MARTHA MWAIPAJA AFUNGUKA | AMJIBU MDOGO WAKE NA X-MUME WAKE 'USHINDI LAZIMA' DIVA ATOKWA NA POVU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 22

  • @LovelyCoffee-vr7ns
    @LovelyCoffee-vr7ns Месяц назад +4

    Matha mwaipaja mapito yanauma dd angu mungu akuponye

  • @HappynesSaulo
    @HappynesSaulo Месяц назад +1

    Hata mm naungana na bitrice kama baba yao alifarik na mama yao kahangaika kuwalea kwa nn asimsaidie mama ? MUNGU amkumbushe Matha hata kwa ndoto kuwa mzazi ni MUNGU wa pili, AMEN

  • @RosaRachedeAssane
    @RosaRachedeAssane Месяц назад

    Mama nı mama, nenda ukahonane nae, arızıke, maneno ya watu mwashie mungo❤❤

    • @meshackamani2936
      @meshackamani2936 Месяц назад

      @RosaRachedeAssane Mama matha amesaema huyo si mtoto anaongea mitandaoni matha alimuokota uko akisema yeye niyatima Ana wazazi hipo matha akamwonea uruma akamchukua akamlea kama mtoto wake

  • @HurumaMbalai
    @HurumaMbalai Месяц назад +3

    Dada matha muombe mdogo wako msamaha pamoja na mamaako,amebeba baraka zako

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 Месяц назад +5

    Kama ni kweli Martha geuka maana unakana maneno yako uliyotueleza mwanzoni kwa kumtumia huyo binti

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo Месяц назад

    Lakini alichosema Mama Yako kimeuma Sana msaidie Mama,kwa kimenifanya nifute nyimbo zako,akina Diva sio wale wale tu.

  • @EsterMachea
    @EsterMachea Месяц назад

    Uhuniii sana

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 Месяц назад +3

    Ache kudharau mzazi wake

  • @meshackamani2936
    @meshackamani2936 Месяц назад +3

    Huyo simtoto wa matha mwaipaja maybe tuseme spiritual Daughter hila siwake wakumzaa

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz Месяц назад

    Maneno mengi Haina maana. Cha muhimu ni Martha aende kwa mamake aombe msamaha. Hayo Maneno hayana msingi yeyote chamuhimu ni Mama zaidi ya yote

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og Месяц назад +1

    Huyo mtoto wa kambo wa Martha Mwaipaja ambaye ni Joan ni mchonganishi sana na anachonganisha familia aliyoikuta weee mtoto hao ni ndugu wewe ni wakuja tuuuu

  • @SimonMuntere-d7t
    @SimonMuntere-d7t Месяц назад

    Kama ni ukwelii unamdharau mama mzazi laana uko nayo kwa wingi

  • @EmmanuelBanzi
    @EmmanuelBanzi Месяц назад

    Amjuikua kunawatu na tafuta ugali kwa kuongea roho ya wivu ndioalionayo bitris

  • @Catty-e7o
    @Catty-e7o Месяц назад

    Mimi maelezo haya yote hayana maana ukitaka kumjua mtu anagalia anavyojali wa kwao hasa mama yake kila mtu anapitia mapito lakini bado wanatunza wazazi wao kwa sababu ni wajibu .

  • @agnesmutindi3094
    @agnesmutindi3094 Месяц назад +1

    Uongo mtupu, kama Beatrice alilala na mume wa Martha, kanini kutekeleza mamake, kwani pia mamake alimuibia bwana,
    Martha mama ni mama, nahusipo laana ijuu yako wewe

  • @simonmchewe8274
    @simonmchewe8274 Месяц назад

    Usihukumu upande. Mmoja ukweli upo iwapo wate. Wataitwa utapatajibu. Hekima. Yamungu ihusike. Mno

  • @HurumaMbalai
    @HurumaMbalai Месяц назад

    Huyo joa achana nae ni shetani

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 Месяц назад +1

    Math at Kama kweli kamtenga mama take basi ni mlokole fake

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz Месяц назад

    Maneno mengi Haina maana. Cha muhimu ni Martha aende kwa mamake aombe msamaha. Hayo Maneno hayana msingi yeyote chamuhimu ni Mama zaidi ya yote

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz Месяц назад

    Maneno mengi Haina maana. Cha muhimu ni Martha aende kwa mamake aombe msamaha. Hayo Maneno hayana msingi yeyote chamuhimu ni Mama zaidi ya yote