Mawaidha yanaanza na mzungumzaji kwanza ,na mashekh hawataki waongezeke ili wabaki wao .wakitokea wengine roho zinawachoma na kupiga mafumbo ,lkn ukweli iko pale pale tu.ALLA HUMPA AMTAKAE NA HUWEZI KUMFUATA ALIYEKUTANGULIA IKIWA MANHAJ YAKE HAIKO SAWA,AFUATWE MTUME SAW
Masheikh wote pangeni tuonane tuongee.haya makumbano yenu yote. Niwapeni ufafanuzi katika kila nyanja. Mtawaidhika na kuelimika. Mimi ni mmoja katoka kwa aliye mmola. Si mwanafunzi miongoni mwa wanafunzi wenu.ninaelimu kutoka kwa mwenye elimu juu yetu. Nina majibu katika kila nyanja. Nina habari maalum kwa nyakati hizi za mwisho, kuwa kila mtu apate kujuuwa ukweli maana dunia i.eanza sagarii yake. Darili zipo lakini hamzijuwi ni aweka wazi na kurejea kwa Nabii Isa huenda msimjuwe kwa Mujibu wa taratibu ila kwa iimani. Maana kushuka maana yake ni kuzaliwa. Mwenyezi Mungu ameshusha Mitume katika idadi kaadha, je nani aliye muona Mtume akishuka na uwingu? Njooni nahitaji sana kwanza kuongea na viongizi wa Dini mimi ni .mwalimu falam min ahadullah niwe mwalimu kwenu kuwapambanulia katika yale mnayo hitirafiana .karibuni tunaenda kwenye hukumu . siwadanganyi .Mtwawaidhika na kuelimika ili kusije kuwa na hoja siku hiuo mbele za Mola kuwa hatukuwa tunajuwa. Khatami wasira fi kurubinallah. Nina kweli tupu,maswali yenu yote leteni kwangu. Nahitaji maswali zaidi ya 100,000 kwa siku ila vigezo na masharti utulivu vizingatiwe.nahitaji viongozi kwanza 0784417511 nina lugha ya kiarabu original Allah amenifundisha kwa nukta moja kuonyesha uweza wake.
@@SheikhHassanMussa SHEKH KISHKI ALIBAINISHA UTAPELI WAKE NA KUMWAGA UGALI WAKE NA UGALI WA MASHEKHE FEKI NDO MAANA KAMUWEKA HAPO KUDHANI LABDA MZIWANDA ANAMWAMBIA KISHK KUMBE ANAAMBIWA YEYE MWENYEWE .MTOTO WA MIAKA 19 HAHAHAHA JAMAN UONGO FANI
Mawaidha yanaanza na mzungumzaji kwanza ,na mashekh hawataki waongezeke ili wabaki wao .wakitokea wengine roho zinawachoma na kupiga mafumbo ,lkn ukweli iko pale pale tu.ALLA HUMPA AMTAKAE NA HUWEZI KUMFUATA ALIYEKUTANGULIA IKIWA MANHAJ YAKE HAIKO SAWA,AFUATWE MTUME SAW
Masheikh wote pangeni tuonane tuongee.haya makumbano yenu yote. Niwapeni ufafanuzi katika kila nyanja. Mtawaidhika na kuelimika. Mimi ni mmoja katoka kwa aliye mmola. Si mwanafunzi miongoni mwa wanafunzi wenu.ninaelimu kutoka kwa mwenye elimu juu yetu. Nina majibu katika kila nyanja. Nina habari maalum kwa nyakati hizi za mwisho, kuwa kila mtu apate kujuuwa ukweli maana dunia i.eanza sagarii yake. Darili zipo lakini hamzijuwi ni aweka wazi na kurejea kwa Nabii Isa huenda msimjuwe kwa
Mujibu wa taratibu ila kwa iimani. Maana kushuka maana yake ni kuzaliwa. Mwenyezi Mungu ameshusha Mitume katika idadi kaadha, je nani aliye muona Mtume akishuka na uwingu? Njooni nahitaji sana kwanza kuongea na viongizi wa Dini mimi ni .mwalimu falam min ahadullah niwe mwalimu kwenu kuwapambanulia katika yale mnayo hitirafiana .karibuni tunaenda kwenye hukumu . siwadanganyi .Mtwawaidhika na kuelimika ili kusije kuwa na hoja siku hiuo mbele za Mola kuwa hatukuwa tunajuwa. Khatami wasira fi kurubinallah. Nina kweli tupu,maswali yenu yote leteni kwangu. Nahitaji maswali zaidi ya 100,000 kwa siku ila vigezo na masharti utulivu vizingatiwe.nahitaji viongozi kwanza 0784417511 nina lugha ya kiarabu original Allah amenifundisha kwa nukta moja kuonyesha uweza wake.
Anaetunza ndie yanayomhusu mawaidha hayo mashekhe na madharifu feki weka wazi shekhe
Anaetinza ndie yanayomhusu haya maneno khekhe weka wazi
Acheni Kupotosha Watu Sasa Picha Ya Sheikh Kishki Inafanyaje Hapo
@@SheikhHassanMussa SHEKH KISHKI ALIBAINISHA UTAPELI WAKE NA KUMWAGA UGALI WAKE NA UGALI WA MASHEKHE FEKI NDO MAANA KAMUWEKA HAPO KUDHANI LABDA MZIWANDA ANAMWAMBIA KISHK KUMBE ANAAMBIWA YEYE MWENYEWE .MTOTO WA MIAKA 19 HAHAHAHA JAMAN UONGO FANI
@SalhaAlly-x8q Namshukuru Kwa Kuelewa Hilo