Prof J ndo mbunge wa chadema aliekuwa akisimama anaongea point Moja kwa Moja kwa matatizo ya wananchi ukiachana na sugu na Lema wao walikuwa wakisimama ni lawama lawama matusi kwa serikali, big up Mh Prof J, mm Nilikuwa nakupenda Sana kwa nyimbo zako
Nafikili bro ulichelewa maana kuna wabunge tuliwapa kura zetu za buree kabisa walikua wanalala tu bungeni lkn wewe sasa kilosa itabadilika hongera sana bro prof jay mungu atakuongo utafanikiwa kututoa hapo tulipo
Professor J ,tafadhali njoo mbunge ya Kenya Kwa mkopo,aghalabu utusaidie kwenye eneo mbunge LA Embakasi south, tulimchangua mbunge Kwa jina mawathe,walakini tangu apate kiti ajawai onekasa tena
safi Jay wabunge wa upinzani wote wapo on point lakini ccm wapo off point yaani Ni mizigo ya takataka kazi yao wao kuitetea serikali tuu hawawwtetei wananchi kabisa safi Jay big up muendelee kutuwakilisha ipasavyo
Huyu jamaa saizi aliangushwa hakupata ubunge tena nahisi sababu ya msingi ni kwamba alikuwa chama pinzani (CHADEMA) yani hilo tu ila sio kwamba hakufaa .Naongea kutoka kenya , naomba ndugu zangu mchague viongozi msichague vyama manake mnakosa viongozi wazuri
Huyu mbunge analielewa.... Anaenda direct kwenye shida za wapiga kura wake.... Keep it up
Wa mitulinga mchawi wa rhymes mti mkavu. Huyo ndio professor J bhana big up sana
Duh .viva Nashukuru macho yangu 2 hayana upofu na mdomo upon wazi kukemea mambo maovu siku inapofika naona kina ma....duh
Salaam babu na bibi .....
safi sana tunawategemea sana wapinzani ndani ya bunge na nje ya bunge
Hii ndio maana halisi ya kuwa mwakilishi wa wananchi.....! Big Up profesa jay
Prof J ndo mbunge wa chadema aliekuwa akisimama anaongea point Moja kwa Moja kwa matatizo ya wananchi ukiachana na sugu na Lema wao walikuwa wakisimama ni lawama lawama matusi kwa serikali, big up Mh Prof J, mm Nilikuwa nakupenda Sana kwa nyimbo zako
Waaah huyu Ni prof.....like zake 💪
Walah nakukubali sana prf j natamani ningekuwa mikumi nigekupa kura yangu
Pacha wa Sugu ni hatare,Gonga like hapa kama umeikubali RAP ya professor j
Shadrack Mwelela
Alistahili muda wa kutosha Professor J, pole na hongera sana J.
@@seifissa9334
Safi
Saf
Nasikitika sana professor j na Peter msigwa kukosekana bungeni
Tangu nimeanza kumfahamu profesa J hajawahi kunikosea 🔥🔥🔥🔥
Kukosea kakosea ila ww hujui wap kakosea hakuna bnadam mkamilifu ila J yuko vzur
Same
Nafikili bro ulichelewa maana kuna wabunge tuliwapa kura zetu za buree kabisa walikua wanalala tu bungeni lkn wewe sasa kilosa itabadilika hongera sana bro prof jay mungu atakuongo utafanikiwa kututoa hapo tulipo
My favorite rapper kutoka ka Tanzania. Professor atatangaza mpira poa sana
Safi Prof Jay,uwakilishi mzuri wa masuala yanayohusu jamii yako,piga kazi,hilo ndo limekupeleka bungeni,thumb up
Pow sanaaaa
Ongera sana prof Jay kwa dakika chache ila hoja yako nia kujajili kwa masaa kwa wabungu wengine I like that
Asante Kaka Tupiganie wana Mikumi
Professor J ,tafadhali njoo mbunge ya Kenya Kwa mkopo,aghalabu utusaidie kwenye eneo mbunge LA Embakasi south, tulimchangua mbunge Kwa jina mawathe,walakini tangu apate kiti ajawai onekasa tena
mwanamziki mzuri mwanasiasa mzuri nice job
Gonga Like kama Unamkubali Prof. J wa Mitulinga.
Fala tuhuyo
@@kulwaswetu4457 kafirwe mbele
Jasiri aachagi asili👍👍👍👍@profJay
I like your stly ...big up ua more than prof......!!!!!"elimu dunia ni muhimu kuliko zile za PhD za darasan
safi Jay wabunge wa upinzani wote wapo on point lakini ccm wapo off point yaani Ni mizigo ya takataka kazi yao wao kuitetea serikali tuu hawawwtetei wananchi kabisa safi Jay big up muendelee kutuwakilisha ipasavyo
hujawahi niangusha prf jay BG up mzee baba
Nimeipenda Sana. Namimi naitaji sapoti yenu. Namimi pia nimwanamuziki wa bongo freva
Hongera mheshimiwa kwa taluma yako nzuri
NANI YUKO HAPA BAADA YA UCHAGUZI 2020? BUNGE LA TZ LITAPOOZA SANA
Aki huku Kenya wabunge hawaongei chochote kinachohusu wananchi..wanaongelea tu mambo yao..
