHI JITOKEKEZENI KWENYE KLINIKI YA ARDHI MTAA WA KAMBARAGE
Просмотров 201День назад
WANANCHI JITOKEKEZENI KWENYE KLINIKI YA ARDHI MTAA WA KAMBARAGE
DKT.SAMIA,AWAKARIBISHA WAGENI KATIKA MKUTANO WA NISHATI UTAKAOFANYIKA DAR ES SALAAM.
Просмотров 18314 дней назад
DKT.SAMIA,AWAKARIBISHA WAGENI KATIKA MKUTANO WA NISHATI UTAKAOFANYIKA DAR ES SALAAM.
SIYO MAZOEZI PEKE YAKE TUTAKUWA NA MICHEZO KILA WIKI KWA WATUMISHI.
Просмотров 13814 дней назад
SIYO MAZOEZI PEKE YAKE TUTAKUWA NA MICHEZO KILA WIKI KWA WATUMISHI.
BADILI MTINDO WA MAISHA,FANYA MAZOEZI KWA AFYA.
Просмотров 16714 дней назад
BADILI MTINDO WA MAISHA,FANYA MAZOEZI KWA AFYA.
WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI, FANYENI KAZI KWA WELEDI NA KIJITUMA.
Просмотров 105Месяц назад
WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI, FANYENI KAZI KWA WELEDI NA KIJITUMA.
CHANGAMOTO ZETU ZIMETATULIWA,UTALINGOLO TUNASEMA ASANTE - MHE.MPETE.
Просмотров 68Месяц назад
CHANGAMOTO ZETU ZIMETATULIWA,UTALINGOLO TUNASEMA ASANTE - MHE.MPETE.
KAMATI YA FEDHA YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI WIKICHI
Просмотров 242Месяц назад
KAMATI YA FEDHA YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI WIKICHI
WATENDAJI NGAZI YA KATA WAPATIWA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA
Просмотров 56Месяц назад

WANANCHI TUJITOKEZE KWA WINGI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA .
Просмотров 73Месяц назад
WANANCHI TUJITOKEZE KWA WINGI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA .
TAZAMA MANDHARI YA SOKO KUU NJOMBE.
Просмотров 127Месяц назад
TAZAMA MANDHARI YA SOKO KUU NJOMBE.
HATUWEZI KUVUMILIA UKATILI UNAOFANYIKA /UKIBAINIKA UTAWEKWA HADHARANI :MTAKA
Просмотров 40Месяц назад
HATUWEZI KUVUMILIA UKATILI UNAOFANYIKA /UKIBAINIKA UTAWEKWA HADHARANI :MTAKA
ZINGATIENI USAFI MAMA LISHE KWENYE MAENEO YENU :MTENDAJI KAMBARAGE:
Просмотров 36Месяц назад
ZINGATIENI USAFI MAMA LISHE KWENYE MAENEO YENU :MTENDAJI KAMBARAGE:
MAKALA YA UTEKELEZAJI WA ILANI JIMBO LA NJOMBE MJINI
Просмотров 222Месяц назад
MAKALA YA UTEKELEZAJI WA ILANI JIMBO LA NJOMBE MJINI
MHE.MPETE : TUKAHAMASISHE WANANCHI KUFANYA UTALII WA NDANI.
Просмотров 56Месяц назад
MHE.MPETE : TUKAHAMASISHE WANANCHI KUFANYA UTALII WA NDANI.
MHE.MPETE :TUMEJIFUNZA MENGI KATIKA MANISPAA YA MOSHI,TUTAYAFANYIA KAZI.
Просмотров 59Месяц назад
MHE.MPETE :TUMEJIFUNZA MENGI KATIKA MANISPAA YA MOSHI,TUTAYAFANYIA KAZI.
KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE YAFIKA ENEO LA MAAFA MSETE.
Просмотров 1722 месяца назад