WAZIRI JAFO ASHANGAZWA UNUNUZI wa TANI KIBAO za MBOLEA NJE ya NCHI - "HUU ni UHAINI kwa RAIS SAMIA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 окт 2024
  • WAZIRI JAFO ASHANGAZWA UNUNUZI wa TANI KIBAO za MBOLEA NJE ya NCHI - "HUU ni UHAINI kwa RAIS SAMIA"....
    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Seleman Jafo Leo July 8, 2024 amefanya ziara katika kiwanda cha uzalishaji Mbolea mbalimbali za Mazao ya chakula, cha Intercom kilichopo Jijini Dodoma ambapo ameshangazwa na taarifa iliyotololewa kiwandani hapo kuwa pamoja na kiwanda icho kuingiza sokoni Tani Alf Sabini na tano Elf za Mbolea lakini tani elf nne pekee ndio zilimenunuliwa nchini na wakulima
    Akiongea na uongozi wa kiwanda icho Waziri Jafo amesema kitendo kuagiza mbolea njee ya nchi ni kudidimiza juhudi za Mhe, Rais Samia Suruhu Hassani za kuwaleta wawekezaji nchini
    Waziri Jafo amesema kitendo cha kuingiza matani na matani ya mbolea ni kama Uhaini kwa Rais Samia, na kutoa tamko kuwa kwa kipindi ambacho yeye anahudumu kama Waziri wa Viwanda na Biashara atahakikisha anavilinda viwanda vya ndani
    Akitoa Taarifa ya Uzalishaji wa Mbolea Kiwandani hapo kaimu Mkurungenzi wa Intercom Injinia Victor Ngendazi amesema pamoja na kiwanda icho kuwa na uwezo mkubwa wa kuzalisha mbolea lakini bado wanapitia changamoto ya kupata masoko ya uhakika
    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imekuwa ikitoa Ruzuku ya Mbolea kiasi cha Bilioni Mia Moja na Hamsini Kwa kila mwaka, pamoja na kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 68

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 2 месяца назад +7

    Bashe ana kesi ya kujibu. Amsubiri Mh Mpina.

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 2 месяца назад +5

    Maajabu ! Tuna viomgozi BOGAS sana wanajali cha juu kila wakati .

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 месяца назад +5

    Tatizo ni waziri Bashe anahujumu nchi kwa maslahi yake binafsi na wageni waso...mli wenzake

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 2 месяца назад +5

    Kuna watu wanapiga dili kuagiza mbolea nje pamoja na sukari

  • @jessenmutta2214
    @jessenmutta2214 2 месяца назад

    Umeeleweka Waziri.. kila la Kheri

  • @hbdina
    @hbdina 2 месяца назад +2

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Wakina nani wanaonunua mbolea nje?Wanapaje leseni?Huyu Waziri wa Kilimo achunguzwe

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 2 месяца назад

    Wauze ndani kwanza

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 месяца назад

    Hizo mbolea hazina ubora,acheni kudanganya kwa kisingizio.
    Hicho kiwanda lazima wajiulize kwa nini watanzania tunapenda mbolea za nje......

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela2862 2 месяца назад +2

    Wanakimbilia kununua kila kitu njee kuna nini huko njee?
    Waziri Bashe anapiga sana kazi ahakikishe mbolea inanunuliwa hapahapa, nje wanunue tu zile ambazo hazipatikani hapa Tz.

    • @charlesmwambinga4355
      @charlesmwambinga4355 2 месяца назад +2

      Mbolea ya Luzuku Wananunua wapi ???!!

    • @sitamgeta7565
      @sitamgeta7565 2 месяца назад

      Huyo mwenzako wa kilimo usimtegemee. Ni mpiga dili hana uzalendo wa kukuza viwanda vya ndani. Kama yalivyo ya sukari anafanya na mbolea pia.

    • @gilbertmwakalebela2862
      @gilbertmwakalebela2862 2 месяца назад

      @@charlesmwambinga4355 wananunua nje

    • @gilbertmwakalebela2862
      @gilbertmwakalebela2862 2 месяца назад

      @@sitamgeta7565 Inawezekana kabisa wanapiga madili

  • @loyakanuda2521
    @loyakanuda2521 2 месяца назад +3

    Kidonda kimepata mkunaji, wapo watu hawana Nia njema na mama ila niwazuri sana representation

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 2 месяца назад

    Safi

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 2 месяца назад

    Safiii sana mwanage jafoo

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 месяца назад

    Watanzania hawajali nchi yao. Kwa nini uhujumu nchi yetu?

