Don’t say that bruv coz kwa saiv Kenya ao artist wakubwa wanaapreciate kitu kinachofanywa na wasanii wa Tanzania Watu kama hawa wanakua sio wasanii ni watu wa funny tuu Note this
Hakuna sekunde ambayo nimeitazama bila kutabasamu ukiachilia mbali kucheka. Kipaji cha kufurahisha si kulazimisha bali kufanya kile ulichonacho katika uhalisia wake. Big up Majanaba.
Nimevutiwa sana na huyu jamaa kitu kimoja tu, mwaka jana alishiriki lakini hakupata nafasi ila mwaka huu amekuja tena licha ya kuwa alishindwa na kuonekana kama kituko tu. jambo jema la kujifunza ni hili tusikate tamaa na ndoto zetu hata kama tumekutana na kikwazo kikubwa kiasi gani simamia unachokiamini, dunia isikuyumbishe wala uvumi wa maneno usikutoe mahali ulipo. Bruce Lee aliwahi kusema, nanukuu " mtu mwenye hekima anaweza kujifunza kitu kikubwa kwa maswali ya mpumbavu kuliko mpumbavu kwa mwenye hekima" hiyo ikawe tafakari yetu sisi Vijana ambao kila siku mpya tunakuja na mipango mipya isiyotekerezeka.
Chezea mtu wa Arusha , yani aongee bure watu wacheke bure apoteze muda wake kwenye kamera akalale njaa wakat muuliza maswali hela inaingia? Ana akili sana na ndio zetu
Mimi ni Mkenya lakini Tanzania mna talent.. 👍
Sante san kwa kuappriciate
Don’t say that bruv coz kwa saiv Kenya ao artist wakubwa wanaapreciate kitu kinachofanywa na wasanii wa Tanzania
Watu kama hawa wanakua sio wasanii ni watu wa funny tuu
Note this
😂😂😂
😂😂😂
Mkenya wawapi?
Kumbe anaweza kuimba endapo atajifua lkn aimbe kiswahili anaweza kwani kuna mwingine amemuelewa kama mimi kwakuimba nyimbo ya kiba like twende sawa
KAMA UMEMSIKIA HUA ANAKULA MAHINDI YA KUKAANGWA KISADO KIMOJA BASI GONGA LIKE TWENDE SAWA
👒😁😁😁👒🤣😇😇😇🤣😁🤣🤣🤣
Gonga like kama umeirudia zaidi ya Mara moja .......
Achana na manzese ya kule daresarade😂
Kama umesikia hiyo honga like.
Daresaladeeee
Alieona meno ya lily wayne aguse like button apa 😅
We Masha umenchekesha eti meno ya lily Wayne 😂
Haaaaa
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁👒😇
@@shebaminde7656 ninatoka🇧🇮🇧🇮rakini umenichekesha kinoma yaani nimecheka yote eti meno yani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nguyu turamuzanye!!! Uramukunda? Reba iyi Video ukore Share unatange COMMENT, ni Sudi MAVENGE!!! ruclips.net/video/k6zkFX1QSXA/видео.html
KARIBU KWENYE CHANNEL HII KUSIKILIZA VISA NA MIKASA YA KUSISIMUA..YA KWELI NA YAKUFIKIRIKA -
BOFYA ruclips.net/user/SwahiliSHORTSTORIES
Kweli leo alikuwa amepooza! Safi Sana kwa mtangazaji kumuwezesha! Ubarikiwe!
Bless your heart mtangazaji angalau umemtoa atapata cha kucgangamsha kidogo awwww so nice of you
Wakenya wako wapi...kama umetambua pia tanzania wanakula bangi sana pita na like
Hakuna sekunde ambayo nimeitazama bila kutabasamu ukiachilia mbali kucheka. Kipaji cha kufurahisha si kulazimisha bali kufanya kile ulichonacho katika uhalisia wake. Big up Majanaba.
Mdogo wangu sijapata utaalamu😂😂😂😂
Mshikaji umemuelewa na kihispanyola chake gonga like basi...
Nimevutiwa sana na huyu jamaa kitu kimoja tu, mwaka jana alishiriki lakini hakupata nafasi ila mwaka huu amekuja tena licha ya kuwa alishindwa na kuonekana kama kituko tu. jambo jema la kujifunza ni hili tusikate tamaa na ndoto zetu hata kama tumekutana na kikwazo kikubwa kiasi gani simamia unachokiamini, dunia isikuyumbishe wala uvumi wa maneno usikutoe mahali ulipo. Bruce Lee aliwahi kusema, nanukuu " mtu mwenye hekima anaweza kujifunza kitu kikubwa kwa maswali ya mpumbavu kuliko mpumbavu kwa mwenye hekima" hiyo ikawe tafakari yetu sisi Vijana ambao kila siku mpya tunakuja na mipango mipya isiyotekerezeka.
