MHE.MPETE : TUKAHAMASISHE WANANCHI KUFANYA UTALII WA NDANI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe Erasto Mpete baada yakumaliza ziara ya utalii katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire ametoa wito kwa waheshimiwa madiwani wote wa Halmashauri ya Mji Njombe, kuwa mabalozi wakutangaza na kuhamasiaha wananchi kwenye maeneo yao kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatika nchini Tanzania

Комментарии •