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 2 месяца назад

    Bashe tatizo hilo anapenda kila kitu anunue nje ana mpango gani na Tanzania 🇹🇿 yetu

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 2 месяца назад

    Mwanzo mzuri sana wa Waziri Jafo, kwanza walivyo vaa ki engineer, naomba kazi nije kusaidia wanamchezo wahuni tuwamalize

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 месяца назад +2

    Danganya wasiojielewa hiki kiwanda kimejengwa kipindi cha magufuli wanasiasa acheni uongo

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 2 месяца назад

      Acha chuki mjinga ww samia ndo aliemleta huyo muwekezaji

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 2 месяца назад

      Tafuta ushahidi kabla ujaongea , sio unalopoka tu kila kitu ni Magu hata Kama sio yeye.

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 месяца назад

      @@abuuramadhan8093 wewe ni kichaa Kwahivyo unabishana na mimi niliofanya kazi kwenye hilo eneo toka linaanza? Si ugoohle uone

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 месяца назад

      @@ShamteMohmed-ed2kk wewe ndio unaropoka bila ushahidi, kiwanda kimeanza ujenzi mapema 2020, Rais wa Burundi na Samia walikuja kuweka jiwe la msingi ujenzi ulishaanza toka kipindi cha Magufuli

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 2 месяца назад

    Bashe atauua viwanda vya ndani, Mpina amelalamika kuhusu sukari kuingizwa nyingi ila serikali ikachukulia kawaida.Shida kubwa ni Bashe,avuliwe uwaziri.

  • @merchadesmbeihwa5718
    @merchadesmbeihwa5718 2 месяца назад

    wakulima tunataka mbolea kulingana na uhitaji kwa mfano mbolea za kiwanda hicho haziwezi kishindana na mbolea za kampuni ya yara shida sio kiwanda ni ubora wa mbolea

  • @eliasdidnaimaduhu58
    @eliasdidnaimaduhu58 2 месяца назад

    Mgekuwa mnajaribu kutueleza ukweli hata kidgoo jaman Duhhh

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 2 месяца назад

    Walikuchelewesha jafo ...magu alikuamini na hukumuanguasha..ni wakati sasa wa mama kukuamini

  • @babumtarajiwa5892
    @babumtarajiwa5892 2 месяца назад

    Waziri wakilimo anatatizo anapenda sana kununua kutoka ugaibu kunakitu

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 2 месяца назад

    Yani kumbe kiwanda kipo daaaaaar tz ngumu

  • @merchadesmbeihwa5718
    @merchadesmbeihwa5718 2 месяца назад

    Mkiwabeba watakosa uzalendo wanaanza kutuumiza maana hawana mshindani kama mbolea Yao ni Bora itanunulika.

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 2 месяца назад +1

    Uyo ndio Bashe anaetaka teni pasenti ndio mjuwe uyo mwisopia

  • @nuruchaula1772
    @nuruchaula1772 2 месяца назад +2

    Tatizo ubora wa hiyo mbolea.

    • @Ushauri235
      @Ushauri235 2 месяца назад

      Kwahiyo ya wazungu ndio Bora?

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 месяца назад +1

    Ukishakuwa na nchi ya watu wanapenda udalali shida hata uwe na bidhaa nzuri bado wanatafuta wapi

  • @user13375
    @user13375 2 месяца назад

    Bashe si m tz😮😮😮😮

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 2 месяца назад

    Kimewaka tena huko

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 2 месяца назад

    Bashe anayumba huyo mpina anasema ukweli mnampinga

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 2 месяца назад

    Wazalishe angalai double

  • @mufaddalmoawalla8522
    @mufaddalmoawalla8522 2 месяца назад

    Wewe umeambiwa uje usikilize kero za wafanyabishara kariakoo, wewe unaenda kugagua viwqnda vipi mbwana,au we ushapewa bahasha

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 месяца назад

    Dr piga kazi... hao ni vijana wa Magu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 месяца назад +1

    Mpina apewe wizara ya bashe..

  • @robertnkyalu3241
    @robertnkyalu3241 2 месяца назад

    Msomali anawaza kinyume nawe utasikia anakujibu maana ana kiburi cha ndani

  • @robertjerald317
    @robertjerald317 2 месяца назад

    Hongezeni ubora wa mbolea zenu changamoto ya Tanzania kuanzia mbolea hata baadhi ya madawa hazina nguvu ile inayoleta matokeo chanya na ndio maana hata wakulima wanatumia mbolea za nje wakijua ni bora kuliko za Tz.