Ishii xanaa mzee
Fact tyupuu Adrian
pamoj sn
Hakika
Asantee
Rasta mwenye nywele mchmbuko😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Nywele chambuu🤣🤣🤣👐
😀😀😀😀
@Esperance Sumaili kweli kabisa 😍
"Me ni rasta mwenyew nywele mchambuko"
😂😂😂😂😂😂
Alikiba njoo uchukue mtu wako huku 😂😂😂
Utajua t
Umeona eee😂😂😂🤣🤣
😂😂😂
Huyu jamaa ndio ametuletea msemo wa na nusu Kama hubishi weka like
Kuna watu wa Arusha alafu Kuna wenye Arusha Yao Sasa😂😂😂
Iyoo kweliii haaahahhahaa
Kabisa😂😂
Uyu ndo mwenye arusha
Umeona eeee
Wameru wenzangu mpooo....aloskia maboboroo gonga like twende sawa...😅
Kanikumbusha mbali sana😂😂😂😂
Mbee jamaa ulya anshikumburusa maboboro!
Kipaji walai yeye unibamba na hizo meno Kama za lil Wayne ,big up Ayo Tv ,Kenya mwakaribishwa
i love him. he can do comedy and shine from +254
Rasta mwenye nywele mchambuko, Dah asee hii ni talent kubwa sana
*Mtangazaji:* _Leo unashiriki kwenye mashindano?_
*Kidela:* _Kwakweli ntajaribu kushiriki_
😂😂😂
Huyu mtangazaj noma ndiye aliyeibua hizi talent za Arusha
Wapo vizuri Sana Arusha.......
Rasta nywele mchambuko 😂😂😂
Hii dunia sii yetu kidela 😂😂😂
My home town A... Toooownnn
😂😂😂😂😂😂
Ooh meen🙈I just looove this guy🙈🥰
I love the guy he's so really 😂😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣, I am literally rolling ,Huu mkoa uuzwe tu kila mtu apewe kama ni jero au buku buku zao wasepe
😂😂😂 Kweli asee jomba
Glorious mwehu ww😂😂😂
ruclips.net/video/DtTJ3v6mTR0/видео.html🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@officialkhantz785 Salam kwako Ibra konde gangruclips.net/video/DtTJ3v6mTR0/видео.html
🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaah Yuko vizur anahitaji mtu anaeye husika na ushauri wakaribu... Wanao omba Ayo TV wahusike na afya ya akili ya uyu jamaah aacha like
Mimi hao walioshinda BSS hata siwajui namfahamu tu Makuba all the time😄😄 huyu ndo mshindi wangu.
Yeh baba🔥
Kumbe hata wewe umeona kwamba king hana mpinzani 😂😂👌
Ndugu upo.
Best interview kati ya za Millard
Mwamba katisha🔥🔥
Ichukuwe kaipost kwenye acout ya 👑 music
Mnulie ata 📻 sasa
Hii video nimei watch zaidi ya mara kumi mpka nimeamuwa nii download 😂😂😂😂 from 🇧🇮 muogope Mungu we kidela 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahhaahah Eti hiii mpya mimi sina hata kiredio geto mpaka nipete bar kushangaaaa jamaaa katishaaa😀😀😀😀
Nifanyie vibe interview inoge
Chezea mtu wa Arusha , yani aongee bure watu wacheke bure apoteze muda wake kwenye kamera akalale njaa wakat muuliza maswali hela inaingia? Ana akili sana na ndio zetu
I love this guy he is so funniest.
Eminem akimskia ataacha mziki..
Lakini vyema kutambulika dunia kwote, big up eminem
Muogope Mungu we kideraa😂😂😂😂
Nywele mchanganyiko katisha sana gonga like kama umemkubali
Kwani hii dunia ni yetu? Kwani hii dunia ni yetu!?? Muogope Mungu we Kidela
Jamaa anamkubali sana
KING KING KING KING
Chuga nawakubali sana,
Daah huyu jamaa ni nyoko sanaaaa,😂😂😂😂
Jamaa ni comedian mzuri sana🤤🤣
Huyuuu jamaaa alinifurahishaaa sanaaa wakatii uleee aisee
Watoto Kama majanaba wanasumbua Sana huko tumboni kwa mamazao uspo mzaa utaumwa chango Sana😅😅😅😂🤣🤣
🤣🤣🤣,Yani utaumwa chango usiyo na dawa paka ufe nayo,
🤣🤣
Yaaan unapata kansa ya kizaz na kifafa kabisa
@@juliethmwakanyamale9155 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaaaa shauri yenu nyie wakina mama
Mjasiriamali mwenye Rasta ake nywele mchambuko
Jamaa Ana Talent yuko Fullpackage
Kama umeskia neno rasta mchambuko piga like
Big up R chuga ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Watu wa hivi ni watu waliobet sana maisha wakakaribia kushinda bingo kubwa halafu wakakosa dakika za mwishooo🚶🏾♂️🚶🏾♂️🚶🏾♂️
Mm nimerud kumuangalia huyu jamaa,, mwenye rasta zake mchambuko,, ananifurahisha saanaa,,,,
huyu jama tusmdharau nimzima ila maisha ndo mtihani kwake bwana majanaba.