Mtupee Proff.Jay Wa Mitulinga tuwapee wabunge wetu 400
Kama hunamwelewa huyu gonga like
Jay hata uumpe dk3 ataongee points tupu na kueleweka sana!!
Kama unaangalia 2020 gonga like hapa
He can be the best president ngoga like
Huyu jamaa ni nouma big up kwako kaka mkubwa
🇰🇪🇰🇪Kenyans are here to support the motion no to propose King Prof.Jey
My favorite musician..
Wakenya, gonga likes hapa
Professa mwenye phd yake kichwani❤️❤️atari
Nakupenda sana pr j
Akiongea naona kama anaimba tu yaani hii sauti nimeizoea na beat🔥🔥🔥
kama ana rap
Love prof j from burundi
Mungu akuponyee kamanda
Hongereni watanzania kwa kujichagulia kiongozi huyu ambaye alizaliwa na uongozi ndani yake...
Wow 👏. Bunge tamu na hii rap
yupo vizuri sanaaaaaaaa
Wamitulinga💪💪💪
Big up sana
Talanta imetumika vyema hapo, hongera Prof Jay
Yechu
Nakukubali sana Mh. SUGU tema cheche baba makamanda mko SAWA
Kiongozi utamjua2 songa mbele!!!
uko vzur profesa jay
Asante sana baba
Professa kam professa.. fantastic man
safi sanaa Prof.J""!!
Ni msomi, Hawa ndio wabunge tunaowahitaji,
Nakukubari profesa umetia fora
hawa ndo walikuwa wabunge lakin mfumo wa taahira umewatoa 2020
Namkubar haule Joseph pamoja sana!!!
Huyu jamaa saizi aliangushwa hakupata ubunge tena nahisi sababu ya msingi ni kwamba alikuwa chama pinzani (CHADEMA) yani hilo tu ila sio kwamba hakufaa .Naongea kutoka kenya , naomba ndugu zangu mchague viongozi msichague vyama manake mnakosa viongozi wazuri
Mungu akusimamie
Ndo rahaa kuwa na wabunge wasomi chadema safiii
Mhhh Kwli ni profrsa
Million 600 Imepigwa
Anaemukubal jay gong like hapa
Nimekukubali Mhe Profesa jay
Wewe iro jembe mungu ampe nguvu profesa j
Xana kaka mikum mna bahaty xana hongeren xana profesa j anawapigania xana bungen
Ndio mzeeee
Saaaf saana mbunge wangu
Vzr Sana.mtaani na sasa ndani ya mjengo kisawa saw.bab k.
Namkubali sana Pr. Sema Pr
Umetishaaa professor jay
Tbt za kibongo ....tamu sanaa
"Huyo ndo profesa cyo wale wanatoa mapufu tuu!!
Professor wa lugha. Nomaaa
Safiiiiiiiiii nimeipendaaaa
😂😂😂😂😂😂👅🔥🔥🔥🔥🔥🔥 dah bado upo poa kweli profesa
Kaka mungu akuponye aise
Hongera Mbunge wa Binadaam na Wanyama.
wonderful
Mungu akupe shifaa
That Kiswahili is flowing. Damn!
Hapo safiii sana pro
big up ✌👍 😅😅hip hop popote baba
Hatari sana, nakukubali pro j
Professa Jay for President.
nakukubalii mjomba
Hapo sasa fro nakuamiania sana
U r the best prof wish u b prezo
jamaa wa upinzani hua hawabahatishi,lakini upande wawapiga makofi na ndiooooooooo vichwa zeeeeeeeroooooiiiiiiiiiiibadiliken sasa tunawajua
Sebastian Ngimba ,uko sawa kabisaaaaaa, hao wengine ni vibogoyo tu.
safi sanaaaaaaaa
I appreciate u
Safi Sana j wamitulinga
Nakubali mzee
Very nice pr j
uko vizuri zana prof.jay
hahaha yani n km dakika 10 za maangamizi zimehamia bungeni now, heshima kwko profesa.....
BIG UP PRF
Fresh
Asante mh profeser
kumekucha kumekucha🏃🏼🏃🏼
Professor rapper ni rapper kweli
uko pw sana....profsa j
kali sana hii
Kauli ni kwamba kama uko mwana bunge mpinzani inakuwa ni shida kutimiza ombi lako araka mbele ya bunge,ila kukupiga chenga njo jibu lako!!!
Huyu jamaa akisimama kuongea atafutiwe na producer kwa ajili ya kumwekea na biti. Maana naona kafloo kavkav tu bila biti.
noma sana huyu kaka
Ni kama masihara vile ila ndani ya masihara kuna bonge la point
Bonga point????