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 2 месяца назад

    Bashe atasema wamegoma kuzalisha, huwezi kuwa waziri wa kuruhusu nchi ikose mbolea

  • @thomaskwibonelwa9240
    @thomaskwibonelwa9240 2 месяца назад

    Jitihada za kuua viwanda zita zalisha ukosefu wa ajira, na wasio na ajira watawatoa madarakani ni swala la muda! Get lessons from generation of zoomer in Kenya.

  • @stephenmakinda423
    @stephenmakinda423 2 месяца назад

    Kumbe ile mbolea ilitoka Russia ikakosa kufika Kenya iliuzwa Tanzania! Linturi must go

  • @sitamgeta7565
    @sitamgeta7565 2 месяца назад

    Huyo mwenzako wa kilimo usimtegemee. Ni mpiga dili hana uzalendo wa kukuza viwanda vya ndani. Kama yalivyo ya sukari anafanya na mbolea pia.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 месяца назад

    Msomali bashe ni mpiga deal sana.. minjingu kuna mbolea ya asili lakini inapelekwa Kenya,then ulaya kwa chapa ya Kenya

  • @MaimunaSikumbili
    @MaimunaSikumbili 2 месяца назад

    Hiyo mbolea ni ya mazao gani,, yawezekana ni ya tumbako je,, sisi kwetu ruvuma twalima mahindi twahitj zaid urea,can,,sa

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 месяца назад

    Viongozi wengi wa tz ni wanafiki mno inatakiwa wazuie watu kununua nje hovyo sana maviongozi ya tz sisi waafrika tunathamini vitu vya nje kuliko vya ndani utumwa bdo upo kichwani tunaaminishwa vitu vya nje ni bora kuliko ndani

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 2 месяца назад

    Mtandao wa wapigaji tangu hazina, kilimo, tra....mama yupo tu!

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 2 месяца назад

    Na vijengwe kila Mkoa

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 месяца назад

    Bashe huyo maana watu wanapata taabu ya mbolea na jamaa anasumbua

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 2 месяца назад

    Watz tutanunua bidhaa bora na kwa bei nafuu ,katka hili haitajalisha ni inje au ndani ya inchi

  • @frank18112
    @frank18112 2 месяца назад

    Atajwe tu huyo anayeagiza mbolea, na ni lazima atakuwa ni mtu mwenye cheo cha juu ....

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 2 месяца назад

    Kwa nini hazina ikaidhinisha kutoa dolla za kununulia mbolea nje wakati kuna uhaba wa dolla? Huyu Mwigulu aidha ni lifisadi au hajui akifanyacho. Lete Waziri mpya wa fedha.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 месяца назад

    Piga kazi Jaffo tunaimani na ww

  • @caesar7745
    @caesar7745 2 месяца назад

    Ongezeni tax mbolea za nje au msiruhusu iingie nyingi

  • @stewartmdebe4314
    @stewartmdebe4314 2 месяца назад

    Tanzania ina watu wa ajabu sana maneno mengi utekelezaji ziro

  • @JeremiahKavakule
    @JeremiahKavakule 2 месяца назад

    Piga kazi kijana

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 месяца назад

    Nani huyo mtajeni km ni waziri wa kilimo Bashe semeni tujue. Mpina alimwaga Madudu ya viongozi wapiga pesa wanakula rushwa mkamuona mbaya

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 месяца назад

    Nani ni mnunuzi toka nje . Na atolewe kwenye hicho cheo. Je ni waziri wa kilimo? Atajwe ili tumuone kama ni yule aliyeagiza sukari. Kuna genge nchini linahujumu uchumi. Haliitakii hii nchi mazuri. Wanajali mifuko yao na matumbo yao. Nani kaingiza mbolea hiyo?

  • @ernestkomba5403
    @ernestkomba5403 2 месяца назад

    Tembelea na kiwanda cha dawa za kuuwa mbu mueshimiwa.

  • @DeoKanje
    @DeoKanje 2 месяца назад

    Shida si kununua mbolea je Ina ubora?? Isije kufanana na ile ya minjingu

    • @rahelfailo576
      @rahelfailo576 2 месяца назад

      Wanaonunua je wenyewe wanapenda visivyobora