😂😂😂😂jamaa mjinga sana... bonge la comedian
Kama umeskia kihispanyora gonga like
Kusoma na simu changamoto Sana , Yani Nina Pepa leo Ina nilivyoona jamaa nimeshindwa kujizuia kumcheki nikasema dk 4 sio kitu😂😂😂
Nskpendaaa mno❤
Mfanyie vibe interview inogee 😂😂
Hii nchi inakila aina ya binadamu😂😂😂nimecheka sama
Ooóoooooh Jamaaa noma san😀😃😄😀😀😀😀
Tanzania ipo juu on talents
We kidela 😂😂😂😂😂
Nimecheka sana
Dully:"Umetisha..."
Majanaba:"Na nusu..."
😂😂🤣🤣😅😅
Iyo semu sehemu ya mwisho ya maneno ya kispanyola nimeiskiliza sana .....yaani nlikua narudia rudia tu haichoshi kusikiliza😂😂.
Huyu jamaa ni Msanii kabisaa 👍🏻
Huyu Jamaa, akipata tu management akaanza kufanya Comedy za Instagram anatoboa
😂😂😂😂
Wengi hawamfikii mziki aachane nao hauwezi apige comedy.. Tu.
nadhani kings music music tumemuonaaa🎼🎼🎼🎼🎼☠😜😜😜
🤣🤣🤣 leo yupo Neat kwel🙌🙌....
Ajanywa kbs😂😂😂
Like kama Upo Daresaladiiiii🇹🇿
Noma na nusu aisee, RChugga watu wanaisaka chapaaa hakuna mtembea bure
😂😂😂naishi arusha lakn kuna watu wa arusha🙌🙌🙌
😂😂😂😂
This dude is from Another World 🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu ndo rasta wa kwanza kuwa na rasta mchambuko😂😂😂
Huyu Jamaa anaweza kufanya comedy
Kuna arusha na kuna tanzania naomba ieleweke hv😂😂😂😂😂hv watu wa chuga mnakuwaga na shida gani kwani😂😂😂
Nampendaaaaa uyu jmn😂😂😂😂🙌
Jina lenyewe ni cheche😅
Shauri yako
Daaaa aiseee CHUGAAAA PAACHENIIII TU
Kwelii man
Yaani BSS napasubirigi kishenzi maana nachekaga hadi naumwa Kichwa🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂🙌
Kweli yaaan chuga wanaume hawalambi icecrem!
Iyo logo ya Millard Ayo mngeiweka pembeni , itoe Hapo katikati mwa screen bana
Oyaaaa We Fanya piga nae hata lisaa limoja mzee ....,,,
Uyoo jama katsha
kama na ww unamkubali ali kiba kama uyu dingiliii apa😂 ngonga like kama zote apa
Jamaa kauwa big interview kuwah kutokea mjombaa
Mzee wa Boboro, chuga ni noma aise
😀😀😀😀😀humu duniani kuna kila aina ya raha jamani khaaaa
Aiseee alikiba inabidii ununue radio 😁😁😁
Hhhhhhhh ameimba ukamaliza kwa kusema kawaida muogope mungu we kidela
Jamaa ana kipaji sana. Angepewa nafasi angefanya jambo kubwa
Ha ha haaa love you sana Mura Muranya nenda kafanye utaalamu😆😆😄😄
Chukua namba zangu hapo dhen nitafute by mwezi wa 12 nikupe hata mtaji aseee majanaba ili family urudishe home hapo.
Aliye gundua kuwa huyu jamaa mwaka huu wamemuweka kwenye tangazo na ile na nusu!!! Gonga like hapa😂😂😂😂
Wanatakiwq wamlipee ndo mwanzilishi wa NA NUSU sema nandy kainogesha tuu
ujasiria mali wa kuokota vigaron vya watu
Maana yake alikuwa anawaibia aisee
🤣🤣🤣😂😂hiyo ndio bongo bhana kila kukicha vitu vipya 🤣🤣dunia ya mungu vitu vya mzungu
Kazi ipo watu wanguuuuuuu wa A.town......
Jamaa apewe endorsements kadhaa bana. Anaeza Kua fiti sana kwa marketing ads za tv
Pig keleleee kwa king 🤴 kibaaa wanamkubal mpak wauni respects kak kubwa✊
Huyu jamaa ni genius apewe ufadhili
Hamna kwere kweche dingilii HAHAHAHA CHUGA NI SHIDA DUNIANI DAH
Uyu jamaha uwaga namu kubali sana kabisa mupaka muna nifanya niwe Na tizama Ayo tv
Rast nyewele mchambuko